Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Ndio yaleyale yaliyomkuta Jerry Tegete na Mrisho NgassaAbaki tu Yanga ambako atapata maslai bora
HawaoniNdio yaleyale yaliyomkuta Jerry Tegete na Mrisho Ngassa
Simba na Yanga 😂Ndio yaleyale yaliyomkuta Jerry Tegete na Mrisho Ngassa
Yeye mwenyewe sio professional, hatambuliki kama official wakala wa FIFA, ndio maana kidogo anakimbilia kwenye media, mara atie huruma kwa wanasiasa.Login • Instagram
"Mzize ameniambia kuwa wamemuomba abaki sababu wanamuhitaji Msimu Ujao wanashiriki ligi ya mabingwa, nikamwambia kwahiyo imekuwaje akaniambia wamesema watamboreshea maslai watampa mkataba, So hapa nilipo nasubiri mkataba wa Mzize wakishampa ananipatia tunarekebisha Baadhi ya vipengele tunaurudisha"
"Sina mahusiano nao mazuri, lakini ni vile tu wameamua kufanya Kazi unprofessionally , mi sihitaji tuwe marafiki, Wala sihitaji tuwe tunaongea Unaweza Ukatuma E-mail tukakujibu na tukaendelea na mambo mengine akini kwakuwa wameamua kufanya Kazi Unprofessionally na huwezi kuwabadilsha"
-Msimamizi wa Clement Mzize Jasmine Razack
My Take
Ndugu Polepole kuna wahuni wengine huku tunaomba uwachambue
Atazeekea hapohapo YangaHawaoni
SawaYanga ipo unprofessional kabla ya huyo dalali
NakubaliSawa mimi ni kenge
Walitaka wasubirisubiri labda atafunga hat trick CHAN wadai bilioni 8 badala yake yeye na kipa anaanguka anguka tu na game mzima anapigwa matobo na chenga za mauzi.Semeni ukweli, Waarabubu wamestuka baada ya kuona walikuwa wanaingia mkenge..