Wakati Diamond Platnumz akitoka kwenye international shows ulaya na Africa.. Ali Kiba anaenda kufanya show ya kuzindua duka mkoani Morogoro

Kama kuna kosa mnafanya nyinyi generation Z ni kumfananisha alikiba na diamond ni sawa na kumfananisha samata na Edwin balua because they are two different artists from different generations anayoyafanya diamond Ali kiba kashafanya long time ago.
 
Hapa umetupiga fix
 
Sawa dada yake pdidy naona unampamba wifi yako kwa juhudi zake za mwanamke mpambanaji.
Ila mwanaume mimi siwezi na siko tayari kumsifia mke wa mwanaume mwenzangu.
 
Wanaomlinganishaga Alli Kiba na Diamond ni aidha ni chawa au ni wanafiki. Na hawa wanafiki enzi tukiwa wadogo walikuwa wanasema "wanampaka maduta Alli Kiba kwa mgongo wa chupa"!!!
 
Lakini mna uhakika Alikiba angetaka competition na Diamond asingeweza kumifikia?? Au ni wametofautiana level, kwa maana wakati Alikiba anawika Bongo Daimond hakuwepo kabisa
 
Kuna watu walishakata kupakwa BABY OIL kwahiyo msiwalazimishe kufata mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…