Aliyewatuma wafanye vurugu nani?Nahii njaanuary ila mbumbumbu bado wanap08_igwa hii haikubaliki serikali iingilie kati mbumbumbu wanaonewa bila wao kujua
Yanga Sasa hivi imeshavuka kwenye huo ujinga wa kutapeli wajinga wasiojielewa huwezi kuona bakuli yanga zaidi mashabiki wanaenda kunywa supu tu sababu tajiri yupo Sasa simba tajiri yupo ila Kuna wajinga wanachangia eti wanajiita simba damu kumbe wajinga damu🤣🤣🤣🤣🤣Mimi nilitegemea utaonesha huo utapeli wa simba uko wapi ili uthibitishe kuwa kweli mashabiki wa simba ni wajinga ila inaonesha wewe ndiye mpumbavu, kwahiyo yanga ikipitisha bakuli ni timu ya wananchi ila simba ikipitisha bakuli inafanya utapeli kwa mashabiki siyo, halafu aliyekuambia mtu akiwa tajiri ndio anatakiwa agawe tu hela hovyo ni nani kwanza unajua mo anagharamika kiasi gani kwa simba au ndio eymael ajengewe sanamu lake
Acha chuki mwanamkeIli utumiwe million 100 ni lazima uwaibie wajinga Mimi sitaki hiyo dhambi ya kuibia wajinga ambao ni mbumbumbu hawajui wanachokifanya
We ni mwanamke?Acha chuki mwanamke
Wajinga ndio waliwao sababu vurugu za uwanjani za mashabiki timu lazima iwajibike sababu ni mashabiki wao. A wanalipia viingilio wananunua jezi wanawashangilia mpaka wanapata mafanikio wanalipia app wanafanya Kila kitu Ili timu iwe na brand kubwa Cha ajabu Leo hii wanachangishwa au ndio viongozi wanapenda tu timu ikiingiza mamilioni ila kwenye hasara wanawaangushia zigo mashabiki hahahahahah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mpira ni biashara nzuri sana.
Kwanini nasema ni biashara nzuri?
Kwasababu ni biashara inayofanywa kati ya wajinga na werevu.
Kwani mabilioni wanayolipwa na CAF miaka yote yanakwenda wapi?
Pesa za viingolio ziko wapi?
Pesa za app ziko wapi?
Pesa za kuuza wachezaji ziko wapi?
Pesa za mauzo ya jezi ziko wapi?
Mimi nimekuuliza hivi aliyekuambia kwamba mtu akiwa tajiri ndio anatakiwa agawe tu hela hovyo ni nani unaanza kuniletea habari za supu za vibudu, hebu wewe nenda kwa tajiri yoyote unayemfahamu kamuombe hata laki tu bila sababu yoyote uone kama atakupa, kwahiyo mo kushindwa kutoa hiyo hela ndio inaondoa ukweli kwamba yeye ni tajiri anayetambulika africa je huyo tajiri wenu kamzidi nini moYanga Sasa hivi imeshavuka kwenye huo ujinga wa kutapeli wajinga wasiojielewa huwezi kuona bakuli yanga zaidi mashabiki wanaenda kunywa supu tu sababu tajiri yupo Sasa simba tajiri yupo ila Kuna wajinga wanachangia eti wanajiita simba damu kumbe wajinga damu🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo ni kazi yake tajiri sababu ameshaamua kuingia kwenye taasisi hasara na faida ni juu yake naona kama kichwani hazimo kwahiyo unataka yeye apate faida tu hasara kama hizo asipate wakati faida akipata anachekelea meno 32 nje kweli rage yupo sahihi kuwaita mbumbumbuMimi nimekuuliza hivi aliyekuambia kwamba mtu akiwa tajiri ndio anatakiwa agawe tu hela hovyo ni nani unaanza kuniletea habari za supu za vibudu, hebu wewe nenda kwa tajiri yoyote unayemfahamu kamuombe hata laki tu bila sababu yoyote uone kama atakupa, kwahiyo mo kushindwa kutoa hiyo hela ndio inaondoa ukweli kwamba yeye ni tajiri anayetambulika africa je huyo tajiri wenu kamzidi nini mo
Sasa kwani wewe ni mhasibu wake hadi ujue kwamba huwa anapata faida tu hapati hasara, wewe unajua toka ameanza kuwekeza simba amepata hasara mara ngapi, mashabiki wenyewe ndio wametaka kutolewe namba za kuchangia wewe kinachokuuma ni nini kama siyo wivuHiyo ni kazi yake tajiri sababu ameshaamua kuingia kwenye taasisi hasara na faida ni juu yake naona kama kichwani hazimo kwahiyo unataka yeye apate faida tu hasara kama hizo asipate wakati faida akipata anachekelea meno 32 nje kweli rage yupo sahihi kuwaita mbumbumbu
Hasara zenyewe ndio hizi anasakizia wajinga kama nyie mumchangie hahahaha wajinga ndio waliwao muhindi nomaaaana 🤣🤣🤣🤣🤣Sasa kwani wewe ni mhasibu wake hadi ujue kwamba huwa anapata faida tu hapati hasara, wewe unajua toka ameanza kuwekeza simba amepata hasara mara ngapi, mashabiki wenyewe ndio wametaka kutolewe namba za kuchangia wewe kinachokuuma ni nini kama siyo wivu
Huna hoja mpumbavu wewe watu kama ninyi mkiachwa na mkikaliwa kimya ndio huwa mnajiona mna akili, lini na wapi huyo mhindi alikaa akawatangazia wanasimba wachangie hiyo hela, nimekuambia mashabiki wenyewe ndio walioomba kuchangia pita huko mitandaoni kwenye posts za simba utaona sasa wewe kinachokuwasha ni niniHasara zenyewe ndio hizi anasakizia wajinga kama nyie mumchangie hahahaha wajinga ndio waliwao muhindi nomaaaana 🤣🤣🤣🤣🤣
Wajinga ndio waliwao milele hivyo we nimjinga lazima uliwe baadae utume tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huna hoja mpumbavu wewe watu kama ninyi mkiachwa na mkikaliwa kimya ndio huwa mnajiona mna akili, lini na wapi huyo mhindi alikaa akawatangazia wanasimba wachangie hiyo hela, nimekuambia mashabiki wenyewe ndio walioomba kuchangia pita huko mitandaoni kwenye posts za simba utaona sasa wewe kinachokuwasha ni nini
Walipe, wao si ndio walifanya fujo?Wajinga lazima tuwatoe usingizini sababu hawajuo wanachokifanya
Fujo ya mashabiki inayolipa ni timu sababu mashabiki ni sehemu ya timu wananunua jezi wanalipa viingilio wnaalipia app wanalipia kadi za uanachama wanalipia visimbuzi ambavyo wadhamini wanazilipa klabu kwahiyo hao viongozi ni matapeli wapenda faida hasara wanazikimbia au hujui kama vurugu za mashabiki wanaolipa ni timu sababu timu inafaidika na uwepo wa hao mashabiki huu ni utapeli Kwa wajingaWalipe, wao si ndio walifanya fujo?
Siku nyingine watakuwa na adabu
Wapigwe faini hata milioni 800
Kwenye DECI umenikumbusha mbali sana.Kama unapigania wajinga anza na DECI mkuu.
Watu waliumizwaKwenye DECI umenikumbusha mbali sana.