Wakala wa Mzize: Yanga wameamua kufanya kazi unprofessionally

Ukitazama suala la huyu dogo Mzinze na mtiririko wa comments humu ndani ndio unapata kuona namna gani soka letu linavyoendeshwa na aina ya mashabiki tulionao kwenye soka letu.......

Mimi binafsi kwa maslahi mapana ya mchezaji husika ukizingatia na umri wake bado kinda nadhani angeangalia zaidi soka la nje kwenye kujitangaza na kujiongezea thamani......

Vilabu vya bongo vinajulikana kwa ubabaishaji hasa linapokuja suala la maslahi ya wachezaji.....tumeona misuko suko na kesi nyingi za kimadai huko caf dhidi ya vilabu vyetu pendwa........ maslahi yao mengi yapo kwenye maandishi zaidi kuliko uhalisia wa maisha wa malipo!!!!

Nadhani bwana mdogo angetakiwa kulipeleka soka lake kimataifa zaidi kwa kujitangaza na kutafuta maslahi zaidi kwa kuwa kipaji anacho na umri unambeba!!!!
Usisahau kwamba yupo ndani ya mkataba na Yanga wana maamuzi ya kumu uza au kukataa hata kitendo cha kumuongeza mshahara ni maamuzi yao
 
Mashabiki wa Tanzania wanawaza huruma na hisani kwamba mchezaji lazima auzwe wakati swala la kuuza ni hiari.
 
Mnao umia ni wengi na huyo winga mwambieni dogo kachagua kubaki sehemu sahihi na mpaka sasa wino ashamwaga maswala ya apeleke sijui arekebishe huo uwezo winga hana akubali ashakataliwa
 
Mzize Kama atakubali kubaki pale nyuma mwiko msimu ujao atapata tabu sana pale kikundini.......
 
"Mzize ameniambia kuwa wamemuomba abaki sababu wanamuhitaji Msimu Ujao wanashiriki ligi ya mabingwa, nikamwambia kwahiyo imekuwaje akaniambia wamesema watamboreshea maslai watampa mkataba"

Kauli hii imemaliza utata kuwa ni makubaliano ya Mzize na Yanga na Mzize sio mtoto mdogo kwamba karubunika bali karidhia kwa mapenzi yake kubakia kutokana na makubaliano waliyofikiana. Sasa sijui kinachomuuma wakala wake ni kipi? Maamuzi kafanya mchezaji wake yeye ana kereka na lipi? Amlaumu mchezaji wake
Kibaya ni kipi hapo?..alichozungumza inshort hapo lazima uelewe Mzize bado anafanya kazi na huyo Mama upande wa kisheria na maslahi yake binafsi bado huyo mama anamsimamia katika ajira yake iwe Yanga ama kwngneko...cha mwsh lazima uelewe Mzize ndo Boss
 
Ukitazama suala la huyu dogo Mzinze na mtiririko wa comments humu ndani ndio unapata kuona namna gani soka letu linavyoendeshwa na aina ya mashabiki tulionao kwenye soka letu.......

Mimi binafsi kwa maslahi mapana ya mchezaji husika ukizingatia na umri wake bado kinda nadhani angeangalia zaidi soka la nje kwenye kujitangaza na kujiongezea thamani......

Vilabu vya bongo vinajulikana kwa ubabaishaji hasa linapokuja suala la maslahi ya wachezaji.....tumeona misuko suko na kesi nyingi za kimadai huko caf dhidi ya vilabu vyetu pendwa........ maslahi yao mengi yapo kwenye maandishi zaidi kuliko uhalisia wa maisha wa malipo!!!!

Nadhani bwana mdogo angetakiwa kulipeleka soka lake kimataifa zaidi kwa kujitangaza na kutafuta maslahi zaidi kwa kuwa kipaji anacho na umri unambeba!!!!
Wapo wanao sema mzize alikuwaga BODA boda.

Mimi leo hii nilikua na uwezo wa kusema ni under 17 ila ki UHALISIA Nina 38's na usheee

Mzize alitakiwa aondoke aende nje ila yanga hawanaga tendency NZURIII SANAA wakiwa wanamuhitaji mchezaji wao huachana kwa zengwe na ntimanyongo

Refer issue ya wachezaji mayele, Faisal toto na wengineo wengi Huwa Wana mizengwee sanaa hao yanga Africa..
 
Kujitangaza hata bingo anajitangaza kwani hadi anaonekana na umri wake bro kajitangazia wapi?

Sasa kuliko aende Al Masry au Kuwait si bora abaki Yanga mkuu au hilo hulioni?
 
Wapo wanao sema mzize alikuwaga BODA boda.

Mimi leo hii nilikua na uwezo wa kusema ni under 17 ila ki UHALISIA Nina 38's na usheee

Mzize alitakiwa aondoke aende nje ila yanga hawanaga tendency NZURIII SANAA wakiwa wanamuhitaji mchezaji wao huachana kwa zengwe na ntimanyongo

Refer issue ya wachezaji mayele, Faisal toto na wengineo wengi Huwa Wana mizengwee sanaa hao yanga Africa..
Mkuu aende wapi ambapo wametoa ofder rasmi? Kwamba kila offer ya mtandaoni isiyo rasmi na ikiwa ikiwa ni ya nje mchezaji aruhusiwe kwenda?

Mfano hivi Al Masry anaenda kufanya nini au tunajiropokea tu?
 
Screenshot_20250828-151507_WhatsApp.jpg
 
Kibaya ni kipi hapo?..alichozungumza inshort hapo lazima uelewe Mzize bado anafanya kazi na huyo Mama upande wa kisheria na maslahi yake binafsi bado huyo mama anamsimamia katika ajira yake iwe Yanga ama kwngneko...cha mwsh lazima uelewe Mzize ndo Boss
Kuna sehemu nimesema kuwa kuna kibaya?
Nimenukuu kauli ya huyo Jasmine akiongea alichoambiwa na Mzize. Kwa kauli hiyo ni wazi Mzize kaamua kubakia Yanga baada ya kuafikiana kuhusu maslahi binafsi. Sasa mtu anasema Yanga wanafanya kazi unprofessional kisa tu Mzize hajauzwa. Wewe inakuingia akilini?
 
Mkuu aende wapi ambapo wametoa ofder rasmi? Kwamba kila offer ya mtandaoni isiyo rasmi na ikiwa ikiwa ni ya nje mchezaji aruhusiwe kwenda?

Mfano hivi Al Masry anaenda kufanya nini au tunajiropokea tu?
Haya mambo hayahitaji jazba wala hasira bali yanataka weledi.......
Wewe unaposema kuwa ni kheri abakie Yanga kuliko kwenda Al Masry hoja yako inasimamia kwenye nini......??.....ubora huo unaomtaka abakie Yanga kuliko kwenda Al Masry ni upi au wa namna gani...??
 
Wapo wanao sema mzize alikuwaga BODA boda.

Mimi leo hii nilikua na uwezo wa kusema ni under 17 ila ki UHALISIA Nina 38's na usheee

Mzize alitakiwa aondoke aende nje ila yanga hawanaga tendency NZURIII SANAA wakiwa wanamuhitaji mchezaji wao huachana kwa zengwe na ntimanyongo

Refer issue ya wachezaji mayele, Faisal toto na wengineo wengi Huwa Wana mizengwee sanaa hao yanga Africa..
Timu yenye malengo hua haiachii wachezaji wake mhimu kizembe unless unaongea kishabiki
 
Mawinga a.k.a Dalali kwenye soccer?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom