Wakati Halima Mdee na wenzake wakipewa majina ya kutisha na kutukanwa hatukusikia taasisi wala kikundi kukemea!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka.

Juzi kuna habari imetokea huko kwenye ziara za Rc mmoja hiyo habari kila mmoja amekurupuka eti wamejisikia uchungu kwa kuwa tu huyo mama kaambiwa aheshimu wananchi waliomuajiri.

Hatukusikia kile kituo cha kihuni sijui cha nini zamani kiliongozwa na bi kijosimba wala umoja wa majungu tanzania uwt ,hata siku moja kufungua mdomo na kuwatetea wanawake wakina Halima mdee na wenzake kwa matusi udhalilishwaji na majina yenye kutweza utu wa mwanamke ,kuna kipindi alikuwa anaitwa mzee Halima mjomba msagaji ,tena bila kificho lakini wala hakujitokeza hata mmoja.

je hao sio wanawake hebu wabongo nyoso tujitahidini kama sio kuwacha unafiki usio na kipimo ,
mara ngapi huyo kiongozi wa uwt ameongea kauli zenye ukakasi lakini hakuna aliyefungua mdomo!
Wabongo wacheni unafiq jina cov19 sio zuri pazeni sauti kwa wanawake wote!
 
Mdee ni mwanamke? Ongea vizuri na Esther kisha ulete mrejesho hapa jukwaani.
 
Chizi katika ubora wako, Bashite ni Bashite tu
 
Hahahah unasema vitu vya kijinga wakati mjinga namba moja ni wewe
 
Mtoa mada upo Sahihi kabisaa!!!
Ingawa CCM siwakubali ila makonda namkubali Sana siasa zake, kinachowasumbua watanzania wengi ni wivu Tu hakuna lingine
 
Kwa hiyo, what do you want to prove? Kwamba A kaiba hakukamatwa na B ameiba kwa nini akamatwe? C kabaka mtoto hakukamatwa na D naye kabaka, kwa nini akamatwe? Na je ni kwa kiasi gani uko update na taarifa zinazotolewa na hawa wanaharakati wa haki za binadamu kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, ripoti zao na hata kwenye makongamano wanayoshiriki? Je, wewe ungedhalilishwa ungependa kati ya watu walioshuhudia au aliyesikia habari zako wakae kimya? Au unasema haya kwa sababu hujadhalilishwa wewe?
 
Hao haki za binadamu wapo kisiasa hawana lolote la maana kifupi ni kikundi cha wahuni fulani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…