Wajua MSIMAMO wa Rais Samia kwenye sakata la bandari? Huu hapa ushahidi

JPM alivyokuwa anafanya ubaguzi nchi nzima kwa kuweka wasukuma kwenye halmashauri ilionekana poa tu, ule haukuwa ubaguzi.
Kwani msaidizi mkuu wa JPM alikuwa nani? Kwanza wote ni wale wale. Kwetu wengine, hawana tofauti...chama kile kile, watu wale wale, akili zile zile! Adui mkubwa taifa letu ni CCM.
 
Huyu mama anaonekana sio msomaji wa makabrasha anayoletewa mezani, ye ni kusaini tu halafu anawaambia muende mkalitazame!
Wahuni wanaenda kupiga pesa halafu mama anaweka pamba masikioni!
 
Lengo lako kuu halina tofauti na yule anayezungumzia ukabila na ukanda.
Nadhani wewe ndo mwenye Ukanda au maslahi binafsi... hoja hapo ni reaction ya watanzania hasa watanganyika wanapoumizwa au kupelekwa wasipotaka na serikali yao... na utofauti upo maana wenzetu zanzibar hua wanareact na serikali inawasikiliza somehow..
 

1. Keyboard worrie= keyboard warrior(s)
2. Kinavosema= kinavyosema
3. nnavo=ninavyo
4. Wanakazi= wana kazi
5.
 
Huyu mama anaonekana sio msomaji wa makabrasha anayoletewa mezani, ye ni kusaini tu halafu anawaambia muende mkalitazame!
Wahuni wanaenda kupiga pesa halafu mama anaweka pamba masikioni!
Na hili watamwambia tunamwonea kwakua ni mwanamke ivo asikubali udhaifu atukazie tuu mkataba upite kama ulivyo wallah🥵🥵
 
1. Keyboard worrie= keyboard warrior(s)
2. Kinavosema= kinavyosema
3. nnavo=ninavyo
4. Wanakazi= wana kazi
5.
Poposa ndundusa...... ila sio mbaya akili unazo hata kuweza kutambua hizo error .... ila huu usaliti dhidibya taifa lako laana ikujie juu na kizazi chako
 
Wazungu wanamasharti mengi.

Waturuki wamepewa SGR.

Na wachina wanaendelea na mwendokasi na bandari ya Bagamoyo inakuja.

Wazungu bado wapo migodini pia.
Kwaivo tuendelee kugawa tuu au sio??
 
kuna muda natamani hawa viongozi wetu tuwapige mawe tu.
Sio siri hata mimi hua nafili zaidi ya ivo ila ndo tumewapa nguvu mpaka kina kigwangala wanapiga watu bastola hadharani tena kwa ishu ndogo tuu
 
hivi uwekezaji mbona kipaumbele wanapewa waarabu waarabu tu kuna ajenda gani??????????????????????????????????????
Kwa sasa waarabu ndiyo wenye pesa, huoni hata wachezaji mpira maarufu kama wakina CR7 wanachezea timu za waarabu. Mwenye pesa si mwenziyo, wazungu kwa sasa wanahangaika na hali zao mbaya za kiuchumi unaweza kusikia COVID ya kiuchumi ikiikumba dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…