Wakaka fueni boxer, acheni kuvaa zaidi ya mara moja

Bila picha Uzi huu ni batili 😊😊😊😊
 
Weeeeeh kumbeπŸ€“πŸ€“πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kijana alikuwa ananuka jamani yaani hewa ikabadilika ikawa mbaya sana.
Fueni boxer kaka zangu...
Ngoja tupeane uzoefu kidogo. Yawezekana ni kweli iliyokuwa inanuka ni boxer, lakini pia uwezekano mwingine mkubwa ni kwamba alikuwa ananuka uvundo wa mapajani unaosababishwa na fungus. Hizi fungus zinakula sana pembezoni mwa mapaja na hata ukioga usiku, kama unazo basi asubuhi lazima zitatoa harufu tu. Sasa ukichangia na baadhi ya watu kutokuoga au walau kujiosha hayo maeneo wanapoamka asubuhi, harufu inakuwa kali zaidi.

Kwa kweli tuwe tunajikagua kabla hatujaenda kwenye public areas. Tujiangalie usoni, nguo, harufu mdomoni na sehemu hizo za mapaja, vinginevyo tutakuwa kero kwa wengine na hata siku moja tutaumbuka, hasa tukikutana na watu wasio na uvumilivu
 
Usitupangie maisha. Huyo jamaa ni Mimi na hiyo boksa ilikuwa chini ya godoro
 
Wanawake sijui wanajionaje! Wanapenda tu kidomo domo pengine hapo ana chupi moja tu na haifuagi kamwe lakini maneno yanamtoka balaa
 
Maisha ya wengi hayafanani na yako, umewasaidia wangapi hizo boxer, acha kuyajadli maisha ya watu kama huna msaada wowote kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…