Nani hajatembea hata Ndugai alitembea ila alikuja kutwambia alimeona Yesu na mke wake Marry Magdalene huko Capernaum,
Unaweza ukawa umetembea na ukawa zuzu vile vile kama ilivyo kwako,wewe historia hujui umekaririshwa ujuha na Ujinga kuamini bila kureson mambo
Narudia Tena hapa kabla ya Muhammad Abdulla wa Mecca kuzaliwa kulikua hakuna Dini inaitwa uislamu Wala jengo linaloitwa msikiti na kama
Hio misikiti ilikuwepo basi Ilikua ni majengo ya kuabudia wapagan wa kiquresh,
Acha kupotosha hapa sisi sio watoto maana tunajua Muhammad kabla hajaanzisha Dini ya kiislamu alikua mpagan then akaenda Jerusalem kikazi na huko akawa anaabudu Dini ya uyahudi Kwa kusali jumamosi na kuitunza Sabato baade Ndio akapata maono pangon na kuja na Quran na kuanzisha Uislam
Hiyo Ndio historia iliyokaa Katika mpangilio wa kihistoria na ushahidi upo
Halafu unakuja kunyer kunyer hapa et misikiti ilikuwepo miaka 500 nyuma kabla ya Muhammad acha porojo bwana mkubwa
Eboooo!
WEWE NDIYO UNAJIITA UNAJUA!?
KUMBE NI ZUZU WA MAZUZU.
USHAHIDI HUO KM MTUME ALIKUA ANAABUDU DINI YA KIYAHUDI NI UPI?
UNAUJUA UISLAM KABLA MUHAMMAD HAJAUTIMILIZA ULIKUA UNA MISINGI GANI?
AU NDIO NYIE MNAMEZESHWA UJINGA HUKO KANISANI?
HATA WASIFU WA MUHAMMAD HUUJUI UNAKUJA KUBWATA HAPA.
KABLA YA MUHAMMAD KUWA MTUME YEYE NA FAMILIA YAKE WALIKUA WAKIABUDU KWA MILA ZA NABII IBRAHIM KUPITIA SHERIA ZA SUHUF.
MTUME NDIO AKAJA KUSHUSHIWA QURAN ILI AUTIMILIZE UISLAM NA KUPEWA SWALA TANO MAANA MILA ZA NABII IBRAHIM WALIKUA WANASWALI RAKAA MBILI KWA SIKU.
NA MAENEO YA KIBADA YALIJENGWA KABLA HAPO.
KM UNAVYOONA INJIL ILIVYOKUJA KUITIMILIZA TAURAT NDIVYO MUHAMMAD ALIVYOKUJA KUUTIMILIZA UISLAM.
UNA USHAHIDI GANI KM HAYO MABAKI HAYAKUA YA MSIKITI?
UNA POOR REASONING KESHA UNAJIITA MSOMI.
BROO MAARIFA KUHUSU UISLAM HUNA.
KITENDO CHA KUSEMA MUHAMMAD ALIABUDU UYAHUDI NIMEJUA HUNA MAARIFA.
KABISHANE NA WAPUMBAVU WENZAKO.