sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Dunia ndivyo ilivyo.Wakati wewe unatumia bando kutuletea habari , Kiba na Mondi wanaingiza pesa. Hongera sana kwao.Wakuu nna habari ya kuwajuza kuhusu industry yetu ya burudani.
Ali Kiba wiki hii mwishoni ataenda kufanya show ya kuzindua duka la mavazi. Hongera sana Kiba kwa kuaminika na muuza duka na kukupa nafasi ya kupafomu mbele ya wateja wake.
Diamond ndani ya wiki hizi mbili amekuwa busy na show za kimataifa.
Kwanza, alikuwa Sweden akiburudisha watu kutoka mataifa tofauti tofauti. Pia alikuwa South Africa akipafomu jukwaa moja na Jason Derulo pamoja na wasanii wenzake wakubwa duniani, kisha alipiga show ya stadium pale Zimbabwe.
Tunampa pongezi kwa kutuwakilisha kimataifa.
Hapana, tunawapa pongezi wote.Kuna shidoo
Hata diamond alipokuwa Kwa Diddy chumbani kiba alikuwa na demu wake getoWakuu nna habari ya kuwajuza kuhusu industry yetu ya burudani.
Ali Kiba wiki hii mwishoni ataenda kufanya show ya kuzindua duka la mavazi. Hongera sana Kiba kwa kuaminika na muuza duka na kukupa nafasi ya kupafomu mbele ya wateja wake.
Diamond ndani ya wiki hizi mbili amekuwa busy na show za kimataifa.
Kwanza, alikuwa Sweden akiburudisha watu kutoka mataifa tofauti tofauti. Pia alikuwa South Africa akipafomu jukwaa moja na Jason Derulo pamoja na wasanii wenzake wakubwa duniani, kisha alipiga show ya stadium pale Zimbabwe.
Tunampa pongezi kwa kutuwakilisha kimataifa.
Umepanic sana bila sababu ya msingi. Hii ni habari na uhalisia wa muziki wetu. Ukiweza ibadilishe basi iwe tofauti.Uchawa kwa Mtoto wa Kiume ni aibu sana huyo Diamond anakufahamu lakini? Hata kama Wewe ni Chawa jifunze kubalansi shobo. Hivi ungeripoti habari ya Diamond bila kuiingiza habari ya Ali Kiba ungepungukiwa na nini.
Nina Wasiwasi na wewe yawezekana upo kwenye group moja na kina Baba Levo na Juma Lokole
Mkuu ni kama hii habari ujaipenda!?Dunia ndivyo ilivyo.Wakati wewe unatumia bando kutuletea habari , Kiba na Mondi wanaingiza pesa. Hongera sana kwao.
Liko vipi hilo kundi?Uchawa kwa Mtoto wa Kiume ni aibu sana huyo Diamond anakufahamu lakini? Hata kama Wewe ni Chawa jifunze kubalansi shobo. Hivi ungeripoti habari ya Diamond bila kuiingiza habari ya Ali Kiba ungepungukiwa na nini.
Nina Wasiwasi na wewe yawezekana upo kwenye group moja na kina Baba Levo na Juma Lokole
Childish, alafu haichekeshiHata diamond alipokuwa Kwa Diddy chumbani kiba alikuwa na demu wake geto
Umeandika kiumbeya umbeya sana halafu Kijana wa Kiume unakuwa unasifiaUmepanic sana bila sababu ya msingi. Hii ni habari na uhalisia wa muziki wetu. Ukiweza ibadilishe basi iwe tofauti.
Wanaume wanatamani kumzalia Diamond watotoLiko vipi hilo kundi?
Kijana wa kiume hatakiwi kusifia, anatakiwa adhiaki. Sawa wewe ni kidume haswa.Umeandika kiumbeya umbeya sana halafu Kijana wa Kiume unakuwa unasifiq Wanaume wenzako kwa faida gani?