Ngasa part twoLogin • Instagram
"Mzize ameniambia kuwa wamemuomba abaki sababu wanamuhitaji Msimu Ujao wanashiriki ligi ya mabingwa, nikamwambia kwahiyo imekuwaje akaniambia wamesema watamboreshea maslai watampa mkataba, So hapa nilipo nasubiri mkataba wa Mzize wakishampa ananipatia tunarekebisha Baadhi ya vipengele tunaurudisha"
"Sina mahusiano nao mazuri, lakini ni vile tu wameamua kufanya Kazi unprofessionally , mi sihitaji tuwe marafiki, Wala sihitaji tuwe tunaongea Unaweza Ukatuma E-mail tukakujibu na tukaendelea na mambo mengine akini kwakuwa wameamua kufanya Kazi Unprofessionally na huwezi kuwabadilsha"
-Msimamizi wa Clement Mzize Jasmine Razack
My Take
Ndugu Polepole kuna wahuni wengine huku tunaomba uwachambue
Kama walikua wanalipwa lakini wakashindwa kujiandalia maisha yao baada ya kustaafu ilo sio kosa la yangaNdio yaleyale yaliyomkuta Jerry Tegete na Mrisho Ngassa
Kacheze wewe badala yake 😂Huyo Mzize kichwa kama sanduku la kubebea chatu, sijawahi kumtarajia awe na akili timamu. Na kwa hili kathibitisha mtazamo wangu juu yake.
Mikia hawajielewiWatu wa mikia buana,mnajifanya mnamachungu ya Mzize kwenda nje, wakati nyiee mnamrudisha Mwalimu toka wydad kurudi Tz,kama mnajifanya mnapemda Maendeleo mngemuacha wydad ila mmerudisha kipaji Bongo tena
Wanajifanya wanaakili kwasababu wanajua Mzize ni asset nzuri kwa YangaMikia hawajielewi
Kuna sele mwalim alikua wydad,karudishwa TZ na simba wala amuliongelei,mwaka jana kibu alipatq timu norway mkagoma kumuuza,mwaka huu feisal alitakiwa na kaizer chief amuongelei pia,kwa mzize sasa povu linavyowatokaNdio yaleyale yaliyomkuta Jerry Tegete na Mrisho Ngassa
Umjumlishe pia na Selemani Mwalimu aliyesajiliwa simba kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Wydad Casablanca. Siyo kila siku tunatumia tu mifano ya zamani, na wakati kuna mifano mingine imeongezeka.Ndio yaleyale yaliyomkuta Jerry Tegete na Mrisho Ngassa
Huwa hafanywi chochote huyo hata atukane watu matusi ya aina gani! Na hapa ndipo wakati fulani ninapo idharau jamii forums kwa kurusu hata vichaa kufanya wanachotaka humu jukwaani.
aka WINGAYanga ipo kabla ya huyo dalali njaa
Sasa aliposema Yanga hawafanyi kazi unprofessional alimaanisha hajauzwa?Kuna sehemu nimesema kuwa kuna kibaya?
Nimenukuu kauli ya huyo Jasmine akiongea alichoambiwa na Mzize. Kwa kauli hiyo ni wazi Mzize kaamua kubakia Yanga baada ya kuafikiana kuhusu maslahi binafsi. Sasa mtu anasema Yanga wanafanya kazi unprofessional kisa tu Mzize hajauzwa. Wewe inakuingia akilini?
Injinia wa mchongo nae anahusika kwa 100%Huyo Mzize kichwa kama sanduku la kubebea chatu, sijawahi kumtarajia awe na akili timamu. Na kwa hili kathibitisha mtazamo wangu juu yake.