Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Sababu iliyopelekea jamaa kuokoka siyo hizo deal kuwa ngumu,bali kuna sababu nyingine kabisa ni kama tu alipita bara barani akaona pastor anahubiri akakaa ile sehemu kama dakika tano hivi akajikuta ghafla anatubishwa bila hata yeye kuelewa ilikuwaje.

Ila ninachokuambia ni kwamba yule jamaa ilifika mda wakakutana hadi wazungu kutoka ujerumani ambao huwa wanazitafta hizo mali zilizoachwa na mababu zao (maana ramani waliziacha kwa vizazi vyao), yule jamaa amekuja hadi dar (maana ni wa shinyanga) wale wazungu wakamlipia kila kitu hotelini na wakampa hela ya kula million kadhaa then wakamuuliza ni hatua gani wamefikia kipindi wanachimba, jamaaa akawaeleza kila kitu wale wazungu wakamuuliza imekuwaje mfikia hiyo hatua mbona mbali sana bila kutoa kafara, ndiyo wale wazungu wakaanza kumwambia basi nyie mtakuwa na Jini mjerumani, badae mbele sasa ndo amekuja kumtaja kama John ambae alikuwa mjerumani. Sasa ni kwamba kilichokuja kutokea jamaa ndo hivo from no where akaokoka na kabla hajamaliza game na wale wazungu wajerumani na ndo walikuwa wanamsubiei awapeleke hilo eneo ili wakauage umaskini.

NB: kipindi ameitwa dar hotelini na wale wazungu wajerumani anasema pia walikutana na wafanya biashara wakubwa tu hapa tanzania ambao kwa mujibu wake anasema kwenye top ten ya matajiri bongo hawakosekani ila akasema hatowataja majina kwa sababu za kiusalama na akasema hao matajiri wametajirikia mishe hizo hizo za kuchimbua mali za wajeruman then ndo wakaenda kuwekeza kwenye makampuni mengine huko, hiyo stori iko you tube na imetoka tu hivi karbuni kwenye channel inaitwa SYLLUS TV na iko vipande vipande part 1-10

IMG_1189.png

Waitafute hii hapa
 
MWENYE RUPIA ZIFUATAZO: FUFUMARK, RUPIA YA SIMBA WAWILI, RUPIA YA KITUMBUA , RUPIA NYEKUNDU , DINALI YA JICHO... NA MWENYE VITU VIFUATAVYO: MAJI MEKUNDU AU MEUSI (MERCURY) , MWENYE PASI , JIKO , CHEMLI , KIKOMBE , KUFULI NA VIFAA VYA MATUMIZ YA MAJUMBAN.. TAJIRI YUPO NA BIASHARA INAFANYIKA DAR ES SALAAM KWA UHAKIKA NA UFANISI WA HALI YA JUU, MATAPELI TAFADHALINI MKAE MBALI NA HILI HATUNA MUDA WA KUPOTEZA CONTACT 0716637717, 0785510604 AU 0769767771
 
Vyote hivi unapata eBay kwa bei ya kutupa
 
Pana mtoto mmoja wa kiongozi chunga Sana huyo ukimuonyesha tu site mmepigwa mtaambulia manyoya utadhani ye ndo mwenye shida na pesa pekee yake duniani, Morogoro huko kawaliza wengi.
Binafsi huwa sipendi Sana dhuluma why udhulumu watu waliokuonyesha site,hazina za ardhini Mungu katupa watz Ili tunufaike nazo zijenge tz na sio kujenga ulaya

Ni yule kikana aliyekua anakufundisha chuo na ni kada wa CCM mkuu?
 
Ukitaka kufa maskini fanya hizi mishe hazina ukweli wowote ule . Nilitafuta sana hapo mwanzoni nikaja kufunguliwa akili na mtu mmoja namshukuru sana.
 
eti wanaendelea kusema hivi vitu havipo aya acha nijaribu kumfungua ufahamu mtu mmoja.
 
Ndugu zangu wanajamvi.
Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.
Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.
View attachment 1022278

Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022271

View attachment 1022276

Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.

Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-

  1. Ikombe
  2. Mibirizi
  3. Kasanga
  4. Ilembule
  5. Rombo
  6. Nyakanazi
  7. Uvinza
  8. Mlalo
  9. Kisarawe
  10. Kazimzumbwi
  11. Kirondatal
  12. Tukuyu
  13. Leganga
  14. Igulwa
  15. Ushetu
  16. Mnazi
  17. Mikese
  18. Shume
  19. Lumbira
  20. Mbulu
  21. Nansio
  22. Sekenke
  23. Galula
  24. Liuli
  25. Manda
  26. Lushoto
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.

Asanteni
Vip tanga? Hakuna eneo
 
Sababu iliyopelekea jamaa kuokoka siyo hizo deal kuwa ngumu,bali kuna sababu nyingine kabisa ni kama tu alipita bara barani akaona pastor anahubiri akakaa ile sehemu kama dakika tano hivi akajikuta ghafla anatubishwa bila hata yeye kuelewa ilikuwaje.

Ila ninachokuambia ni kwamba yule jamaa ilifika mda wakakutana hadi wazungu kutoka ujerumani ambao huwa wanazitafta hizo mali zilizoachwa na mababu zao (maana ramani waliziacha kwa vizazi vyao), yule jamaa amekuja hadi dar (maana ni wa shinyanga) wale wazungu wakamlipia kila kitu hotelini na wakampa hela ya kula million kadhaa then wakamuuliza ni hatua gani wamefikia kipindi wanachimba, jamaaa akawaeleza kila kitu wale wazungu wakamuuliza imekuwaje mfikia hiyo hatua mbona mbali sana bila kutoa kafara, ndiyo wale wazungu wakaanza kumwambia basi nyie mtakuwa na Jini mjerumani, badae mbele sasa ndo amekuja kumtaja kama John ambae alikuwa mjerumani. Sasa ni kwamba kilichokuja kutokea jamaa ndo hivo from no where akaokoka na kabla hajamaliza game na wale wazungu wajerumani na ndo walikuwa wanamsubiei awapeleke hilo eneo ili wakauage umaskini.

NB: kipindi ameitwa dar hotelini na wale wazungu wajerumani anasema pia walikutana na wafanya biashara wakubwa tu hapa tanzania ambao kwa mujibu wake anasema kwenye top ten ya matajiri bongo hawakosekani ila akasema hatowataja majina kwa sababu za kiusalama na akasema hao matajiri wametajirikia mishe hizo hizo za kuchimbua mali za wajeruman then ndo wakaenda kuwekeza kwenye makampuni mengine huko, hiyo stori iko you tube na imetoka tu hivi karbuni kwenye channel inaitwa SYLLUS TV na iko vipande vipande part 1-10
Nitarudi
 
Back
Top Bottom