Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 387
- 421
Ni hiari na imewekwa wazi kwa mashabiki wao kuchangia. Si mbinu ngeni kutumika.Kuna bakuli linaendelea kwenye Klabu ya Simba ambapo Wajanja ambao ni Viongozi wa Simba wameona sehemu ya kupiga pesa kwa Mashabiki wao ambapo sasa inachangishwa million 100 na hapo Sasa mpaka muda huu imeshapita hicho kiasi ila kuna watu bado wanaendelea kupigwa eti inajiita Klabu kubwa inakosa hicho kiasi
Hapo kuna watu wanachangia mfano 25,000 kwenye account inabaki shilingi mia mbili. Aisee! Unakuta mtu kama huyu wazazi wake wanakosa hata pesa ya chumvi ila hela anawapa matapeli
Hawa aisee kweli wajinga kila siku wanazaliwa
We mjanja nadhani ni tajiri mkubwa sana level ya bill gatesWajinga ndio waliwao
Wajinga ndio mliwao kama wewe ni masikini halafu unampelekea tajiri pesa hahaha upimwe akili🤣🤣🤣We mjanja nadhani ni tajiri mkubwa sana level ya bill gates
Wajinga ndio mliwao kama wewe ni masikini halafu unampelekea tajiri pesa hahaha upimwe akili
Akili Yako ndogo sana eti imewekwa wazi kwahiyo ulitaka wawatapeli chumbani wakati mashabiki mpo hadharani🤣🤣🤣🤣Ni hiari na imewekwa wazi kwa mashabiki wao kuchangia. Si mbinu ngeni kutumika.
Umeshindwa kujificha.Ohh mimi sio shabiki wa Timu za Tanzania. Uharo mtupu.Unakunya porini huku matako umeyaelekeza barabarani. Eti Gunner Shooter hao Arsenal hata hawakujui unajifanya shabiki maandazi.Yanga Sasa hivi imeshavuka kwenye huo ujinga wa kutapeli wajinga wasiojielewa huwezi kuona bakuli yanga zaidi mashabiki wanaenda kunywa supu tu sababu tajiri yupo Sasa simba tajiri yupo ila Kuna wajinga wanachangia eti wanajiita simba damu kumbe wajinga damu🤣🤣🤣🤣🤣
Weka ahadi zikifika shilingi ngapi upigwe banWajinga ndio waliwao
Wajinga ndio mliwao hahaha wajanja wanavuna noti wewe unakalia kuleta screenshot walizotuma mjini mipango🤣🤣🤣🤣🤣Weka ahadi zikifika shilingi ngapi upigwe ban
Utajinyonga wewe kijana, si bure! 🤣🤣🤣Wajinga ndio mliwao hahaha wajanja wanavuna noti wewe unakalia kuleta screenshot walizotuma mjini mipango🤣🤣🤣🤣🤣
Ajabu sijawahi kuchangia hata mia Kwa arsenal ila mjinga kama wewe masikini choka mbaya unapigwa na wajanja kutoka msimbazi na hawakujui 🤣🤣🤣🤣🤣Umeshindwa kujificha.Ohh mimi sio shabiki wa Timu za Tanzania. Uharo mtupu.Unakunya porini huku matako umeyaelekeza barabarani. Eti Gunner Shooter hao Arsenal hata hawakujui unajifanya shabiki maandazi.
Endelea kuleta screenshot za wajanja wakipiga pesa huku wewe ukipiga miayo mjini mipango na akili tu🤣🤣🤣🤣🤣Utajinyonga wewe kijana, si bure! 🤣🤣🤣
Una mapovu sana 🤣🤣🤣
Sawa, akili yako ni kubwa ndio maana mpaka leo hii unashangaa mambo ya mpira wa TzAkili Yako ndogo sana eti imewekwa wazi kwahiyo ulitaka wawatapeli chumbani wakati mashabiki mpo hadharani🤣🤣🤣🤣
Wajinga ndio mliwaoSawa, akili yako ni kubwa ndio maana mpaka leo hii unashangaa mambo ya mpira wa Tz
Kijana mimi napiga za semina za serikali. Wewe lipa kodi sisi tuzipige 🤣🤣🤣Endelea kuleta screenshot za wajanja wakipiga pesa huku wewe ukipiga miayo mjini mipango na akili tu🤣🤣🤣🤣🤣
Baada ya kugundua wajanja wa hizi timu wapo kazini mjinga umestukaunaanza kuzuga ushapigwa mzee hahahaha🤣🤣🤣🤣🤣Kijana mimi napiga za semina za serikali. Wewe lipa kodi sisi tuzipige 🤣🤣🤣
Endelea kushangaa.Wajinga ndio mliwao
Siwezi kuwashangaa wajingaEndelea kushangaa.
Pole dadaSiwezi kuwashangaa wajinga
Pole mamaPole dada