Wajinga ndio waliwao huu ni uthibitisho kwa Simba, Rage huna baya

Kuna bakuli linaendelea kwenye Klabu ya Simba ambapo Wajanja ambao ni Viongozi wa Simba
Si umesema umeachana kushabikia Simba na Yanga, au ban imekuvuruga upya?

Sasa hivi sishabikii timu za manyani chama langu arsenal tu nimejitambua kwamba ukishabikia simba na yanga unakua zombi ndio kamaa nyie hapa

 
Wivu tu umekujaa
 
Hatujalazimishwa...Tunawajibika Pamoja.
 
Sasa ww kinakuuma nn? Viti tumevunja wenyewe tunalipa weenyewe itakayobaki viongoz wetu wanywe soda
 
Hawa ni wale kizazi cha 2000..hawajui kama timu yao iliwahi kupitisha bakuli
 
Sasa ww kinakuuma nn? Viti tumevunja wenyewe tunalipa weenyewe itakayobaki viongoz wetu wanywe soda
Walitaka tuwe maboya kama wao..yaani tupigwe tuwaangaliw tu..ndio maana wao kule Lubumbashi hadi walitiwa vidole pale kwenye mwiko.
 
Walitaka tuwe maboya kama wao..yaani tupigwe tuwaangaliw tu..ndio maana wao kule Lubumbashi hadi walitiwa vidole pale kwenye mwiko.
Tafuta kazi ya kufanya lasivyo utakua mtaji wa wajanja siku zote🀣🀣🀣
 
Mkuu mbona kama imekuuma sana?? 😁😁😁 mashabiki wa simba ndio waliofanya vurugu na kung'oa viti, club imepewa adhabu..mashabiki wenyewe wameomba walipe hilo deni na club ikaweka utaratibu ila unaibuka wewe mganga njaa kujiliza humu Jf, pia ni hiyari hajalazimishwa mtu. Ikikupendeza na wewe changia hata 500/= sio kushabikia tu na kung'oa viti
 
Wajinga ndio mliwao unashindwa kujua kati ya shabiki au chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…