Wakalenjini na Wakikuyu wataendelea kutawala Kenya miaka mingine 20

Maombi ya Nini hapo Ili Hali kwenye kichwa cha habari unadai mtaongoza milele?
 
Umeandiak uwongo kwa asilimia 80 % acha speculation za kijinga na kijidai unajuwa vitu kumbe hkn kitu eti dunia inaendesdwah na wasijulikana
 
Umeandiak uwongo kwa asilimia 80 % acha speculation za kijinga na kijidai unajuwa vitu kumbe hkn kitu eti dunia inaendesdwah na wasijulikana
Kwa macho ya kawaida huwezi ona
 
Kura za Wakalenjini na wakikuyu tu zimetosha kumvukisha this humble God fearing gentleman. Kusema kweli Ruto anastahili kuwa Rais wa Tano Kenya. Namuombea na nitafurahivsana akashinda.
Kura za wakikuyu zimeshagawanyika baina ya Karua na Gachagua. Na mgawanyo huo unamnufaisha zaidi mwana wa Jaramogi as uzito mwingi wa kura za wakikuyu upo kwake. Hii ni kutokana na kuwa na backup ya Mwigai mwana wa Kenyatta ambaye amekuwa akimpigia kura kwa kuongea lugha ya asili yake alipokuwa anazuru kwa wakikuyu wenzie. Odinga anachukua nchi.
 
Waaaapiiii
 
Yaani kwenye uzi mwanzo mwisho hapahesabiki wakenya hata watatu tu. Majirani tulieni, maamuzi yapo kwa wenye kura, huu sio ushabiki wa Yanga na Simba.

Kigezo cha kushinda kura za urais nchini Kenya sio kuwa na kura nyingi tu, zaidi ya mpinzani wako. Huo upuuzi tuliuacha zamani. Ili atangazwe kama mshindi mgombea urais lazima atimize vigezo vya kupata 50%+1 ya kura zote na pia awe amepata 25% ya kura zote kwenye gatuzi 25, kati ya gatuzi zote 47.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…