ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Sawa kabisa mkuu, tuma basi vocals zako tuburudikeš¤£Huku church kunatosha mambo yasiwe mengi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabisa mkuu, tuma basi vocals zako tuburudikeš¤£Huku church kunatosha mambo yasiwe mengi mkuu
Khaaaa jmnAngel kavunja ndoa 4šššššmbona kama uongo..... Anyways hata wewe una makandokando yake ni vile tu hatukujui punguza judgement
šAcha basi mkuuSawa kabisa mkuu, tuma basi vocals zako tuburudikeš¤£
Nitumie hata inbox, katika vitu napenda duniani ni kula, kuwekana na nyimboš¤£šAcha basi mkuu
Khaaa mkuu naona humjui angel Bernard vzr.Tulitarajia waimabji wa gospel waishi maisha ya kumpendeza Mungu (maisha ya kiuokovu). Lkn cha ajabu ni wahuni kama wahuni wengine tu. Gospel ni kichaka tu cha kufichia hulka zao za kiuasherati.
Wafuatao ni baadhi ya waibaji wa gospel wa kike waliovunja ndoa zao baada ya kupata umaarufu:-
1. Martha Mwaipaja.
2. Martha Baraka.
3. Rose Mhando.
4 Bahati Bukuku. Huyu alitoka Mbeya kuja Dar ili kurisiti mtihami wa f4, lkn akaishia kumpata sponsor aliyemrekodia album ya kwanza na ya pili. Kisha akaolewa na huyo sponsor. Bahati alilpopata umaarufu akambwaga huyo mume).
5. Flora Mbasha (huyu alijifanya anaenda US kusoma muziki kwa miaka 2. Kumbe alirejea nchini baada ya mwezi mmoja na kifichwa na Gwajima ili awe anajipigia mzigo ktk hotel moja jijini DSM) baada ya miezi 6 siri ikavuja )
6. Angel Benard. House girl aliyejikuta anatoboa ktk anga za gospel. Kwa ulimbukeni wa umaarufu kila akiolewa ndoa yake haidumu (kavunja ndoa 4.)
7. Upendo Kilailo. Huyu alisafiri kihuduma kwenda US. Kufika huko akaolewa tena.
8. Christina Shusho. Huyu anadanga kabisa.
Kama unawafahamu wengine ongezea hapa.
Dada ana vocal matata sana.Beatrice Mwaipaja je?
-Kaveli-
Shida ni women empowerment, madaraka hayafai kwa mwanamke hajaumbwa kufanya hilo. Pesa nayo huleta nguvu sana ina maana mwanamke ukishamfungulia mlango wa pesa atataka awe na sauti na mamlaka kama mwanaume kitu ambacho hakipo sawa kwa mwanaume rijali90% wanawake, wakipata umaarufu, wawe waimba gospel au music nyingine au siasa au waigizaji, au tajiri, wakipata umaarufu wanalewa kabisa umaarufu, na akili inalewa kabisa, wanaanza kujiona wako Mbinguni tayari, yaani juu mawinguni, kiburi, dharau, ujeuri, anageuka kichwa kikubwaaa, yaani utadhania pepo liko ndani ya nyumba, yaani shetani, kumbe ni yule mke wako kawa maarufu kageuka kawa pepo, hii hupelekea kushindwa kuwasikiliza wanaume wao wa ndoa na kujiona wao huwaambii kitu, anafanya atakavyo, hapo sasa hakuna ndoa..!!
So wanawake wachache mno mnoo, wanajua siri ya ndoa ni unyenyekevu, kujishusha, heshima, nidhamu, adabu, utii kwa wanaume wao wa ndoa baada ya kuwa maarufu au ana fedha au cheo etc.. So ndoa zinavunjika kweli sana baada ya mwanamke kuwa maarufu..!!
Uko nyuma ya mda. Hatutakiwa kuhukumu lakini.Angel kavunja ndoa 4šššššmbona kama uongo..... Anyways hata wewe una makandokando yake ni vile tu hatukujui punguza judgement
Dada ana vocal matata sana.
Hujambo Mkuu Kaveli?
Happy new year in advance.
Unaweza kuweka hapa hapa majina ya hao wanaume 4 walio wahi kumuoa kisha akavunja ndoa.
Ikiwa huna majina yao basi we ni mbea tu wa kupuuzwa.
1. Bahati Bukuku mumewe alizingua, hapa umemuonea. Mume ndiye kicheche na alimsababishia ngwengwe.Tulitarajia waimabji wa gospel waishi maisha ya kumpendeza Mungu (maisha ya kiuokovu). Lkn cha ajabu ni wahuni kama wahuni wengine tu. Gospel ni kichaka tu cha kufichia hulka zao za kiuasherati.
Wafuatao ni baadhi ya waibaji wa gospel wa kike waliovunja ndoa zao baada ya kupata umaarufu:-
1. Martha Mwaipaja.
2. Martha Baraka.
3. Rose Mhando.
4 Bahati Bukuku. Huyu alitoka Mbeya kuja Dar ili kurisiti mtihami wa f4, lkn akaishia kumpata sponsor aliyemrekodia album ya kwanza na ya pili. Kisha akaolewa na huyo sponsor. Bahati alilpopata umaarufu akambwaga huyo mume).
5. Flora Mbasha (huyu alijifanya anaenda US kusoma muziki kwa miaka 2. Kumbe alirejea nchini baada ya mwezi mmoja na kifichwa na Gwajima ili awe anajipigia mzigo ktk hotel moja jijini DSM) baada ya miezi 6 siri ikavuja )
6. Angel Benard. House girl aliyejikuta anatoboa ktk anga za gospel. Kwa ulimbukeni wa umaarufu kila akiolewa ndoa yake haidumu (kavunja ndoa 4.)
7. Upendo Kilailo. Huyu alisafiri kihuduma kwenda US. Kufika huko akaolewa tena.
8. Christina Shusho. Huyu anadanga kabisa.
Kama unawafahamu wengine ongezea hapa.
Mkumbushe pia Angel hakuwa hg amekua vizuri tuKhaaa mkuu naona humjui angel Bernard vzr.
Ndoa 4?
Hapana ungefuatilia kwanza vzr
Kaolewa mara Moja ndo ndoa iliyovunjika, ndo kaolewa ndoa ya pili Marekani!
Bongo kuhukumu kwa haki ni ngumu sana.Hivi hii kasumba ya ndoa ikivunjika anaonekana mwanamke ndio ana makosa itaisha lini?
Sikatai katika hao huenda kuna baadhi walivunja nyumba zao kwa mikono yao ila hatuwezi kuwasema wote, ndoa zina mengi na kama watu walioana kwa mapenzi hadi wanafikia kuachana kuna sababu nzito bila kujali ni upande gani.
Bahari huw haitosheki..somba sombašUkivunja na wewe njoo PM š
Walishaachana kitambo na kila mmoja ana familia mpya but Amon mmewe ndio chanzo cha ndoa kuvunjika.Upendo kilahiro sina hakika sana.
Ni vizuri kufuata waimbayo kama unaona yanafaa,hayo mengine ya ubinadamu atakayewahukumu ni yule wamtukuzao.Tulitarajia waimabji wa gospel waishi maisha ya kumpendeza Mungu (maisha ya kiuokovu). Lkn cha ajabu ni wahuni kama wahuni wengine tu. Gospel ni kichaka tu cha kufichia hulka zao za kiuasherati.
Wafuatao ni baadhi ya waibaji wa gospel wa kike waliovunja ndoa zao baada ya kupata umaarufu:-
1. Martha Mwaipaja.
2. Martha Baraka.
3. Rose Mhando.
4 Bahati Bukuku. Huyu alitoka Mbeya kuja Dar ili kurisiti mtihami wa f4, lkn akaishia kumpata sponsor aliyemrekodia album ya kwanza na ya pili. Kisha akaolewa na huyo sponsor. Bahati alilpopata umaarufu akambwaga huyo mume).
5. Flora Mbasha (huyu alijifanya anaenda US kusoma muziki kwa miaka 2. Kumbe alirejea nchini baada ya mwezi mmoja na kifichwa na Gwajima ili awe anajipigia mzigo ktk hotel moja jijini DSM) baada ya miezi 6 siri ikavuja )
6. Angel Benard. House girl aliyejikuta anatoboa ktk anga za gospel. Kwa ulimbukeni wa umaarufu kila akiolewa ndoa yake haidumu (kavunja ndoa 4.)
7. Upendo Kilailo. Huyu alisafiri kihuduma kwenda US. Kufika huko akaolewa tena.
8. Christina Shusho. Huyu anadanga kabisa.
Kama unawafahamu wengine ongezea hapa.
kale ni katoto ka kufikia, jamaa waliyeachana alikuta watu walishapitaga huko, ni singo maza akamuokota na bado amekuja kumwacha baada ya kupata mpunga. angekua hajapata mpunga martha angamwacha yule bwanake? tuseme ukweli, kwa walomjua martha kipindi anavaa vinguo vya sagulaga ya manzese.Yote kwa yote ila Martha mwaipaja kakuza kabinti kake kalibia wanalingana