Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

HUYO YESU GANI MNAYEMFATA ?

Je! Mungu anaetajwa na Yesu Kristo, Je! ndiye Mungu wenu anaehusika na Uislamu???

Luka 10:22 Akasema, Nimekabidhiwa vyote na Baba yangu, wala hakuna amjuaye Mwana ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia.

Yesu anatueleza kwamba, Mungu yeye ni Baba yake, Je! Mungu wenu ndani ya Quran yeye ni Baba wa Yesu hata awe muislamu??
 
NDIO ULIVYODANGANYWA ? Yaani hizo hadith za mudy, ufananishe na SAYANSI?
 
Kitu ambacho kinanithibitishia kabisa kuwa, Yesu Kristo, musa,ibrahimu, daudi,n.k hawjawahi kuwa waislamu, ni kauli ya MUHAMMADI, yeye anasema.

وَأُمِرْتُ لِأَنْ أَكُونَ أَوَّلَ الْمُسْلِمِينَ

(AZZUMAR – 12)
Na nimeamrishwa niwe wa mwanzo wa Waislamu.

قُلْ إِنِّي أَخَافُ إِنْ عَصَيْتُ رَبِّي عَذَابَ يَوْمٍ عَظِيمٍ

(AZZUMAR – 13)
Sema: Hakika mimi ninaogopa adhabu ya Siku Kubwa nikimuasi Mola wangu Mlezi.

Hapo MUHAMMADI anasema kwamba, yeye ameamrishwa awe wa kwanza wa Waislamu, na akathibitisha kuwa yeye ni muislamu wa kwanza

لَا شَرِيكَ لَهُ ۖ وَبِذَٰلِكَ أُمِرْتُ وَأَنَا أَوَّلُ الْمُسْلِمِينَ

(AL – AN-A’AM – 163)
Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu.

Sasa ikiwa MUHAMMADI aliyekuja miaka 570 baada ya Yesu, anasema yeye ni muislamu wa kwanza, ni vipi Yesu,musa,daudi, ibrahimu waliotangulia wawe waislamu??? ikiwa MUHAMMADI ni muislamu wa kwanza, Yesu Kristo, ni muislamu wa ngapi???
 
Katika Torati-vitabu vitano vya kwanza vitano katika Biblia Mwanzo 14:13 inafundisha kuwa Abramu, kawaida anayetambuliwa kama Myahudi wa kwanza, alikuwa kama ilivyoelezwa "Kiebrania." Jina "Myahudi" linatokana na jina la Yuda, mmoja wa wana kumi na wawili wa Yakobo na mmoja wa makabila kumi na mawili ya Israeli.

Jina "Myahudi" awali lilijulikana tu kwa wale ambao walikuwa wanachama wa kabila la Yuda, lakini wakati ufalme uligawanyika baada ya utawala wa Sulemani (1 Wafalme 12), neno lilimaanisha mtu yeyote katika ufalme wa Yuda, ambayo ni pamoja na kabila la Yuda, Benjamin, na Lawi.

Leo hii, wengi wanaamini kwamba Myahudi ni mtu yeyote ambaye ana uzao wa kimwili na Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, bila ya kujali makabila ya awali kumi na mbili anapotoka.


SASA UISLAMU ULIOKUJA MWAKA 600 WAPI NA WAPI NA UYAHUDI
 
Yaani unamtegemea mudy wa mwaka 570AD, akupe historia ya HEKALU lililojengwa 500BC? si ndio maana anawadanganyeni kina musa, yesu , walikuwa waislamu..
 
Kama unakataa Adam na Eva walikuwa sio waislamu, bila Shaka unayo majibu walikuwa watu wa dini tofauti ebu tumbie walikuwa wa dini gani?
Walatamka Shahada?

Walishuhudia kuwa yupo Mungu mmoja tu ambaye ni Allah na Mtume mmoja tu ambaye ni Muhammad?

Jibu kinagaubaga
 
Hahahaha....wafuasi wa Mwamedi mnachekesha sana [emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
 
Hujajibu swali langu, Ibrahimu alikuwa dini gani ? Sasa kama jins linatokana na Yuda,na Ibrahimu alikuwa wa zamani sana hata huyo Yuda hakuwahi kumuona Ibrahimu. Nataka unipe ushahidi ya kuwa Ibrahimu alikuwa nani na Uyahudi ulianza lini na ukianzishwa na nani...?

Sasa maana yake Wayahudi hawapo sasa,kama wapo nipe chain yao ya uzao mpaka ifike kwa nabii Ibrahimu.

Sasa niambie Ibrahimu ana uhusiano gani na Uyahudi ?

Kiebrania walimuelezeaje Ibrahimu ? Hili andiko "Mwanzo 14 : 13" limeonyesha wapi ya kuwa Ibrahimu alikuwa Myahudi ? Au mimi sijui kusoma.

Mwanzo 14:13 BHN​

Mtu mmoja aliyeponyoka, akaenda kumwarifu yule Mwebrania Abramu ambaye alikuwa anaishi karibu na mialoni ya Mwamori Mamre. Mamre alikuwa ndugu yake Eshkoli na Aneri. Wote walikuwa wamefanya agano na Abramu.
 
Yaani unamtegemea mudy wa mwaka 570AD, akupe historia ya HEKALU lililojengwa 500BC? si ndio maana anawadanganyeni kina musa, yesu , walikuwa waislamu..
Kwani nyiny habari za Musa,Ibrahimu mlizipataje na inakuwaje mnaziamini wakati hazina hata chain,maana Yesu hakuwaona hao ?

Umeuliza swali la kijinga sana. Hilo ndiyo jibu la swali lako,sasa ukijibu swali hilo nitarudi kukupa tofauti ya sisi na nyinyi hasa katika kupokea habari.
 
Unaweza ukatupa chain ya mapokea kutoka kwa Yesu mpaka Muhammad
 
Mbona mkuu hujajibu hoja za AL aqsa umekimbilia huku?

Kumfuata mtu kuna mambo mengi
1. Appearence yake, Yesu alikuwa akifunga ndevu kama mitume wengine leo hamfuati mafundisho haya

2. Mavazi yake ya kanzu fupi na makubazi Leo utasikia wakristo wanavyodhihaki watu wanaovaa hivi, wanawake wake kama mama yake alikuwa akivaa ushungi lakini leo mmeutupa kule

3.kabla ya Ibada yesu alikua akiosha mikono, miguu, na uso kama waisilamu wa Leo,

4.yesu na mitume wa zamani walikuwa wakiabudu kwa kusujudu chini kama waisilamu wa leo
-yesu mwenyewe (as)
And he (Jesus) went a little farther, and fell on his face, and prayed, saying, O my Father, if it be possible, let this cup pass from me: nevertheless not as I will, but as thou wilt." - New Testament (Matthew 26:39)

-wanafunzi wake
And when the disciples heard it, they fell on their face, and were sore afraid." - New Testament (Matthew 17:6)

-na Musa (as)
And Moses made haste, and bowed his head toward the earth, and worshipped." - Old Testament (Tanakh) (Exodus 34:8)

-na Ibrahim (as)
And Abram fell on his face: and God talked with him, saying," - Old Testament (Tanakh) (Genesis 17:3)

Nyie mmeieka tu ile Bible kama pambo, hamsomi wala hamuifatilii,
 
Muogopeni Mungu na Moto wake, msibadili maneno yake, hii Aya Tafsiri yake ni
(39:12) and I am bidden to be the first of those who surrender to Him.”33
33. That is, my mission is not only to exhort others but also to practice what I preach to myself. First, I follow the way which I call others to follow

Ikimaanisha Mtume ametakiwa kuwa wa kwanza kufuata anachokihubiria na sio anahubiri ikiwa yeye hafuati


Jibu la hio Aya ya 163 ungelipata kwenye Aya ya 161 ambayo ni muendelezo (Aya ya 161 mpaka 163 inazungumzia kitu kimoja) Aya ya 161 inasema

{161. Say: “Truly, my Lord has guided me to a straight path, a right religion, the religion of Ibrahim, Hanifan (monotheism) and he was not of the Mushrikin.”
 
Je unajua kwamba ikulu ya dar ilikua Kama ni chuo Cha kiislma na imejengwa na waarabu sio wajeruman je unajua Kama hospital ya muhimbili imejengwa na sewa haji ambayo ilikua Mali ya waislm unajua Kama hoptal ya ocion road mpaka Leo kunajengo la msikiti na limeshindwa kubomolewa mpaka leo
 
Mizimu ya babu zenu na miungu yenu mnaiacha mnagombania majengo ya bara Asia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…