Kugundua kitu sio lazima wewe uwe wa kwanza kukiona. Bali kuwa wa kwanza kuona potentials zake na kukimarket. Mfano Wanamuziki kibao tu waligunduliwa na maprodyuza waliowafanya wawe maarufu, je hao wanamuziki hawakuwahi kuonwa na watu wengine kabla? Usher Raymond aligunduliwa na J Dupri, ni lugha tu. Hilo ziwa victoria lilikuwapo lakini Mzungu ulaya hakuwa analijua, na mwafrika aliyekua anaishi nalo hakua anajua full potential ya ziwa hili na ukubwa wake. Columbus alipovumbua america sio kuwa wale waamerica hawakuwapo, bali watu nje na america hawakujua kama kuna bara lile na lina utajiri wa mali zipi asilia