Waisrael wawili tu wamejeruhiwa kidogo pamoja na Iran kurusha makombora ya masafa marefu zaidi ya 200 kuelekea Israel

Waisrael wawili tu wamejeruhiwa kidogo pamoja na Iran kurusha makombora ya masafa marefu zaidi ya 200 kuelekea Israel

Wadau hamjamboni nyote?

Mungu ibariki Israel

Taarifa rasmi ndiyo hiyo

99% yamelipuliwa angani, kudondokea baharini au sehemu isiyokusudiwa

Yale matoi yaliachwa yaelee angani kwa muda na kisha kusambaratishwa

Ukitazama video yake utacheka

Live Update arrow right icon From the Liveblog of Tuesday,
October 1, 2024

Following mass Iran attack, medics say just 2 lightly wounded by shrapnel in Tel Aviv
By Emanuel Fabian Follow
Today, 8:24 pm
14
An Iranian missile attack on Israel, October 1, 2024. (Channel 12 news screenshot)
An Iranian missile attack on Israel, October 1, 2024. (Channel 12 news screenshot)
Only two injuries are reported across Israel in the Iranian missile attack on the country, Magen David Adom says.

The ambulance service says it treated only two people who were lightly wounded by shrapnel in Tel Aviv.

Several others were treated for minor injuries after falling over while running for shelter, and acute anxiety, MDA adds.
Ninavyosema wakiristo wa jf wamepewa tenda za propaganda. Dakika 2 baada ya mashambulio wanatoa tathimini wakiwa Mburahati magengeni. Uislam hata muuchikie vipi unakuwa kwa kasi mpaka ndani ya familia yenu
 
Iran ni mjinga mjinga kabisa yaani anazidiwa target na Hamas na Hezbulla😂😂😂😂. Bora Myahudi amdunde tu Ayatola ni fala sana yaani makombora yote hayo off taget ,,
Kwanini apige raia yeye nazuia anapiga bases na amepiga gaza pale idf walipo weka axis kugawa kusini na kaskazini mwa gaza
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mungu ibariki Israel

Taarifa rasmi ndiyo hiyo

99% yamelipuliwa angani, kudondokea baharini au sehemu isiyokusudiwa

Yale matoi yaliachwa yaelee angani kwa muda na kisha kusambaratishwa

Ukitazama video yake utacheka

Live Update arrow right icon From the Liveblog of Tuesday,
October 1, 2024

Following mass Iran attack, medics say just 2 lightly wounded by shrapnel in Tel Aviv
By Emanuel Fabian Follow
Today, 8:24 pm
14
An Iranian missile attack on Israel, October 1, 2024. (Channel 12 news screenshot)
An Iranian missile attack on Israel, October 1, 2024. (Channel 12 news screenshot)
Only two injuries are reported across Israel in the Iranian missile attack on the country, Magen David Adom says.

The ambulance service says it treated only two people who were lightly wounded by shrapnel in Tel Aviv.

Several others were treated for minor injuries after falling over while running for shelter, and acute anxiety, MDA adds.
Kwa ujinga wangu mdogo najua ktk vita na hasa nchi za magharibi actually hata TZ kuna kitu kinaitwa media control,wanakuambia uandike nini,nini chakuambiwa na kipi usiseme,ni sawa na ukienda US kuna watu wanaishi sehemu km ilivyokua maeneo ya Tandale(sio tandale ya sasa),but hutayadikia kamwe yakiandikwa,kuna uficho mkubwa wa taarifa from Israel and Ukreini plus Russia,kl mmoja anatangaza anachoshinda but watu wengi sana wanakufa Kwa vita hizi
 
Magaidi wa Waislamu hutia aibu sana, nguvu zote hizo bila athari zozote
 
Itakua Bwana Mungu wa majeshi anayageuza Maputo katika ulimwengu wa roho ndio maana hayaleti athari, Mungu wa Ibrahim, Isaka, Yakobo, Israel ndie Mungu makuu sana Bwana wa vita
Unaongelea hii Israel pepo ya mashoga au unamaanisha Israel ipi?
 
Kondoo ni kondoo wapi Iran kapiga majumba? Mlitaka afanye genocide kama Israel kuna mataifa yanaheshimu innocent people. Sio hao Israel yeye anapiga civilian afu anasema wameweka silaha kwenye majumba ya raia, wakati hana dalili hata moja ya kuonyesha anacho sema.
 
STREAM MEDIA haziwezi waambia ukweli lkn ni kwamba madhara yalitokea ni makubwa mno...
 
Back
Top Bottom