Wajaluo wakimbeba John Hanning Speke kumpeleka lilipo Ziwa Victoria ili aligundue

Wammeba kwa hiari Yao na sio kulazimishwa,niliongeana mtu alisem zamani ulikuwa usafiri huo unalipia.
So mzungu ni abiria kama wengine ambao hawakuwa na technology ya picha
Uliongea na Mtu yupi aliyekuambia walimbeba kwa hiari kama Uber?
 
Dah sawasawa mkuu shukrani kwa mtizamo huu, hakika ukoloni hauwezi isha. Tena hao wapagazi wa mlima kilimanjaro wameunda hadi chama kabisa. Ila kimsingi ni sawasawa na wapagazi waliombebea mizigo bwana Livingstone.
 
Watu wamekula ajira hapo. Sidhani kama hicho kibebeo kilikuwa kinabeba wazungu tu, inawezekana hata matajiri weusi wa wakati huo walikuwa wakibebwa na wanalipia.

Wenye vibebeo walikuwa wengi full kugombania wateja.

Ndumba zilikuwa zikitumika ili kupata wateja,mkizubaa , siku nzima mmebeba mtu mmoja.
 
Na hapo hana silaha yoyote wanashindwa kujiorganize kumpiga na kumuua mtesi wao na familia zao
Huyo alikuwa mpelelezi na hao walipewa stahiki zao kutokana na kazi waliyofanya, tofautisha na wakoloni waliokuja baadae kwa maguvi na mitutu


Na ndio maana alikuwa peke yake na alikuja bila jeshi wala kikosi kwa nia njema kabisa, waliofuata sasa ndio ulikuwa mtihani
 
Na hapo hana silaha yoyote wanashindwa kujiorganize kumpiga na kumuua mtesi wao na familia zao

Nani alipiga picha? Walikua wangapi na silaha gani?

Sahizi bado mizungu inajibebea kila kitu ikisaidiana na miviongozi yetu, tumefanya nini? Tofauti yetu na hao wajaluo ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…