Kweli tupuWatu weusi ni jamii dhaifu kuliko jamii zingine zote duniani
Ni dhaifu zaidi kiakili, kiubunifu na kimbinu ndio popote walipo wao ndio Watumwa...hata hapa nchini Watu weusi ni watumwa kwa Wahindi mpaka leo hii
Amaana wenye rangi nyeusi na weupeKweli tupu
Kugundua kitu sio lazima wewe uwe wa kwanza kukiona. Bali kuwa wa kwanza kuona potentials zake na kukimarket. Mfano Wanamuziki kibao tu waligunduliwa na maprodyuza waliowafanya wawe maarufu, je hao wanamuziki hawakuwahi kuonwa na watu wengine kabla? Usher Raymond aligunduliwa na J Dupri, ni lugha tu. Hilo ziwa victoria lilikuwapo lakini Mzungu ulaya hakuwa analijua, na mwafrika aliyekua anaishi nalo hakua anajua full potential ya ziwa hili na ukubwa wake. Columbus alipovumbua america sio kuwa wale waamerica hawakuwapo, bali watu nje na america hawakujua kama kuna bara lile na lina utajiri wa mali zipi asiliaNi moja ya maajabu ya dunia. Wazungu kugundua maeneo ya Africa halafu hao Waafrika wanaenda kufundishwa shule wagunduzi wa kizungu.
Walishindwa mumpitisha eneo lenye.mito yenye mamba jisha wamtupe.mtoni biashara iishie japoWajaluo wakimbeba John Hanning Speke kumpeleka lilipo Ziwa Victoria ili aligundue.View attachment 2948913
Nashangaa kuona wanashangaa wakati hata sasa sisi ingali tu watumwa si kwa weupe tu bali hata kwa weusi wenzetuWatu weusi ni jamii dhaifu kuliko jamii zingine zote duniani
Ni dhaifu zaidi kiakili, kiubunifu na kimbinu ndio popote walipo wao ndio Watumwa...hata hapa nchini Watu weusi ni watumwa kwa Wahindi mpaka leo hii
Sawa Kaka naona historia ya kikoloni imekuka vizuri sana hadi unaandika ujinga kwa kujiamini.Kugundua kitu sio lazima wewe uwe wa kwanza kukiona. Bali kuwa wa kwanza kuona potentials zake na kukimarket. Mfano Wanamuziki kibao tu waligunduliwa na maprodyuza waliowafanya wawe maarufu, je hao wanamuziki hawakuwahi kuonwa na watu wengine kabla? Usher Raymond aligunduliwa na J Dupri, ni lugha tu. Hilo ziwa victoria lilikuwapo lakini Mzungu ulaya hakuwa analijua, na mwafrika aliyekua anaishi nalo hakua anajua full potential ya ziwa hili na ukubwa wake. Columbus alipovumbua america sio kuwa wale waamerica hawakuwapo, bali watu nje na america hawakujua kama kuna bara lile na lina utajiri wa mali zipi asilia
Huyo jamaa acha abebwe tu kama mkoloni.Ngozi nyeusi shida sana, hadi leo ujinga huu unaendelea.
Vitu vidogo kama lugha vinakusumbua roho, sasa Speke kugundua ziwa victoria wewe imekupunguzia ama kukuongezea sh ngapi? Imepunguza kina cha maji? Ama samaki wameibwa? Hiyo ni kwa archieve zao narration itabaki kiwa hivo, haitabadilika hata ulie mara alfu kwa siku. By the way come to zanzibar and discover the beauty of the east african archipelago. Ili nawe uwe mgunduziSawa Kaka naona historia ya kikoloni imekuka vizuri sana hadi unaandika ujinga kwa kujiamini.
Wewe upeo wako mdogo ukimaliza kuvua samaki uwe unaenda shule kuongeza elimu. Dunia ni kubwa kuliko Zanzibar.Vitu vidogo kama lugha vinakusumbua roho, sasa Speke kugundua ziwa victoria wewe imekupunguzia ama kukuongezea sh ngapi? Imepunguza kina cha maji? Ama samaki wameibwa? Hiyo ni kwa archieve zao narration itabaki kiwa hivo, haitabadilika hata ulie mara alfu kwa siku. By the way come to zanzibar and discover the beauty of the east african archipelago. Ili nawe uwe mgunduzi
Maisha ni haya haya tu mbona usidhani zamani kulikuwa tofauti kama unavyodhania.. nenda mlima kilimanjaro utakuta watu wanabeba mizigo mikubwa ya watalii.. huyo mzungu alikuwa anawalipa hao na kuwalisha n.k ndio maana wanasema Ukoloni hauishi.. kwenu tu inawezwkana mna mfanyakazi mnamlipa labda elfu 20 hadi 50 kwa mwezi na anafanya kazi nyingi mno.. kuna watu wanavusha watu kwenye mitaro mvua zikinyesha kwa malipo kidogo .n.kMuafrika kuwa mpole hii sio kawaidaView attachment 2950303
Hata kumpondaponda mkasepa zenu hii akili waliikosa?
Huko shuleni si ndio unaenda kufundishwa walio gundua ml knjaro na ziwa victoria. Halafu unapata makasiriko unaanzisha uzi wa kulalamika ulichofundishwa shuleni.Wewe upeo wako mdogo ukimaliza kuvua samaki uwe unaenda shule kuongeza elimu. Dunia ni kubwa kuliko Zanzibar.
Tulienda kuongeza maarifa na tunaanza kuhoji nakushauri nawe uende upate akili.Huko shuleni si ndio unaenda kufundishwa walio gundua ml knjaro na ziwa victoria
Unamuhoji nani sasa hapa, hakuna hata mmoja hapa anayeweza kubadilisha hayo maandishi.Tulienda kuongeza maarifa na tunaanza kuhoji nakushauri nawe uende upate akili.
Wampigaje wakati hakuja Kwa ubaya,Na hapo hana silaha yoyote wanashindwa kujiorganize kumpiga na kumuua mtesi wao na familia zao