Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

Ana mtt wa kiume aliyemzaa na aliyekua mumewe
Huyo Binti gani mnamuongelea?
martha ana mtoto wa kike yupo chuo kama sikosei alizalia nyumbani. yule aliyezaa na mumewe ni wa kwenye ndoa. kiufupi ma singo maza muwe mnakumbuka mlikotoka namna tulivyowaokota. wanaume huwa tunajitoa mhanga sana kuoa mtu ambaye alishazaa na mwanaume mwingine, yaani lijamaa lilipiga hadi sio kumwaga tu bali hadi kuunganisha damu mimba, lakini tukiwaokota mnakuja kutuona hatuna maana.
 
1. Bahati Bukuku mumewe alizingua, hapa umemuonea. Mume ndiye kicheche na alimsababishia ngwengwe.

2. Upendo Kilahiro pia umemuonea mkosaji ni mumewe alimfumania live.

Muwe mnafanya utafiti msionee mtu
ingekuwa kufumaniwa au kucheat ni sababu y a mkristo kuachana, ndoa za wakristo zingekuwa chache sana. wala sio justification hiyo.
 
Uzuri ni ukweli usio na shaka so hata mapovu hayatokuwa mengi.

Gospel ni kichaka cha Uzinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…