Wajua MSIMAMO wa Rais Samia kwenye sakata la bandari? Huu hapa ushahidi

Kinachowazuia wabongo wengi kutochukua hatua ni uoga na hili litatutafuna sana mpka siku tutakapojivua uoga na kuamua kuwapinga watu dhaifu kwenye uongozi
 
HAJAKOSEA KABISA>
 
Kinachowazuia wabongo wengi kutochukua hatua ni uoga na hili litatutafuna sana mpka siku tutakapojivua uoga na kuamua kuwapinga watu dhaifu kwenye uongozi
Hao wavaa magwanda wanasema kila siku, watakao toka barabarani wanavunjwa miguu, sasa nan anataka ulemavu wa ukubwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao wavaa magwanda wanasema kila siku, watakao toka barabarani wanavunjwa miguu, sasa nan anataka ulemavu wa ukubwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ipo siku wataacha kusema hivyo ni swala la muda tu wenyewe hawaangalii mistakabali ya familia zao. Nina mifano mingi ya wavaa magwana wamestaafu wanabakia kua mqomba omba hawana mbele wala nyuma. Imagine mtu aliesaidia kuiba kura akistaafu anakua omba omba kama hakusaidia dola kushika hatamu
 
Kwa akili hizi tukija kuruhusu URAIA PACHA IPO SIKU NCHI ITAUZWA YOTE TUBAKI WAPANGAJI
 
Uzi mwingine usio na content yenye haki ya kusomwa na mtu mwenye akili timamu.

JPM alivyokuwa anafanya ubaguzi nchi nzima kwa kuweka wasukuma kwenye halmashauri ilionekana poa tu, ule haukuwa ubaguzi.

Samia akifanya kazi kwa manufaa ya nchi inakuwa nongwa, na ni kwa wale waliozoea kula bata awamu ya JPM ndio wanaokuja kulialia JF.
 
Soma vizuri mi sizungumzii ukabila wala ukanda
 
Hakuna Raisi anaye semwa vibaya kama Magufuri.

Tenda vyema usifiwe.
 
Watazungumza wee mwisho watachoka tutafanya jambo letu bandarini-Mama.
 
hivi uwekezaji mbona kipaumbele wanapewa waarabu waarabu tu kuna ajenda gani??????????????????????????????????????
Wazungu wanamasharti mengi.

Waturuki wamepewa SGR.

Na wachina wanaendelea na mwendokasi na bandari ya Bagamoyo inakuja.

Wazungu bado wapo migodini pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…