Wajue wasomi hawa wenye IQ kubwa, wanaoamini kuwa Biblia ni kitabu cha kweli

Unataka ushahidi gani tena zaidi ya huo wa Archaeologists?
 
Kama sio uwepo wa Mungu, elezea sasa kilichowafanya majambazi wakakimbia kwa kusikia tu Jina la Yesu lililotamkwa na mtu ambaye hana hata wembe mkononi.
The pen is mightier than the sword
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐ŸšฎAise unaongea utumbo tu.
Hayo ni maneno ya kujifariji tu lakini Injili tayari umeisikia. Huo ni ushuhuda tayari kwako usije ukasema siku ile hukusikia.
Mathayo 24:14
Tena Habari Njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja..
 

Hivi huoni aibu, kwa kuongea ujinga we dada? Kitendo cha wewe kunisomea habari Mathayo 24:14 hakifanyi hiyo habari iwe kweli. Muislamu akinisomea Surah ya Qur'an naye anajiamini kuwa amenihubiria na nimepata ushuhuda. Je, inatakiwa niogope nani kati yenu?
 

Aise ila wafia dini ๐Ÿ˜‚
 
Aise ila wafia dini ๐Ÿ˜‚
Yakobo 1:27
Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu.
 
Existence of God relies on Metaphysical experience. Due to that, there is no human being who can prove it empirically!
 
Yakobo 1:27
Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu.
Mtu anaeshindwa kutumia kichwa chake kuchakata mawazo yake na anatumia mawazo ya wazee walioishi miaka 2000 iliyopita namuona mwehu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ