Wajaluo wakimbeba John Hanning Speke kumpeleka lilipo Ziwa Victoria ili aligundue

Wajaluo wakimbeba John Hanning Speke kumpeleka lilipo Ziwa Victoria ili aligundue

Wammeba kwa hiari Yao na sio kulazimishwa,niliongeana mtu alisem zamani ulikuwa usafiri huo unalipia.
So mzungu ni abiria kama wengine ambao hawakuwa na technology ya picha
Uliongea na Mtu yupi aliyekuambia walimbeba kwa hiari kama Uber?
 
Maisha ni haya haya tu mbona usidhani zamani kulikuwa tofauti kama unavyodhania.. nenda mlima kilimanjaro utakuta watu wanabeba mizigo mikubwa ya watalii.. huyo mzungu alikuwa anawalipa hao na kuwalisha n.k ndio maana wanasema Ukoloni hauishi.. kwenu tu inawezwkana mna mfanyakazi mnamlipa labda elfu 20 hadi 50 kwa mwezi na anafanya kazi nyingi mno.. kuna watu wanavusha watu kwenye mitaro mvua zikinyesha kwa malipo kidogo .n.k
Dah sawasawa mkuu shukrani kwa mtizamo huu, hakika ukoloni hauwezi isha. Tena hao wapagazi wa mlima kilimanjaro wameunda hadi chama kabisa. Ila kimsingi ni sawasawa na wapagazi waliombebea mizigo bwana Livingstone.
 
Ingefika mahala kiongozi yeyeote wa CCM ananitaka nimfungie kamba za viatu acha tu kumbeba nitapigana...nafuu sasahivi wananiibia lakini nipo huru
Acha ujeuri 😹

images (8).jpeg
 
Watu wamekula ajira hapo. Sidhani kama hicho kibebeo kilikuwa kinabeba wazungu tu, inawezekana hata matajiri weusi wa wakati huo walikuwa wakibebwa na wanalipia.

Wenye vibebeo walikuwa wengi full kugombania wateja.

Ndumba zilikuwa zikitumika ili kupata wateja,mkizubaa , siku nzima mmebeba mtu mmoja.
 
Na hapo hana silaha yoyote wanashindwa kujiorganize kumpiga na kumuua mtesi wao na familia zao
Huyo alikuwa mpelelezi na hao walipewa stahiki zao kutokana na kazi waliyofanya, tofautisha na wakoloni waliokuja baadae kwa maguvi na mitutu


Na ndio maana alikuwa peke yake na alikuja bila jeshi wala kikosi kwa nia njema kabisa, waliofuata sasa ndio ulikuwa mtihani
 
Na hapo hana silaha yoyote wanashindwa kujiorganize kumpiga na kumuua mtesi wao na familia zao

Nani alipiga picha? Walikua wangapi na silaha gani?

Sahizi bado mizungu inajibebea kila kitu ikisaidiana na miviongozi yetu, tumefanya nini? Tofauti yetu na hao wajaluo ni ipi?
 
Back
Top Bottom