Wakala wa Mzize: Yanga wameamua kufanya kazi unprofessionally

Usisahau kwamba yupo ndani ya mkataba na Yanga wana maamuzi ya kumu uza au kukataa hata kitendo cha kumuongeza mshahara ni maamuzi yao
 
Usisahau kwamba yupo ndani ya mkataba na Yanga wana maamuzi ya kumu uza au kukataa hata kitendo cha kumuongeza mshahara ni maamuzi yao
Mashabiki wa Tanzania wanawaza huruma na hisani kwamba mchezaji lazima auzwe wakati swala la kuuza ni hiari.
 
Mnao umia ni wengi na huyo winga mwambieni dogo kachagua kubaki sehemu sahihi na mpaka sasa wino ashamwaga maswala ya apeleke sijui arekebishe huo uwezo winga hana akubali ashakataliwa
 
Mzize Kama atakubali kubaki pale nyuma mwiko msimu ujao atapata tabu sana pale kikundini.......
 
Kibaya ni kipi hapo?..alichozungumza inshort hapo lazima uelewe Mzize bado anafanya kazi na huyo Mama upande wa kisheria na maslahi yake binafsi bado huyo mama anamsimamia katika ajira yake iwe Yanga ama kwngneko...cha mwsh lazima uelewe Mzize ndo Boss
 
Wapo wanao sema mzize alikuwaga BODA boda.

Mimi leo hii nilikua na uwezo wa kusema ni under 17 ila ki UHALISIA Nina 38's na usheee

Mzize alitakiwa aondoke aende nje ila yanga hawanaga tendency NZURIII SANAA wakiwa wanamuhitaji mchezaji wao huachana kwa zengwe na ntimanyongo

Refer issue ya wachezaji mayele, Faisal toto na wengineo wengi Huwa Wana mizengwee sanaa hao yanga Africa..
 
Kujitangaza hata bingo anajitangaza kwani hadi anaonekana na umri wake bro kajitangazia wapi?

Sasa kuliko aende Al Masry au Kuwait si bora abaki Yanga mkuu au hilo hulioni?
 
Mkuu aende wapi ambapo wametoa ofder rasmi? Kwamba kila offer ya mtandaoni isiyo rasmi na ikiwa ikiwa ni ya nje mchezaji aruhusiwe kwenda?

Mfano hivi Al Masry anaenda kufanya nini au tunajiropokea tu?
 
Kuna sehemu nimesema kuwa kuna kibaya?
Nimenukuu kauli ya huyo Jasmine akiongea alichoambiwa na Mzize. Kwa kauli hiyo ni wazi Mzize kaamua kubakia Yanga baada ya kuafikiana kuhusu maslahi binafsi. Sasa mtu anasema Yanga wanafanya kazi unprofessional kisa tu Mzize hajauzwa. Wewe inakuingia akilini?
 
Mkuu aende wapi ambapo wametoa ofder rasmi? Kwamba kila offer ya mtandaoni isiyo rasmi na ikiwa ikiwa ni ya nje mchezaji aruhusiwe kwenda?

Mfano hivi Al Masry anaenda kufanya nini au tunajiropokea tu?
Haya mambo hayahitaji jazba wala hasira bali yanataka weledi.......
Wewe unaposema kuwa ni kheri abakie Yanga kuliko kwenda Al Masry hoja yako inasimamia kwenye nini......??.....ubora huo unaomtaka abakie Yanga kuliko kwenda Al Masry ni upi au wa namna gani...??
 
Timu yenye malengo hua haiachii wachezaji wake mhimu kizembe unless unaongea kishabiki
 
Mawinga a.k.a Dalali kwenye soccer?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…