Wajua MSIMAMO wa Rais Samia kwenye sakata la bandari? Huu hapa ushahidi

Hakuna jeshi linapinga nguvu ya raia ni vile raia hatujaamua tuu
 
Kinachowazuia wabongo wengi kutochukua hatua ni uoga na hili litatutafuna sana mpka siku tutakapojivua uoga na kuamua kuwapinga watu dhaifu kwenye uongozi
Nasisi ndo tunawatia ujinga viongozi
 
Mkuu sifa ya mtu anayejielewa ni kuwa na msimamo unaojitegemea siku zote. Hoja za kibaguzi na kishenzi zinapingwa kwa nguvu zote, kwani madhara yake tunayajua.

Msikilize yule Mama mwenyekiti wa wenye viwanda Tanzania anapojenga hoja juu ya incompetence yetu ndio utajua kuwa wengi wetu tunadanganywa na hawa wapigaji wa bandarini na tunapotea mazima.
 
Chadema ni watu wenye uelewa mdogo Sana juzi Tu mlifurahia kifo cha shujaa na kusema sasa mnaupiga mwingi
 
Mpaka tutweze utu wetu hadharani ndo tutashtuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…