Ni kwa sababu Katiba yenyewe inatakiwa iwe na meno ya kuwang'ata wale wasioiheshimu.Ukiukaji wa Katiba haina maana Katiba yenyewe ndio Mbovu. Nauliza:-
Kwa nini pale Viongozi wanapokiuka Katiba ya nchi, sisi husema sababu ni hii Katiba Mbovu? Tunahofia nini..
Imeisha hiyo ...acha waendelee kuishana tu...Na. M. M. Mwanakijiji
Wanasifia "Katiba yetu nzuri"
Wanasema wameridhia EN ajiuzulu
Wakafanya kikao na kupendekeza mtu mwingine
Wakampitisha Bungeni
Wakaenda kumuapisha Ikulu
Wakahamisha vimulimuli, ving'ora na saluti
Wenye kupiga makofi na vigelegele wakapiga...
Siku tano baadaye...
Aliyesemwa kajiuzulu hajaonekana... Wanaosifia Katiba nzuri hawatuambii kama hiyo Katiba imemlinda aliye"jiuzulu"...
Hakuna aliyeonesha hadi leo EN akisema amejiuzulu kwa hiari yake au hata kuonekana akikabidhi barua au ofisi kwa makamu mpya! Sasa ikitokea wanatuonesha mwili wake marehemu... na kujitokeza kutoa poleee... si bado watatuambia "Bwana ametoa, Bwana ametwaa"?
Kama Katiba hii ni nzuri sana... kuna ubaya gani EN aelezee bila mtutu wa bunduki sikioni alivyojiuzulu?
Maana kama VP anaweza kuondolewa tukaletewa mwingine... itakuwaje tuone Rais anatoweka, hatujui aliko, siku chache baadaye tunaambiwa "inna illahi wa inna lillahi rajioun", mwingine anaapishwa....
Inakukumbusha kitu chochote?
Ni kwa maslahi yao kuliambia taifa alipo Nchimbi. Au wapotezee atoweke kama...
1.
Aisee nimefurahi kukuona upo...Hatari sana. Nyerere alisema ukizoea kula nyama ya mtu ni ngumu sana kuacha.
Mambo mangapi ya ajabu ajabu yametokea na kupita nchi hii miaka ya hivi karibuni? Kila siku tunasogeza mpaka au kama wamakonde wanavyosema "we're pushing the boundary".
Inawezekanaje na yeye ndiye mwenye kiti? Nani atajaribu kujikusanya kufanya hivyo? Tanzania hakuna umoja, umbea umbea tu, mkipanga chochote machawa hawakosekani kukivujisha kwa mwenyekiti, unaliwa kichwa hata kabla jambo lenu halijafanikiwaUmesema jambo muhimu sana..ina maana CCM wanaweza kumuondoa Rais kwa kumvua uanachama.
AG ambaye moja ya vipaumbele vyake ilikuwa ni kumkamata Mange Kimambi, unamuona ana akili zenye utimamu?
Pengine ndugu zake wameonywa "tukisikia nywinywinywi ndugu yenu hamtomuona tena!"Na hakuna ndugu, rafiki wala Jamaa aliyesema kapotelewa na ndugu yake EN; hata kwa kupigia mayowe gizani!
Mama Polepole na nduguze walijitokeza mbele; huyu EN hawa ndugu zake wametiwa hofu kiasi gani hawa.
Lakini kwa hayo meeengi mengine ya Ulaghai wa Samia na maneno ya mipasho yake, sasa sina muda tena wa kuyapotezea muda wa kuyaandikia chochote.
Huyu mtu ni mgonjwa.
Hiyo barua inafanana sana na ile ya Ndugai mwandishi atakuwa mmoja.Jasusi Chahali anasema ile barua inayosambaa hakuandika Nchimbi, ila kuna nyingine ambayo kaandika haijatolewa.
Ila uko sawa, bila kusikia Nchimbi mwenyewe anasemaje kila kitu ni suspect.
Tutajuaje hizo barua kaandika Nchimbi kweli wakati hata kwenye simu hapatikani?
Hahahaa Mwanakijiji bana…..mara hii ushasahau kuwa hakuna uchaguzi uliofanyika?Wandugu nimedit posti ya kwanza kwa kuweka swali fikirishi.
Nipo mkuu. Kuna wakati wengine tunaamua kujipa likizo ya lazima maana mambo ya Tanzania yanaweza kukufanya uwe kichaa.Aisee nimefurahi kukuona upo...
Ukweli ni kuwa barua ya kujiuzulu Chimbi hajaandika yeye bali imeandikwa na wasiojulikana na ndo hao wanajua alipo mpaka sasa. Inasikitisha watanzania tumetulia tuli kama hakuna kilichotokeaNa. M. M. Mwanakijiji
Wanasifia "Katiba yetu nzuri"
Wanasema wameridhia EN ajiuzulu
Wakafanya kikao na kupendekeza mtu mwingine
Wakampitisha Bungeni
Wakaenda kumuapisha Ikulu
Wakahamisha vimulimuli, ving'ora na saluti
Wenye kupiga makofi na vigelegele wakapiga...
Siku tano baadaye...
Aliyesemwa kajiuzulu hajaonekana... Wanaosifia Katiba nzuri hawatuambii kama hiyo Katiba imemlinda aliye"jiuzulu"...
Hakuna aliyeonesha hadi leo EN akisema amejiuzulu kwa hiari yake au hata kuonekana akikabidhi barua au ofisi kwa makamu mpya! Sasa ikitokea wanatuonesha mwili wake marehemu... na kujitokeza kutoa poleee... si bado watatuambia "Bwana ametoa, Bwana ametwaa"?
Kama Katiba hii ni nzuri sana... kuna ubaya gani EN aelezee bila mtutu wa bunduki sikioni alivyojiuzulu?
Maana kama VP anaweza kuondolewa tukaletewa mwingine... itakuwaje tuone Rais anatoweka, hatujui aliko, siku chache baadaye tunaambiwa "inna illahi wa inna lillahi rajioun", mwingine anaapishwa....
Inakukumbusha kitu chochote?
Swali: Ikitokea Nchimbi anaibuka na kusema hajajiuzulu Umakamu je, Ndejembi atakuwa bado halali?
Nchimbi aligoma kujiuzulu umakamu wa raisi barua hakuandika yeye hata sasa ameshikiliwa na hao TISS wa Abdul na Samia watanganyika tunaishi kama madigidigi kwenye nchi yetu kisa madaraka ya mtu fulani ili awalinde vigogo na mafisadiNa. M. M. Mwanakijiji
Wanasifia "Katiba yetu nzuri"
Wanasema wameridhia EN ajiuzulu
Wakafanya kikao na kupendekeza mtu mwingine
Wakampitisha Bungeni
Wakaenda kumuapisha Ikulu
Wakahamisha vimulimuli, ving'ora na saluti
Wenye kupiga makofi na vigelegele wakapiga...
Siku tano baadaye...
Aliyesemwa kajiuzulu hajaonekana... Wanaosifia Katiba nzuri hawatuambii kama hiyo Katiba imemlinda aliye"jiuzulu"...
Hakuna aliyeonesha hadi leo EN akisema amejiuzulu kwa hiari yake au hata kuonekana akikabidhi barua au ofisi kwa makamu mpya! Sasa ikitokea wanatuonesha mwili wake marehemu... na kujitokeza kutoa poleee... si bado watatuambia "Bwana ametoa, Bwana ametwaa"?
Kama Katiba hii ni nzuri sana... kuna ubaya gani EN aelezee bila mtutu wa bunduki sikioni alivyojiuzulu?
Maana kama VP anaweza kuondolewa tukaletewa mwingine... itakuwaje tuone Rais anatoweka, hatujui aliko, siku chache baadaye tunaambiwa "inna illahi wa inna lillahi rajioun", mwingine anaapishwa....
Inakukumbusha kitu chochote?
Swali: Ikitokea Nchimbi anaibuka na kusema hajajiuzulu Umakamu je, Ndejembi atakuwa bado halali?
Hahahaa Mwanakijiji bana…..mara hii ushasahau kuwa hakuna uchaguzi uliofanyika?
Kama Samia na Nchimbi walijiapisha tu wao wenyewe kimabavu, kwa nini ishindikane kwa Nchimbi kuenguliwa na kumweka huyo Ndejembi?
Samia, Nchimbi, Ndejembi, na serikali yote hakuna aliye halali.
Kama hukuchaguliwa kihalali hauwezi kuwa halali. It’s that simple.
Kitambo mbona baada ya EN kugomea kikaoKwani walimvua uanachama lini tena??!
Wewe huyo ni mtu mzito VP wote wamepigwa pin wasizungumzie ndg yaoNa hakuna ndugu, rafiki wala Jamaa aliyesema kapotelewa na ndugu yake EN; hata kwa kupigia mayowe gizani!
Mama Polepole na nduguze walijitokeza mbele; huyu EN hawa ndugu zake wametiwa hofu kiasi gani hawa.
Lakini kwa hayo meeengi mengine ya Ulaghai wa Samia na maneno ya mipasho yake, sasa sina muda tena wa kuyapotezea muda wa kuyaandikia chochote.
Huyu mtu ni mgonjwa.
Hapa kuna mtego , ila kwa ninavowajua CCM wanaweza kupotezea na jamaa na akaanza majukumu yake bila kukabidhiwa Ofisi…….ikiwa Rais tu anatakiwa kufanya handling over ….Tunasubiri siku ya kukabidhi ofisi au huyu wa sasa hakabidhiwi anaingiabtu kimy kimya!
Ni wakati sasa katiba mpya ilazimishe kujiuzulu kufanyike hadharani wakati tunamuona live mtu anayejiuzulu na ajieleze kwa wananchi sababu zake za kujiuzulu, ikiwezekana bungeni kabisa.Hivi kuna sehemu yeyote kwenye KATIBA imetamkwa Barua ya VP kujiuzulu ipelekwe kwa nani?View attachment 3660111
Na kwanini Rais aridhie kujiuzulu kwa mtu ambaye alipigiwa kura kama mate na sio kwa teuzi ya barua?
Gwaji alitumia mbinu za kijasusi kupotea kusikojulikanaKafichama, kwa tetesi ni kuwa anasakwa baada ya yule nywele laini kuvundikwa.
Kwa hali ya sasa ilivyo; ukiambiwa maneno ya namna hiyo ndiyo sababu muhimu kabisa ya kupiga makelele kila mtu asikie.Pengine ndugu zake wameonywa "tukisikia nywinywinywi ndugu yenu hamtomuona tena!"