imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Anauwawa kwasababu ya kupika Pombe kiburudisho kizuri kabisa.Ma shaa Allah, unahukumiwa unauliwa waziwazi kwa makosa yako, hakuna wasiojulikana huko.
Siyo raha hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anauwawa kwasababu ya kupika Pombe kiburudisho kizuri kabisa.Ma shaa Allah, unahukumiwa unauliwa waziwazi kwa makosa yako, hakuna wasiojulikana huko.
Siyo raha hiyo?
Ma shaa Allah, unahukumiwa unauliwa waziwazi kwa makosa yako, hakuna wasiojulikana huko.
Siyo raha hiyo?
Kwenu kuna demokrasia na haki za binadam?
Huyo ni Mke Mulah na huenda kasema hela ya mboga haitoshi ndio anauwawa.Hao wanaoua wenzao, ina maana hawana dhambi hata kidogo? Au wanaenda hija kujitakasa in yearly basis.
Sheria Law inaua Fikra Huru na Innovation watu wanakalia kuangaliana nani hajafunga Swaumu na nani hajafuga Ndevu ipasavyo.
Technology itafanywa ni haramu na Uingereza kama tuijuavyo ndio mwisho wake.
Kamal Ataturk alikataa huo ujinga ndio maana Turkey inamaendeleo sana.
Ukiona hivyo ujuwe imefikia kiwango cha ufisadi.Anauwawa kwasababu ya kupika Pombe kiburudisho kizuri kabisa.
Nimekuuliza kwenu kuna demokrasia?Kwetu Tanzania tulishakataa mfumo wa Kiislamu wa Mulahs takes all.
Safi xnaa ..yaani tushawaambia jinsi mnavouchukia ndio unazid kueneaWakuu.
Hali si hali huko London na hii ni baada ya waislamu wenye msimo mkali kuandamana huko Uingereza wakitaka uwepo wa Sharia Laws.
Kinachoshangaza zaidi ni kwamba polisi wa Uingereza walikuwa wamekaa tu wanawaangalia bila kufanya lolote.
Soma pia: Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)
Europe is weak. Na muda si mrefu hawa wataenda pale Buckingham Palace kumtoa Prince Charles na familia yake.
Si wanawake si wanaume wote walikuwa wanasema "Sharia Laws For Uk"
Hivi hii ni sawa wakuu?
Hakuna kuuwa bila kwanzq wwwewe kuuwa katika Uislam. Ukiuwa na wewe unauliwa.Hao wanaoua wenzao, ina maana hawana dhambi hata kidogo? Au wanaenda hija kujitakasa in yearly basis.
Hao wote Dawa yao ni "Bunker Busters" vibakie Vilemba tu ka Ayatolah NasrallahNimeipenda sana hii picha' wote simba hawa:
Bibie umechanganyikiwa kunywa Konyagi uone utakavyoburudika na Mmeo?Ukiona hivyo ujuwe imefikia kiwango cha ufisadi.
Ulitaka waachiwe watu wanaoumiza na kuuwa wenzao kwa kuwalevya?
Tena hao wa kuuwa haraka sana.
Hayo ni yako ambayo hayaondoi ukweli kuwa sharia ndiyo suluhisho la matatizo ya duniani.Hao wote Dawa yao ni "Bunker Busters" vibakie Vilemba tu ka Ayatolah Nasrallah
Naona upeo wako ndipo ulipoishia, unawacga hoja sasa unamtaka mume wangu.Bibie umechanganyikiwa kunywa Konyagi uone utakavyoburudika na Mmeo?
Mambo ya wazee wa baraza na wazungu wapi na wapi..!View attachment 3134164View attachment 3134165
Ati Mwingereza aache Scotch Whisky halafu awe anasikiliza Fatwa za Shura ya Ayatolah?!.
View attachment 3134321
Wee wacha weeh!Kama nchi zote zilizotawaliwa na UK zina English Common Law kama msingi wa sheria mama zao, kwanini UK wasiwe na Sharia Law?
Wewe ni zaidi ya kiaziMa shaa Allah, unahukumiwa unauliwa waziwazi kwa makosa yako, hakuna wasiojulikana huko.
Siyo raha hiyo?
Wapi bhana wewe zingekuwa bora mngetifuana huko mashia na sunni kila sku hawaivu chungu kimoja.Hao ndiyo wenye akili.
Hakuna sheria ambazo ni bora zaidi ya sharia duniani.
Kama unabisha anza tulinganishe sheria na sharia moja moja. Ujionee ubora wa sharia.
Ambazo zinaweza kubadilika nadhani na ku adjust kulingana na mazingira. Sharia kama sharia mfano wake na utekelezaji wa hali ya juu ni Afghanistan ikiwa chini ya Taleban.Kama nchi zote zilizotawaliwa na UK zina English Common Law kama msingi wa sheria mama zao, kwanini UK wasiwe na Sharia Law?
Hahaha sasa tuangalie nchi za kiislam na tuanze na kwetu Africa…Somalia, Sudan, Nigeria ya wa Islam, Central African Republic, Sahel etc na ukiongeza jihad ni kila kona ya Africa, na kule Middle East ndio balaa tupu..suluhisho ni matatizo tupuHayo ni yako ambayo hayaondoi ukweli kuwa sharia ndiyo suluhisho la matatizo ya duniani.