Wakaka fueni boxer, acheni kuvaa zaidi ya mara moja

Boxa zenyewe unakuta kijana anazo mbili, hata akijitahidi kufua vipi bado kuna wakati tu atarudia boxa moja siku kadhaa mana vijana wa kiume hatunaga desturi ya kufua kila siku. Ukijumlisha na kutembea sana kwa mguu(jasho kwa wingi), unakuta hata sio kosa lake
 
Donatila,Ningekujibu ila kwa sababu zilizo nje ya mahusuano yenu na Yule ,kwaheri
 
Sijui ni wale walokulia vijijini au hata walokulia mjini? [emoji2369]

Wengine hata awe msomi na mwenye exposure ni yale yale tu.

Uchafu ni kasumba na Ila mbaya sana.
 
Kwa wale ambao wameoa wake zao wajitambue wawe wanawafulia waume zao.

Lakini usikubali kufuliwa na mchepuko wengi wana hila Na ushirikina atakutesa.

Utataka kujitoa lakini utakuwa Mtumwa wake na nduguze na wanae.
 
Tatizo linaanzia kwenye malezi.

Wazazi/walezi wengi wanakosea kwenye malezi .

Mlee Mtoto wako anapoenda kuoga jioni/usiku awe anafua chupi yake kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…