Wakati Diamond Platnumz akitoka kwenye international shows ulaya na Africa.. Ali Kiba anaenda kufanya show ya kuzindua duka mkoani Morogoro

K
Kwani kiboboso humjui, atakubobosa
 
Unaizungumziaje ile show ya kwa p didy
 
Hapana, tunawapa pongezi wote.
Unafahamu kuwa mfalme wa pop, hayati Michael Jackson wakati akiwa kwenye ubora wake alishawahi kuitwa kupiga show kwenye birthday ya binti wa Sultani wa Brunei? Kama hela ipo sio mbaya Kiba kutumbuiza kwenye uzinduzi wa duka. Wakati mwingine usiponde wengine unapomsifia mumeo Mond.
 
Watu wenyewe ukute hata hawakujui na lazima wanakuzidi mafanikio mbaliii mbingu na ardhi. Wakati wenzako wanaingiza pesa wewe upo Jf kuleta kejeli.

Uchawa ukizidi unakua mwehu.
 
Mond noma anapaform mpka chumbani kwa pddy😃😃
 
Jason Derulo nae yupo kwenye list ya Diddy. Connect dots.
 
Bila shaka huyo uliyemtaja pia kakupanda.......maana huwezi kuumia kiasi hicho kama ajapita na Linda box lako
 
Hii thread imeandikwa kinafiki sana 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…