Wakati Halima Mdee na wenzake wakipewa majina ya kutisha na kutukanwa hatukusikia taasisi wala kikundi kukemea!

Unalia nini?
 
Walipewa na chadema

Sasa wale jamaa ni ngumu sana kusema nao chochote maana hawakawii kuhamishia mitusi yao kwa LHRC…

Acha wafu wazikane wenyewe
Shida ni pale mnapolazimisha kufananisha mgogoro wa chama Cha upinzani na udhalilishaji wa mkuu wa mkoa kwa mtumishi wa umma Tena mbele ya wananchi.
 
RC kamdhalilisha yule dada kijinsia, sisi tukisema.wale ni COVID -19 yaani hata angekuwa mwanaume na yeye angekuwa COVID tu.

Yule jamaa ana laana tangu alivyomdhaliishaga Mh. Jaji mstaafu - anatembea nalo.
 
Mmehamisha mada?
 
Akina Lucas Mwashambwa
 
RC kamdhalilisha yule dada kijinsia, sisi tukisema.wale ni COVID -19 yaani hata angekuwa mwanaume na yeye angekuwa COVID tu.

Yule jamaa ana laana tangu alivyomdhaliishaga Mh. Jaji mstaafu - anatembea nalo.
Aliyemteua ndiyo anatatizo zaidi
 
Hawakukemea kwa vile sio uongo, au bwana Kipara unaweza kutudhibitishia kuwa kulikuwa na uongo pale?
Huyo sauti ya zege hata wewe ukikaa vibaya anakupiga kipara unatoka Hoi bin taaban
 
Naona bado una mataputapu kichwani we mzee chakaza kumbe bawacha ni wanaume hamjatueleza vyema!
 
yani bana ukitaka kuishi kwa amani nchini mwetu usiguse maslahi ya mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…