Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

Khaaa mkuu naona humjui angel Bernard vzr.
Ndoa 4?
Hapana ungefuatilia kwanza vzr
Kaolewa mara Moja ndo ndoa iliyovunjika, ndo kaolewa ndoa ya pili Marekani!
 
Shida ni women empowerment, madaraka hayafai kwa mwanamke hajaumbwa kufanya hilo. Pesa nayo huleta nguvu sana ina maana mwanamke ukishamfungulia mlango wa pesa atataka awe na sauti na mamlaka kama mwanaume kitu ambacho hakipo sawa kwa mwanaume rijali
 
Dada ana vocal matata sana.

Hujambo Mkuu Kaveli?
Happy new year in advance.

Ana sauti fulani hivi ya zege kwa mbaaali... I like her vocals so much.

Mtakatifu Anne, a pleasure to read from you ma'am... Niko poa wa afya, vipi kuhusu wewe dear? Thanks for caring.

I warmly receive... šŸ™šŸ¾šŸ™šŸ¾šŸ™šŸ¾ Happier New Year too in advance. šŸ˜Ž

-Kaveli-
 
1. Bahati Bukuku mumewe alizingua, hapa umemuonea. Mume ndiye kicheche na alimsababishia ngwengwe.

2. Upendo Kilahiro pia umemuonea mkosaji ni mumewe alimfumania live.

Muwe mnafanya utafiti msionee mtu
 
Bongo kuhukumu kwa haki ni ngumu sana.
Mfano mzuri ni Bahati Bukuku na Upendo Kilahiro, hao waume zao ndio walivunja ndoa kwa kuchepuka lkn kosa wanatupiwa wake zao
 
Huwa nasema mwanaume hupaswi kuwa na mwanamke mmoja hata kama uko kwenye ndoa!


Hakikisha una wanawake wawili mmoja akizingua unachomoa kitu store.


Huyo Angel Benard kamkiambia me wake wa ndoa Kwa ulimbukeni.


Ndugu zangu wanaume nawasihi Tena Kwa afya ya akili zenu kuweni na spea tairi ( Mwanamke wa kando ) ila usizae nae! Huyo ni WA kurelax nae Incase lolote likitokea ndani ya ndoa huyo ndio anakuwa cooling zone. Hutakuja kuachwa kwenye mataa kama Mzee Shusho alivyoachwa na CHRISTINA SHUSHO kwenye mataa. Ngozi inapendeza hehehe saaaaaaaaafi


Dawa ya mwanamke ni mwanamke ni mwanamke mwenzake, muongezee mwanamke mwenzie shughuli imeisha !
 
Ni vizuri kufuata waimbayo kama unaona yanafaa,hayo mengine ya ubinadamu atakayewahukumu ni yule wamtukuzao.
Kumbuka kuna mambo ya mwili na ya kiroho,lakini pia kuna nguvu za nje zinazokinzana na zile za kiroho.
Pengine mapito kama hayo uliyoyasema ndio nguvu yao kiroho.
 
Yote kwa yote ila Martha mwaipaja kakuza kabinti kake kalibia wanalingana
kale ni katoto ka kufikia, jamaa waliyeachana alikuta watu walishapitaga huko, ni singo maza akamuokota na bado amekuja kumwacha baada ya kupata mpunga. angekua hajapata mpunga martha angamwacha yule bwanake? tuseme ukweli, kwa walomjua martha kipindi anavaa vinguo vya sagulaga ya manzese.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…