Wakati Halima Mdee na wenzake wakipewa majina ya kutisha na kutukanwa hatukusikia taasisi wala kikundi kukemea!

Naunga mkono hoja, akina sisi tuliwatetea sana tuu Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
P
 
Mbona walitetewa sana Kipara kipya, hadi wakapewa hifafhi pale gereji na hatimae kusajiliwa mjengoni kwa tikiti ya watoa hifadhi.Wewe inaonyesha unazeeka vibaya,kumbukumbu unapeleka wapi😂
 
Mzee Mdee?
 
Itabidi siku moja nikutafute uso kwa uso!
Katika vitu vichache kabisa nilivyokuunga mkono ni pale uliposema Samia hana uwezo wa kuwa rais. Nimesikia rais Ruto akihojiwa na CNN. Kenya wana kiongozi mwenye kujua kuongea na mwenye vision. Ingekuwa ni Samia anahojiwa, watanzania tungeomba ardhi ipasuke tujifiche kwa aibu.
 
Hao haki za binadamu wapo kisiasa hawana lolote la maana kifupi ni kikundi cha wahuni fulani!
Lakini angalau wamekemea udhalilishaji. Kwenye administrative law 'any government official must do what he or she does with the authority of law (within legal bounds)', otherwise what he or she does is arbitrary (unstrained and autocratic in the use of authority). Sasa ni sheria gani iliyomfanya aseme hayo (yanayolalamikiwa) aliyosema kwa huyo mtumishi? Au hayo maneno ya uchumba na kuwa na mke mzuri yalikuwa kwenye kipengere kipi cha maelezo ya huyo mtumishi, kama siyo far-fetched?
 
Mdee ni mwanaume, na ameoa ana mke uwe na heshima.
 
Walipewa na chadema

Sasa wale jamaa ni ngumu sana kusema nao chochote maana hawakawii kuhamishia mitusi yao kwa LHRC…

Acha wafu wazikane wenyewe
 
Walipewa na chadema

Sasa wale jamaa ni ngumu sana kusema nao chochote maana hawakawii kuhamishia mitusi yao kwa LHRC…

Acha wafu wazikane wenyewe
Hao LHRC ni kituo cha hovyo kinachojihusisha kisiasa kimya kimya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…