Wakati Diamond Platnumz akitoka kwenye international shows ulaya na Africa.. Ali Kiba anaenda kufanya show ya kuzindua duka mkoani Morogoro

Bora alikiba hapotezi muda wake , ila mondi anaenda huko hakuna wakumshangilia kiba kashajua nje nikujichoresha nakujipa preshaa maana hawajulikani mwisho wakujulikana kenya
 
Usimlinganishe diamond na vitu vya ajabu!yaani Kiba hamfikii diamond kwa lolote lile
 
Kwani anapozindua duka anafanya show bure?
 
Hakuna sehemu nimeandika show ya bure. Una tatizo la uelewa.
Umeandika kwa kukejeli ndiyo maana nikakuuliza kwani anafanya bure? Kwahiyo wewe unaweza kufanya show London bure kisa ni nje ya nchi? Kama amepata maokoto ni moja ya sehemu ya kazi....Mchagua jembe si mkulima.
 
Nimeona hizo Habari.. VunjaBei Kama Dar,, Duka limehamia Moro Town
 
Wote si wanaingiza pesa
 
Kuna sehemu nimezungumza kuhusu mtu kutoingiza pesa?

Sielewi kwa nini watu uwa mnakosa akili kabisa hata ya ufahamu wa kusoma very simple article.
Hoja zako zinakuaga nzuri but shinda ni moja uwashilishwaji wako wa mada unazingua ni hivyo tu
 
Kikubwa kiba hakwenda kwa pididi.....,,kwahio asifananishwe na alieenda kumtembele pididi nyumbani kwake
 
Ww kinachokuuma ni kipi hapo kwani?
 
Vp walivyofika kwa p diddy walipanda juu au waliishia chini
 
Diamond ndani ya wiki hizi mbili amekuwa busy na show za kimataifa.
Kwanza, alikuwa Sweden akiburudisha watu kutoka mataifa tofauti tofauti. Pia alikuwa South Africa akipafomu jukwaa moja na Jason Derulo pamoja na wasanii wenzake wakubwa duniani, kisha alipiga show ya stadium pale Zimbabwe❤.
 
Hajaenda kwa DD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…