Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

No,si Kila mziki mbaya!
Kuna secular music na non secular music.....
Tofautisha hapo...
Mziki wowote nyuma yake una roho(spirit) sa ni roho gani Iko nyuma ya huo mziki unaousikiliza ndo shida inaanzia hapo!
Na ndo maana sio Kila gospel ni gospel,nyimbo zenye Mungu kweli ndani yake km uko vzr unajua tu na za mchongo unajua tu!

Imagine mwingine kabla haajchia nyimbo/album mpk aende Kwa mganga wake ,sa unategemea unasikikiza nyimbo hiyo zile roho za kule alikoenda zitakuacha?
Same Kwa anaeomba Mungu kwanza kabla hajaziachia nyimbo zake....
Kuna vitu ukijishughulisha navyo huwezi kuepukana na maovu na machafu, hasa mambo ambayo ndani yake kuna ala za muziki, yaani kwa ujumla mziki. Mziki ni ushetani na jambo lisilo faa.

Shetani akawapambia wanadamu kwa majina mazuri kama vile Muziki wa Injili na mfano wake. Yaani huo pia ni mziki na ni ushetani.

Huwezi kutoboa haihitajiki akili kubwa kabis
 
Y
🤣🤣🤣Me naona kama tunataka kuwaona waimbaji kama malaika,hamna kitu ni binadamu wenzetu tu wale,wanamadhaifu ya kibinadamu sema tunaona sana makosa yao Kwa vile ni mashuhur
Yaaani,mbu waonje kila group la damu, af wenyewe wakae tuuuu. Haiwezekani
 
Kwnn ndoa za manasara wa hali ya chini kuvunjika ni kazi sana lkn hawa wenye pesa inakuwa rahisi sanaaaa why??

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenyewe(wa hali ya chini),wanashea kilichopatikana,kila mmoja anamjali mwenza wake na kuijali familia kwa ujumla. Wenye pesa,wanatafuta wenye pesa wenzao. Si unajua mtu akishiba hajui kama wapo wenye njaa. Mwanamke atamuona mwanaume hamfai,au mwanamke na yeye aone mwanaume hivyo hivyo.
Enewe, waache wafanye yao kikubwa uwezo wa kuishi maisha wanayotaka wanao
 
Hivi hii kasumba ya ndoa ikivunjika anaonekana mwanamke ndio ana makosa itaisha lini?

Sikatai katika hao huenda kuna baadhi walivunja nyumba zao kwa mikono yao ila hatuwezi kuwasema wote, ndoa zina mengi na kama watu walioana kwa mapenzi hadi wanafikia kuachana kuna sababu nzito bila kujali ni upande gani.
Kwamba ndoa 4 zotee zivunjwe kisa wanaume wa4??

#YNWA
 
Awe na ndoa au aside nayo,adange au asidange,awe kahaba au asiwe kahaba kama una Mawasilano yake huyo Bi Mdada Christiqn Shusho naomba-huwa namtamani sana.
 
Hata kama ingekuwa ni mwanaume ndio kavunja ndoa nne na wanawake wanne bado wangesema hao wanawake ndio wenye matatizo

Rudi kwenye hoja ......

""Kwamba ndoa 4 zotee zivunjwe kisa wanaume wa4??""

#YNWA
 
Back
Top Bottom