Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

kuna uthibitisho gani huo unyayo ni wa ibrahimu au ngwanamalundi? upi uthibitisho kuwa huo unyayo ni wa ibrahimu? msidanganye watu kisa mmedanganywa

kabla ya mudy hakukuwahi kuwepo dini ya uislamu wa msikiti ....duniani kote hata saudia hakuna hata kijitabu cha historia kinachoonesha dalili paliwahi kuwepo uislamu au msikiti au mabaki kabla ya muhammad,
UNA UTHIBITISHO GANI KM ULE UNYAYO SIYO WA IBRAHIM??
AU UNATAKA WATU TUAMINI UNACHOKIAMINI WEWE?
NASEMA NA NARUDIA KUSEMA WW MLISHWA VITABU AMA MMEZESHWA VITABU HUWEZI SHINDANA NA NITEMBEAYE.
UMEMEZESHWA VITABUNI KUWA UISLAM KAULETA MUHAMMAD MM SIJAMEZESHWA KAMA WW.
UISLAM UNA VITABU VYA HISTORIA KABLA YA MUHAMMAD.
UPO KIJANA!?
UTAFITI UISLAM SIO KUKAA NA KUMEZESHWA HUKO VIJIWENI.
 
Hawa Ndio wale majuha waojazwa Ujinga na maostadh ubwabwa madrasa wasio na Elimu yoyote Wala kujua historical background,
Yaani huyo jamaa alivyo zuzu nadhani history alipata F na hajui kusoma Timeline chat inayoonesha vipindi na miaka ya kihistoria vipindi vya matukio mhimu ya mwanadamu!
Zuzu wewe na familia yako.
Usimtukane usiyemjua hunijui ni nan na nina upeo upi.
Si nyie ndio mnaoamini kuwa Yesu ali exist kupitia vitabu vyenu!?
Na nyie ni majuha ama!?
Na kulingana na mujibu wa vitabu vyetu uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad.
Tatzo liko wapi?
Embu niaminishe kipi kimekufanya useme uislam ulikuja na Muhammad na ulikuja baada ya ukristo?
MM NIMETEMBEA NARUDIA WE MBURUKENGE SIKAI TANDALE KWA TUMBO KM WW.
WE DO TRAVEL TO SEEK THE TRUTH ABOUT ISLAM.
 
huyu anadhani wote ni wapuuzi eti unyayo wa ibrahimu....
Unajifanya kuwa mpuuxi ni ww mwenyewe.
Ila mm based on my findings ule ni unyayo wa Ibrahim akiwa anajenga alkaabah na uislam ulikua kabla ya Muhammad kuja.
WE UNAKAA UNAZURURA USWAZI MWA DAR IS SLUM UKAE UBISHANE NA WATU TULOAMUA KUTEMBEA NA KUSOMA!?
SHENZI TYPE.
 
Wewe umetembea tu huko Mimi nimekimbia kabisa na huwezi nifananisha Mimi na wewe ni watu wawili tofauti kabisa,
Mmoja ana akili za kukariri mwingine ana akili za kutafuta maarifa!
HEHEHE Embu niambie ulipokimbia wapi?
Naona mwenye akili za kutafuta maarifa anameza vya vitabuni tu na kuamini atakayo kuyaamini.
Eti watu wawili tofauti.
Maarifa mengine hongera km umeyatafuta ila kuhusu maarifa ya uislam kaa chonjo bado sana kijana.
 
Nani hajatembea hata Ndugai alitembea ila alikuja kutwambia alimeona Yesu na mke wake Marry Magdalene huko Capernaum,
Unaweza ukawa umetembea na ukawa zuzu vile vile kama ilivyo kwako,wewe historia hujui umekaririshwa ujuha na Ujinga kuamini bila kureson mambo

Narudia Tena hapa kabla ya Muhammad Abdulla wa Mecca kuzaliwa kulikua hakuna Dini inaitwa uislamu Wala jengo linaloitwa msikiti na kama
Hio misikiti ilikuwepo basi Ilikua ni majengo ya kuabudia wapagan wa kiquresh,
Acha kupotosha hapa sisi sio watoto maana tunajua Muhammad kabla hajaanzisha Dini ya kiislamu alikua mpagan then akaenda Jerusalem kikazi na huko akawa anaabudu Dini ya uyahudi Kwa kusali jumamosi na kuitunza Sabato baade Ndio akapata maono pangon na kuja na Quran na kuanzisha Uislam
Hiyo Ndio historia iliyokaa Katika mpangilio wa kihistoria na ushahidi upo
Halafu unakuja kunyer kunyer hapa et misikiti ilikuwepo miaka 500 nyuma kabla ya Muhammad acha porojo bwana mkubwa
Eboooo!
WEWE NDIYO UNAJIITA UNAJUA!?
KUMBE NI ZUZU WA MAZUZU.
USHAHIDI HUO KM MTUME ALIKUA ANAABUDU DINI YA KIYAHUDI NI UPI?
UNAUJUA UISLAM KABLA MUHAMMAD HAJAUTIMILIZA ULIKUA UNA MISINGI GANI?
AU NDIO NYIE MNAMEZESHWA UJINGA HUKO KANISANI?
HATA WASIFU WA MUHAMMAD HUUJUI UNAKUJA KUBWATA HAPA.
KABLA YA MUHAMMAD KUWA MTUME YEYE NA FAMILIA YAKE WALIKUA WAKIABUDU KWA MILA ZA NABII IBRAHIM KUPITIA SHERIA ZA SUHUF.
MTUME NDIO AKAJA KUSHUSHIWA QURAN ILI AUTIMILIZE UISLAM NA KUPEWA SWALA TANO MAANA MILA ZA NABII IBRAHIM WALIKUA WANASWALI RAKAA MBILI KWA SIKU.
NA MAENEO YA KIBADA YALIJENGWA KABLA HAPO.
KM UNAVYOONA INJIL ILIVYOKUJA KUITIMILIZA TAURAT NDIVYO MUHAMMAD ALIVYOKUJA KUUTIMILIZA UISLAM.
UNA USHAHIDI GANI KM HAYO MABAKI HAYAKUA YA MSIKITI?
UNA POOR REASONING KESHA UNAJIITA MSOMI.
BROO MAARIFA KUHUSU UISLAM HUNA.
KITENDO CHA KUSEMA MUHAMMAD ALIABUDU UYAHUDI NIMEJUA HUNA MAARIFA.
KABISHANE NA WAPUMBAVU WENZAKO.
 
Next time ukija kwangu njoo na ushahidi wa kupinga siyo mipasho.
Nyambafu wewe.
 
Kajifunze vitu viwili kesha ndio uje ulete hoja.
1)Uislam ulikua ktk misingi ipi kabla ya kuja Muhammad.
2)Uislam ibada zake zilikuaje kabla ya kuja Muhammad.
 
dini ya uislamu habari yake ipo katika Quran takatifu na sio issue ya kihistoria ,kwaiyo wakuu tuheshimiane na kila moja akae na dini yake hatulazimishani ,acheni kujifanya munajua dini ya kiislamu kwa kuleta habari ya abunuasi hapo ,wabilahi towfiq.
Quran inazungumzia kwamba Kihistoria Waarabu walikua waabudu sanamu, yaani kabla ya Mohamadi hakukua na Uislamu, wahubiri wa sasa hivi wao wanatudanganya kwamba eti uislamu ulikuwepo kabla ya dini yeyote duniani. Shida ndio iko hapo; kuna hadi andiko ndani ya Qurani linalosema, "Kwa habari ya nabii Isaya, waulizeni hao Mayahudi na Marnaswara waliokua wa kwanza kuvipokea vitabu vitakatifu"
 
Ndio hujakosea.
Maana mitume Mingi walielekezwa kwa mayahudi na waarabu ndio wakaletewa mtume Muhammad.
Katika Qur'an inaeleza kule ktk suratul baqrah ayah za mwisho kuwa kuamini yale yaliyotelemshwa kabla na baada (ya Muhammad)
Hivyoo Qur'an inaeleza kuwa mitume wote walikua waislam na Allah aliwatuma kuutangaza uislam.
Ila ktk Quran hakuna pahala pameandikwa eti uislam haukuwepo kabla.
KAMA HIYO VERSE IPO TUWEKEE MKUU.
 
Sisi waisilamu tupo restrictive sana kwenye historia yetu na vitabu vyetu.

Kuna mamia ya mamilioni ya watu wamehifadhi Quran na vitabu muhimu vya dini kama Vya Hadithi za mtume.

Hivyo inahitajika kuja na ushahidi wa maana kusema tunadanganya.
Kitabu chenyewe mshikaji alikopi story kwenye biblia halafu akatumia ulie mfano wa mbayuwayu za kusoma kwenye biblia changanya na zako.... Aakachanganya basi ndio book lenyewe. Hakuna utata kuwa kabla yake kitabu hicho hakikuwepo, Hakuna utata vilevile , wakati alipozaliwa aliwakuta wazee wake wanaabudu kwenye mawe na alipokuwa akienda safari za kibiashara na wajomba zake alikwenda kwenye mataifa ambayo tayari yalikuwa yanatumia biblia, alivyoibuka na kitabu chake ndio unakuta baadhi ya stori zinafanana kidogo ila ukiifuatilia mpaka mwisho inapotoshwa. Mfano historia ya ibrahim kutaka kumchinja mwanaye wa pekee isaka yeye akaibadilisha na kusema ni ishmail
 
WEWE NDIYO UNAJIITA UNAJUA!?
KUMBE NI ZUZU WA MAZUZU.
USHAHIDI HUO KM MTUME ALIKUA ANAABUDU DINI YA KIYAHUDI NI UPI?
UNAUJUA UISLAM KABLA MUHAMMAD HAJAUTIMILIZA ULIKUA UNA MISINGI GANI?
AU NDIO NYIE MNAMEZESHWA UJINGA HUKO KANISANI?
HATA WASIFU WA MUHAMMAD HUUJUI UNAKUJA KUBWATA HAPA.
KABLA YA MUHAMMAD KUWA MTUME YEYE NA FAMILIA YAKE WALIKUA WAKIABUDU KWA MILA ZA NABII IBRAHIM KUPITIA SHERIA ZA SUHUF.
MTUME NDIO AKAJA KUSHUSHIWA QURAN ILI AUTIMILIZE UISLAM NA KUPEWA SWALA TANO MAANA MILA ZA NABII IBRAHIM WALIKUA WANASWALI RAKAA MBILI KWA SIKU.
NA MAENEO YA KIBADA YALIJENGWA KABLA HAPO.
KM UNAVYOONA INJIL ILIVYOKUJA KUITIMILIZA TAURAT NDIVYO MUHAMMAD ALIVYOKUJA KUUTIMILIZA UISLAM.
UNA USHAHIDI GANI KM HAYO MABAKI HAYAKUA YA MSIKITI?
UNA POOR REASONING KESHA UNAJIITA MSOMI.
BROO MAARIFA KUHUSU UISLAM HUNA.
KITENDO CHA KUSEMA MUHAMMAD ALIABUDU UYAHUDI NIMEJUA HUNA MAARIFA.
KABISHANE NA WAPUMBAVU WENZAKO.
Aiseee wewe ni Bonge la juha kwahiyo ulivyopata tu Hela twa kwenda kuhiji mecca na huko Arabia unajiona mjaanjaaa na maarifa yote unayo na Dini unaijua Sana Kuliko walioanzisha au wasio wa hiyo Dini yako au sio?

Narudia Tena hapa licha ya kujitapa hapa Eti wewe sio wa Tandale na bla bla bla nonesense hapa vitu ambayo ni nje ya mada
Nakwambiaje wewe Bado ni zuzu kuhusu historical background na hata time chatline huijui na unavyoonesha wewe ni zuzu unasema uislamu ulikuwepo kabla ya Muhammad Abdulla na kama hujui mtume wako alikua anaabudu Dini ya Upagan ya Kiquresh baadae akaenda Jerusalem kibiashara na akawa anaabudu Dini ya uyahudi Kwa kufuata Sabbath kabla hajapata mafunuo ya Quran na kuanzisha uislamu basi wewe ni mjinga mmoja am ambaye sipaswi kubishana nae,
Halafu sio Kila mtu Humu jamvini ni Mkristo au Muslims kama huijui hii I'd yangu pitia maandiko yangu ujue nipo upande Gani na hua sipendi kuona Watu wanakua brain washed kama wewe hapo huna ulijualo zaidi ya propaganda na uzushi tu
Nenda kasome historia ndio uje ubishane na Mimi nje ya hapo utaishia nitolea povu la buku jero na sipoi ng'oooo!
 
Ndio hujakosea.
Maana mitume Mingi walielekezwa kwa mayahudi na waarabu ndio wakaletewa mtume Muhammad.
Katika Qur'an inaeleza kule ktk suratul baqrah ayah za mwisho kuwa kuamini yale yaliyotelemshwa kabla na baada (ya Muhammad)
Hivyoo Qur'an inaeleza kuwa mitume wote walikua waislam na Allah aliwatuma kuutangaza uislam.
Ila ktk Quran hakuna pahala pameandikwa eti uislam haukuwepo kabla.
KAMA HIYO VERSE IPO TUWEKEE MKUU.
Unaona ulivyo FUTUHI njomba achumani Kasogi 😂
Yaani unataka kutuambia hapa kisa Quran haijaandika haukwepo kabla ndio unahalalisha kwamba ulikwepo au Sio,
Wewe Ostadh narudia Tena kukuambia hapa kabla ya Muhammad Abdulla wa Mecca kuanzisha Uislam alikua Mpagan anayeabudu miungu mawe pale Kaaba na Huo Uislam haukwepo hata idea yake haikuwepo na kilichomsaidia jamaa alikua business man alivyofika Jerusalem akajifunza ustaarabu wa Kiyahudi na akawa anaabudu dini ya Uyahudi na kuishika Sabbath baadae akarudi Huko kwao na kuanzisha Uislam hio ndio historia known Dunia nzima Kwa watu wenye akili timamu na wanafuata historical background nje ya hapo ni propaganda za kimatumbi TU et Uislam ulikwepo kabla ya Muhammad what a joke!
😁😁😁😁😁
 
MTUME ALIKUA AKIABUDU KWA MILA ZA IBRAHIM.
KASOME SIRA VZURI MTUME HAKUABUDU UQUREISH WALA UYAHUDI.
HUJUI BRO MANENO MENGI ELIMU HAUNA.
HIYO NDIYO ATHARI YA KUKAA VIJIWENI.
BADALA YA KUUTAFUTA UKWELI.
ETI MTUME ALIABUDU UYAHUDI NA UQUREISH.
KATAFUTE KITABU CHA SIRATU NABAWIYAH.
KISOME VOLUME 1-4.
CHA MWISHO AMINI UAMINIVYO NAMI NAAMINI NIAMINIVYO.
 
Unaona ulivyo FUTUHI njomba achumani Kasogi 😂
Yaani unataka kutuambia hapa kisa Quran haijaandika haukwepo kabla ndio unahalalisha kwamba ulikwepo au Sio,
Wewe Ostadh narudia Tena kukuambia hapa kabla ya Muhammad Abdulla wa Mecca kuanzisha Uislam alikua Mpagan anayeabudu miungu mawe pale Kaaba na Huo Uislam haukwepo hata idea yake haikuwepo na kilichomsaidia jamaa alikua business man alivyofika Jerusalem akajifunza ustaarabu wa Kiyahudi na akawa anaabudu dini ya Uyahudi na kuishika Sabbath baadae akarudi Huko kwao na kuanzisha Uislam hio ndio historia known Dunia nzima Kwa watu wenye akili timamu na wanafuata historical background nje ya hapo ni propaganda za kimatumbi TU et Uislam ulikwepo kabla ya Muhammad what a joke!
😁😁😁😁😁
JUSTIFICATION YAKO NN?
QUR'AN INASEMA UISLAM ULIKUWEPO KABLA YA MUHAMMAD.
NIMEKWAMBIA UKIJA HAPA REJELEA NA USHAHIDI WA KUPINGA SIYO MIPASHO.
NA MADAI KUWA MTUME ALIKUA MPAGANI ACHA HUO UTUMBO.
MM SIKWENDA TU KUZURURA NILITAFITI NA KUANGALIA KWA KINA.
 
Kitabu chenyewe mshikaji alikopi story kwenye biblia halafu akatumia ulie mfano wa mbayuwayu za kusoma kwenye biblia changanya na zako.... Aakachanganya basi ndio book lenyewe. Hakuna utata kuwa kabla yake kitabu hicho hakikuwepo, Hakuna utata vilevile , wakati alipozaliwa aliwakuta wazee wake wanaabudu kwenye mawe na alipokuwa akienda safari za kibiashara na wajomba zake alikwenda kwenye mataifa ambayo tayari yalikuwa yanatumia biblia, alivyoibuka na kitabu chake ndio unakuta baadhi ya stori zinafanana kidogo ila ukiifuatilia mpaka mwisho inapotoshwa. Mfano historia ya ibrahim kutaka kumchinja mwanaye wa pekee isaka yeye akaibadilisha na kusema ni ishmail
Qur'an na bible ni mbingu na ardhi mzee.
Kama Qur'an imekopiwa kutoka bible niletee verse hat moja kuthibitisha hilo.
Abdillah Ibn AbdillMutwalib (babake mtume) na Bi.Amina walikua wakifata mila za Ibrahim hawakua wakiabudu mawe.
Unaowazungumzia ww ni wajomba zake mtume na babuye.
Someni ninyi acheni kusikiliza story za vijiweni.
 
Aiseee wewe ni Bonge la juha kwahiyo ulivyopata tu Hela twa kwenda kuhiji mecca na huko Arabia unajiona mjaanjaaa na maarifa yote unayo na Dini unaijua Sana Kuliko walioanzisha au wasio wa hiyo Dini yako au sio?

Narudia Tena hapa licha ya kujitapa hapa Eti wewe sio wa Tandale na bla bla bla nonesense hapa vitu ambayo ni nje ya mada
Nakwambiaje wewe Bado ni zuzu kuhusu historical background na hata time chatline huijui na unavyoonesha wewe ni zuzu unasema uislamu ulikuwepo kabla ya Muhammad Abdulla na kama hujui mtume wako alikua anaabudu Dini ya Upagan ya Kiquresh baadae akaenda Jerusalem kibiashara na akawa anaabudu Dini ya uyahudi Kwa kufuata Sabbath kabla hajapata mafunuo ya Quran na kuanzisha uislamu basi wewe ni mjinga mmoja am ambaye sipaswi kubishana nae,
Halafu sio Kila mtu Humu jamvini ni Mkristo au Muslims kama huijui hii I'd yangu pitia maandiko yangu ujue nipo upande Gani na hua sipendi kuona Watu wanakua brain washed kama wewe hapo huna ulijualo zaidi ya propaganda na uzushi tu
Nenda kasome historia ndio uje ubishane na Mimi nje ya hapo utaishia nitolea povu la buku jero na sipoi ng'oooo!
😂😂😂😂😂😂😂 Ngojea nikubomoe kwanza.
Hiyo historia mtume aliabudu uyahudi na usabato umeitoa kitabu gani?Muandishi wake nani?
Na ithbati yake ikoje tukifuata ithbati ya kuhalalisha ukweli wa wasifu wa mtume??
NASUBIRI JIBU UKIJIBU HAYO NAACHA KUBISHANA NA WW NAKUUNGA MKONO DIRECTLY.
MAANA UNABISHANA NA WATUU WENYE ELIMU YA THANAWI.
WW SI HAUPOI!?
MIMI SIPOI NA SIBOI TUTAKESHA HUMU.
 
JUSTIFICATION YAKO NN?
QUR'AN INASEMA UISLAM ULIKUWEPO KABLA YA MUHAMMAD.
NIMEKWAMBIA UKIJA HAPA REJELEA NA USHAHIDI WA KUPINGA SIYO MIPASHO.
NA MADAI KUWA MTUME ALIKUA MPAGANI ACHA HUO UTUMBO.
MM SIKWENDA TU KUZURURA NILITAFITI NA KUANGALIA KWA KINA.
hahahahaha SAWA mtafiti Uchwara,
Naona unakuja na mipasho Ile Ile unayoikataa kwangu anyway
Tufanye Mohammed Abdulla alikua mwislam kabla hajazaliwa na Hata baba yake Mzee Mtwalib alikua mwislamu pia kamanda
Tufunge mjadala
😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂😂 Ngojea nikubomoe kwanza.
Hiyo historia mtume aliabudu uyahudi na usabato umeitoa kitabu gani?Muandishi wake nani?
Na ithbati yake ikoje tukifuata ithbati ya kuhalalisha ukweli wa wasifu wa mtume??
NASUBIRI JIBU UKIJIBU HAYO NAACHA KUBISHANA NA WW NAKUUNGA MKONO DIRECTLY.
MAANA UNABISHANA NA WATUU WENYE ELIMU YA THANAWI.
WW SI HAUPOI!?
MIMI SIPOI NA SIBOI TUTAKESHA HUMU.
SAWA SAWA tufanye Mzee abdula alikua mwislamu, Mohammed alikua mwislam
Na waquraish wote Toka Hapo kale walikua waislamu na Mohammed aliukuta uislam ushaanza na alikuta Mecca na Medina Kuna misikiti tele na watu woteeee waislamu na Hata akawa mtume wa waislamu kama manabii wengine aliowakuta wanauendesha uislamu Toka Hapo kale!

Umeridhika eeee
Byeeeee Ostadh abdala wahi swala ndio mida hiii
Usije ukajitetea Kwa Allah siku ya qiyama nilikuchelewesha Mimi Ebooooo!
😁😁😁
 
Ndio hujakosea.
Maana mitume Mingi walielekezwa kwa mayahudi na waarabu ndio wakaletewa mtume Muhammad.
Katika Qur'an inaeleza kule ktk suratul baqrah ayah za mwisho kuwa kuamini yale yaliyotelemshwa kabla na baada (ya Muhammad)
Hivyoo Qur'an inaeleza kuwa mitume wote walikua waislam na Allah aliwatuma kuutangaza uislam.
Ila ktk Quran hakuna pahala pameandikwa eti uislam haukuwepo kabla.
KAMA HIYO VERSE IPO TUWEKEE MKUU.
Na wewe unaamini kwamba kina Suleiman, Daudi, Ibrahim, Yakubu, Isaka nk walikua Waislamu? Unajua kwamba hawa jamaa hadi makabila yao yanajulikana? Wote walikua Wayahudi na wanatokea kabila la Yuda; how comes Waislamu hawa wawe tofauti sana na Waislamu wa sasa? Vitu vingine vya kutumia logic tu ya kawaida.
Waarabu wenyewe wana kalenda zao zinaonesha u ni mwaka wa ngapi wa Kiislamu, haifiki miaka 200, ni miaka 1400+ so how tuamini kwamba hao mitume walikua Waislamu ili hali walikuwepo kabla ya huo mwaka? Ukweli ni kwamba wanao hubiri uislamu wa hao mitume ni waislamu wa huku Africa, sio huko Uarabuni
 
Huyo jamaa ni empty head nimejaribu kumpa elimu ni mbishi na inaonesha ni wale Aina ya watu walipata elimu ya dini kutoka Kwa maostadh ubwabwa wa mitaani hawajui historical background ya hizi dini za Abrahamic,matokeo yake wanalishwa matango pori na kuyameza mazima mazima na kukariri vitabu na kuona Kila kilichoandikwa ni kweli badala ya kutafuta maarifa nje ya box,
Hapa ndio anakuja kutuambia Uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad Abdulla!
😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom