sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Wakuu nna habari ya kuwajuza kuhusu industry yetu ya burudani.
Ali Kiba wiki hii mwishoni ataenda kufanya show ya kuzindua duka la mavazi. Hongera sana Kiba kwa kuaminika na muuza duka na kukupa nafasi ya kupafomu mbele ya wateja wake.
Diamond ndani ya wiki hizi mbili amekuwa busy na show za kimataifa.
Kwanza, alikuwa Sweden akiburudisha watu kutoka mataifa tofauti tofauti. Pia alikuwa South Africa akipafomu jukwaa moja na Jason Derulo pamoja na wasanii wenzake wakubwa duniani, kisha alipiga show ya stadium pale Zimbabwe.
Tunampa pongezi kwa kutuwakilisha kimataifa.