Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
- #21
Inategemea ugumu unatokea wapiMtu akikuambia Tanzania ni Nchi ngumu unaelewa nini?
Huwa mabadiliko yanatokea Kwa kusema tu.
Tusubiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea ugumu unatokea wapiMtu akikuambia Tanzania ni Nchi ngumu unaelewa nini?
Huwa mabadiliko yanatokea Kwa kusema tu.
Tusubiri.
Si una jua tena top na watu wa kule baharini wana dai wao na ma sultani ni nduguhivi uwekezaji mbona kipaumbele wanapewa waarabu waarabu tu kuna ajenda gani??????????????????????????????????????
sasa wakisha sema wafanyeje? Wajibu ni kusema, kupiga kelele. Zaidi ya hapo ni machafuko. Who dares that?Msimamo wa mama samia kwenye maamuzi yake mengi ni kwamba WATANZANIA WENGI NI WAONGEAJI TUU LAKINI MWISHO WA SIKU HUKUBALI NA KUTULIA KIMYA NA KUZOEA
Maandamano ni machafuko??sasa wakisha sema wafanyeje? Wajibu ni kusema, kupiga kelele. Zaidi ya hapo ni machafuko. Who dares that?
Mchawi mfumo wetu wa elimu ndio uliotulemaza.... No critical thinking kwenye ishu muhimu za kitaifa... Ndio maana ukionekana mjuaji hawapendiAlikuwa sahihi kusema hivyo! Ndivyo tulivyo Watanzania! Kwetu kikubwa ni Amani na Utulivu! Ni mwendo wa kufa na tai shingoni.
Pia njaa kali kila mtu analazimika kua ccm amfurahishe mwenyekiti apate ugaliWa Bara tunatakiwa kuamka haraka sana kulinda vitu vyetu!
Sema tutapata shida sana kutokana na wajinga wengi wasioelewa kitu hasa wa ccm!
Hawa wasitupe shida tupigane kwa umoja wetu!
Maandamano hayana tija, machafuko ndiyo yana tija. mfano kinachoendelea Sudan ni sawa kabisa, ngoja watwangane, wafe itafika mahali watawala waache ujinga. hapo watakaa na kuelewana meza moja. bandari hazitauzwa kijinga kama hapaMaandamano ni machafuko??
Kwamaana hii mpaka tupigikee saana alafu tulipuke tulete maafa makubwaMchawi mfumo wetu wa elimu ndio uliotulemaza.... No critical thinking kwenye ishu muhimu za kitaifa... Ndio maana ukionekana mjuaji hawapendi
KUNA BOMU KUBWA SANA LINATENGENEZWA MTAKUJA KUUANA VIBAYA SANAhivi uwekezaji mbona kipaumbele wanapewa waarabu waarabu tu kuna ajenda gani??????????????????????????????????????
Yote Tisa , kuwakirimu wajomba[emoji28][emoji28][emoji28]Kwamaana hii mpaka tupigikee saana alafu tulipuke tulete maafa makubwa
ni ma ANKOLI ZETU !! au unajisahaulisha mkuu.hivi uwekezaji mbona kipaumbele wanapewa waarabu waarabu tu kuna ajenda gani??????????????????????????????????????
HaikubalikiBuriani Bandari na nchi yetu, mafisadi wamewapenda zaidi
Anajua kuwa Watanganyika ni wepesi wa kushabikia mambo mepesi na ya kitoto kwani hata aina ya siasa tunazofanya ni za chekechea kabisa,unasikia mtu mzima kabisa anakuambia kuwa kwani Katiba inaniongezea ugali wangu mezani. Hawaelewi kuwa madhaifu ya Katiba hii ndiyo yanawapa kibri watawala kutuning'iniza kichwa chini miguu juu. Mtu asiyejua umuhimu wa Katiba unaweza kumfanya chochote.Halafu akajigeuza ghafla kuwa mfadhili wa simba na Yanga kutengeneza umaarufu wa haraka, kumbe ana jambo lake kwa Watanganyika.
Huko nyuma tuliwapa kisogo hatujawahi kuwajaribu. Wengine wote tunawafahamu, this time ngoja tuwajaribu na hawa. Kuna kitu SUPERB kinakuja; believe me. Sikiliza BUNGE LIVE kesho ili usiendelee tena kuchanganywa na TETESI za kwenye mitandaohivi uwekezaji mbona kipaumbele wanapewa waarabu waarabu tu kuna ajenda gani??????????????????????????????????????