Wakala wa Mzize: Yanga wameamua kufanya kazi unprofessionally

Mawinga a.k.a Dalali kwenye soccer?
Kazi ni kipimo cha utu
Screenshot_20250828-151507_WhatsApp.jpg
 
Swali lako limetokana na nini?
Walio ACHA TIZI wakawa kama mrisho ngassa....KIBONGO BONGO TUNA MTINDO WA KUCHUKULIANAGA POA POA HAO YANGA WANA UWEZO WA KUMPA PESAAA AMBAYO ANGEPEWA KWA WAARABU??

Huyo mzee mzize asije akabakia hapo msimu mmoja kiwango kikishuka wanakupa thank you then mzize akumbuke step wakati BEAT LIMEISHAA

Then akienda kuuza mahindi ya kuchoma bugurunii au kurudia ile kazi yake adhimu ya uafisa usafirishaji almaarufu kama BOODABODA nyie hao hao muanze kumcheka wabongo tunawajua SANAAAAAA
 
Login • Instagram
"Mzize ameniambia kuwa wamemuomba abaki sababu wanamuhitaji Msimu Ujao wanashiriki ligi ya mabingwa, nikamwambia kwahiyo imekuwaje akaniambia wamesema watamboreshea maslai watampa mkataba, So hapa nilipo nasubiri mkataba wa Mzize wakishampa ananipatia tunarekebisha Baadhi ya vipengele tunaurudisha"

"Sina mahusiano nao mazuri, lakini ni vile tu wameamua kufanya Kazi unprofessionally , mi sihitaji tuwe marafiki, Wala sihitaji tuwe tunaongea Unaweza Ukatuma E-mail tukakujibu na tukaendelea na mambo mengine akini kwakuwa wameamua kufanya Kazi Unprofessionally na huwezi kuwabadilsha"

-Msimamizi wa Clement Mzize Jasmine Razack

My Take
Ndugu Polepole kuna wahuni wengine huku tunaomba uwachambue
Huyo mama mchumia tumbo mwenyewe ni unprofessional
Huwezi kuanika details za deal la mteja wako kwenye vyombo vya habari🚮🚮
 
Yanga wameact unprofessional ama kashindwa kukubali kuwa mchezaji wake anamdharau? Yaani wakala yupo na bado mchezaji anaamua kumalizana na mwajiri yeye mwenyewe!!!
 
Yeye mwenyewe sio professional, hatambuliki kama official wakala wa FIFA, ndio maana kidogo anakimbilia kwenye media, mara atie huruma kwa wanasiasa.

Unayesema hivi form four D leaver... Hii nchi uhuru umezidi
 
Uzuri humu JF hatuwekagi vyeti, ila kuna majukwaa na share nilicho nacho.Uzuri sijakushikia bunduki kuamini ila ndio ukweli wenyewe, kwa Tz Wakala anatambulika na FIFA ni mmoja tuu, Salama Jabir na Shafii walijaribu ila hawakufanya vizuri pepa za FIFA.

So huyo ni kishoka/dalali kama madalali wengine.
 
Uzuri humu JF hatuwekagi vyeti, ila kuna majukwaa na share nilicho nacho.Uzuri sijakushikia bunduki kuamini ila ndio ukweli wenyewe, kwa Tz Wakala anatambulika na FIFA ni mmoja tuu, Salama Jabir na Shafii walijaribu ila hawakufanya vizuri pepa za FIFA.

So huyo ni kishoka/dalali kama madalali wengine.

Unayesema hivi form four D leaver... Hii nchi uhuru umezidi
 
Login • Instagram
"Mzize ameniambia kuwa wamemuomba abaki sababu wanamuhitaji Msimu Ujao wanashiriki ligi ya mabingwa, nikamwambia kwahiyo imekuwaje akaniambia wamesema watamboreshea maslai watampa mkataba, So hapa nilipo nasubiri mkataba wa Mzize wakishampa ananipatia tunarekebisha Baadhi ya vipengele tunaurudisha"

"Sina mahusiano nao mazuri, lakini ni vile tu wameamua kufanya Kazi unprofessionally , mi sihitaji tuwe marafiki, Wala sihitaji tuwe tunaongea Unaweza Ukatuma E-mail tukakujibu na tukaendelea na mambo mengine akini kwakuwa wameamua kufanya Kazi Unprofessionally na huwezi kuwabadilsha"

-Msimamizi wa Clement Mzize Jasmine Razack

My Take
Ndugu Polepole kuna wahuni wengine huku tunaomba uwachambue
Kataa winga
 
Walio ACHA TIZI wakawa kama mrisho ngassa....KIBONGO BONGO TUNA MTINDO WA KUCHUKULIANAGA POA POA HAO YANGA WANA UWEZO WA KUMPA PESAAA AMBAYO ANGEPEWA KWA WAARABU??

Huyo mzee mzize asije akabakia hapo msimu mmoja kiwango kikishuka wanakupa thank you then mzize akumbuke step wakati BEAT LIMEISHAA

Then akienda kuuza mahindi ya kuchoma bugurunii au kurudia ile kazi yake adhimu ya uafisa usafirishaji almaarufu kama BOODABODA nyie hao hao muanze kumcheka wabongo tunawajua SANAAAAAA
Denis Oliech yupo hapo Kenya kacheza League 1 France sasa hivi ana maisha magumu, mafanikio sio kulipwa pesa nyingi ni jinsi unavyo generate kipato chako
 
Unayesema hivi form four D leaver... Hii nchi uhuru umezidi
Humu tunabishana kwa hoja na si kwa vyeti huyo unaye mtetea ni winga kama mawinga wengine kama umeumua kunya boga, ila ni huyo ni dalali hajulikani na FIFA.
 
Kauli hii imemaliza utata kuwa ni makubaliano ya Mzize na Yanga na Mzize sio mtoto mdogo kwamba karubunika bali karidhia kwa mapenzi yake kubakia kutokana na makubaliano waliyofikiana. Sasa sijui kinachomuuma wakala wake ni kipi? Maamuzi kafanya mchezaji wake yeye ana kereka na lipi? Amlaumu mchezaji wake

Wakala kakosa kishika uchumba na marupurupu ya uhamisho...
 
Kuna watu wanashangaza kweli; wanapiga kelel aende Tunisia wakati huo huo wanashangili Selemwanai mwalimu kurudi kutoka Morroco aichezee Simba.

Huyu mama siyo wakala mwenye kutambuliwa na FIFA, atalazimishaje kufanya kazi na Yanga inayojua kufanya kazi na mawakala wa kimataifa wasiopiga makelele kwenye vyombo vya habari? Utajadili vfipi msalahi ya mteja wako iwapo huwezi kukaa meza moja na uongozi wa timu anayochezea?

1756403241055.png
 
Back
Top Bottom