Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kiatu borakabisa.Katika hatua za ukuaji wangu nikiwa mdogo zamani! Nilibahatika kupata kazi ya kuchunga ng'ombe huko wilaya ya Hanang!
Nikiwa huko porini nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana yakiwemo mbinu za kulinda mifugo, madawa za mitishamba ya binadam, ishara ya mmea kuashilia matukio ya njaa au hatari na mambo mengine mengi mazuri mazuri
Katika kazi yangu ya uchungaji ilinifanya niamini kila kitu cha binadamu na wanyama kimefichwa msituni! Kwasababu Tiba zote nzuri na mbaya zimo msituni! (Ipo Siku nitaeleza kwa undani kila ugonjwa unatibiwaje)
Sasa bhasi; Wakati wa mapumziko nilipendelea sana kwenda kupanda mlima Hanang hadi juu kileleni!
Pamoja na kwamba mlima Hanang upo karibu sana mji wa KATESHI,
(Nitauelezea mlima mithili ya kitambi na miguu ya mtu)
Kwamba;
1. ukiwa juu kabisa ya mlima Hanang, Huwezi kuuona mji wa KATESH ingawa upo karibu (Mji (miguu) umefichwa na kitambi cha mlima)
2. Eneo lililopo karibu na kateshi upande wa tumbo la mlima Hanang halipandiki kuna makorongo na miti mikubwa sana yenye kufikia urefu wa ghorofa 7
3. Hivyo kutokana na muonekano huo wa korongo na msitu na muundo wa mlima kuwa kama kitambi haikuwa rahisi kupandia mlima upande wa kateshi, ilitakiwa kuzunguka upande wa Gendambi ambako hakuna tumbo kubwa,
4. Mlima Hanang umezungukwa na vijiji, upande wa tumbo la mlima ndiko uliko mji wa kateshi, halafu upande mwingine magharibi ndipo kuna kijiji cha Gendambi.
5. Kijiji cha Gendambi kinaanza halafu ukiwa unapanda mlima kuna kijiji kingine katikati ya mlima kinaitwa joladumu!
Kwa maana hiyo huwezi kufika juu ya mlima Hanang pasipo kupita kijiji cha joladumu!
Inaamaa kama maporomoko ya tope yalipita upande huo madhara pasipo na shaka yatakuwa makubwa sana kuliko hata upande wa tumbo kule Kateshi! Kwasababu kijiji hiko kitakuwa kimezolewa kwenda kumwagwa Gendambi (tuombe Mungu isiwe vile kama ninavyowaza).
6. Upande mwingine wa mlima umezungukwa na ziwa la chumvi (hakuna makazi ni kama ni mgongoni mwa mlima!
Ukiwa juu ya mlima unaona wapi?
Ukiwa juu ya mlima Hanang, vijiji vya karibu ikiwemo mji mhimu kama kateshi hauonekani kabisa, lakini ni rahisi kuona miji mingine ya mbali kama endasaki, babati, singida hii kutokana na kitambi cha mlima kufunika vijiji (miguu)
Sifa ya mlima Hanang
Tangu zamani tukiwa machungani, mlima huo ulisifika sana kwa kutiririsha maji kutoka mlimani, Hilo jambo lilinifanya nitamani kujua chanzo cha maji hayo!
Baadhi ya miaka yalikuwa yanamwagika maji mengi sana kupitia njia ya maji (magorongo yatokayo mlimani)
Juu ya mlimani hakukuwa na vyanzo vya maji vya kueleweka kwa juu, lakini chemchem ya maji yalitiririka kutoka mlimani misimu yote tangu enzi.
Hivyo kwa maoni yangu kutokana mlima huo kutoka maji msimu wote huenda kuna ombwe la Tabaka la wazi lilitengenezeka kutokana na kuchimbika, halafu pengine shimo hilo limemeguka kwa mgandamizo wa ardhi!
Na maji ya chemchem yaliyoangukiwa na tabaka la ardhi tepe yalivyochanganyika yakasukumwa inje kama tope na kusababisha mafuriko!
Sababu ya mimi kuachana na kazi kuchunga!
Mwaka mmoja kulitokea moto huko mlimani!
Ulikuwa moto mkali sana, wenyeji wa kateshi waliomo humu watasema.
Mimi nikiwa mchungaji mwaminifu, ilikuja amri vijana wote tushiriki kwenda kuzima moto!
Kundi la vijana wengine kutoka vijijini jilani walikwenda then taarifa zilipofika upande wetu nikamwambia mwenyekiti, ule moto sisi vijana wadogo hatuwezi kuuzima labda tusubiri wanajeshi
Mwenyekiti akaamurisha nije mbele nichalazwe fimbo!
Bahati nzuri kabla sijacharazwa bakola mzee mmoja akasema nieleze kwanini ule moto hatutakiwi watoto kwenda kuuzima!
Nikawaambia kule porini ndiyo tunakoshinda tunapajua vizuri, kuna makorongo malefu na miti mikubwa mirefu iliyotandwa na majani ya kutambaa kiasi kwamba moto ule unavyowaka ukiwa umbali wa mita 100 utakuunguza; Pia nikasema tunaweza kwenda huko kwenye makorongo kuzima halafu moto ukatuzingira tukaungua wote mtakuwa mmepata faida gani?
Nikawaambia ule moto unatakiwa kuzimwa na elkopita au tuombe Mungu alete mvua!
Baada ya siku ile, siku iliyofuata habari ikasambaa kwamba kuna kijana mingoni mwa waliokwenda kuzima kutoka vijiji vingine ameangukia kwenye korongo kaunguzwa moto, na baadhi ya vijana wameunguzwa na moto!
Zoezi la kuhamasisha vijana kwenda kuzima likaisha, kila mzazi akagoma, bahati nzuri usiku huo wa pili ikaja mvua kubwa sana! Sana!
Yule mzee aliyepewa bakora anichape akaja nyimbani akasema huyu kijana alichosema kilikuwa ni sahihi,
Tangu siku hiyo yule bosi wangu akaambiwa huyu kijana mpeleke kwao akasome!
Ndipo nikapewa ng'ombe watatu, na mbuzi nikaenda kujifunza ufundi!
Hadi Leo natumikia kazi ya ufundi umeme na ujenzi!
Bei zetu anapanga mteja!
Kwa ambao hamkuelewa mnaweza kupata picha kilichotokea kateshi, kitambi cha mlima Hanang kimetapika.
Sasa mkuu umeshaambiwa kule ni makorongo?Dahhh kama ungeweka na picha picha za huo mlima Uzi ungekuwa mtamu zaidi
Siku moja moja tunalikumbuka somo la mwandiko kutoka shule ya msingi tulivyofundishwa enzi hizoMkuu unajua kuandika na kusimulia kitu kika eleweka , kwenye hilo upo smart sana.
Waha kwa kupenda kiki .yaani mshaona wivu hanang kutrend .Hawa tutawaombea mafulikoKuna mji wa Kasulu nao upo chini ya milima na inasemekana milima ya jirani ina maji siku ikitapika itakuwa balaa
Naunga mkono hoja, yuko vizuri sana.........ukiacha ujenzi, kuna tangazo jingine kaliweka kijanja kabisa!! Ni great thinkers tu ndiyo wameelewa.Hakika aliyependekeza ukasome na uache kuchunga hakukosea,huu uandishi isingekuwa sawa uwe wa mchunga Ng'ombe,ni uandishi wa akili sana ulioenda Shule,hongera kwa kupiga hatua
Hongera sanaIla mengine niliyojifunza huko hanang sijayaweka kwenye uzi ,Wamburu na wa mang'ati siyo WATU WACHOYO!
Ni wakarimu wa kila kitu
Aisee,umeandika vizuri mno ..kma vile ni mtaalamu wa fasihi! Na kinafanana na maelezo ya Serikali!Katika hatua za ukuaji wangu nikiwa mdogo zamani! Nilibahatika kupata kazi ya kuchunga ng'ombe huko wilaya ya Hanang!
Nikiwa huko porini nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana yakiwemo mbinu za kulinda mifugo, madawa za mitishamba ya binadam, ishara ya mmea kuashilia matukio ya njaa au hatari na mambo mengine mengi mazuri mazuri
Katika kazi yangu ya uchungaji ilinifanya niamini kila kitu cha binadamu na wanyama kimefichwa msituni! Kwasababu Tiba zote nzuri na mbaya zimo msituni! (Ipo Siku nitaeleza kwa undani kila ugonjwa unatibiwaje)
Sasa bhasi; Wakati wa mapumziko nilipendelea sana kwenda kupanda mlima Hanang hadi juu kileleni!
Pamoja na kwamba mlima Hanang upo karibu sana mji wa KATESHI,
(Nitauelezea mlima mithili ya kitambi na miguu ya mtu)
Kwamba;
1. ukiwa juu kabisa ya mlima Hanang, Huwezi kuuona mji wa KATESH ingawa upo karibu (Mji (miguu) umefichwa na kitambi cha mlima)
2. Eneo lililopo karibu na kateshi upande wa tumbo la mlima Hanang halipandiki kuna makorongo na miti mikubwa sana yenye kufikia urefu wa ghorofa 7
3. Hivyo kutokana na muonekano huo wa korongo na msitu na muundo wa mlima kuwa kama kitambi haikuwa rahisi kupandia mlima upande wa kateshi, ilitakiwa kuzunguka upande wa Gendambi ambako hakuna tumbo kubwa,
4. Mlima Hanang umezungukwa na vijiji, upande wa tumbo la mlima ndiko uliko mji wa kateshi, halafu upande mwingine magharibi ndipo kuna kijiji cha Gendambi.
5. Kijiji cha Gendambi kinaanza halafu ukiwa unapanda mlima kuna kijiji kingine katikati ya mlima kinaitwa joladumu!
Kwa maana hiyo huwezi kufika juu ya mlima Hanang pasipo kupita kijiji cha joladumu!
Inaamaa kama maporomoko ya tope yalipita upande huo madhara pasipo na shaka yatakuwa makubwa sana kuliko hata upande wa tumbo kule Kateshi! Kwasababu kijiji hiko kitakuwa kimezolewa kwenda kumwagwa Gendambi (tuombe Mungu isiwe vile kama ninavyowaza).
6. Upande mwingine wa mlima umezungukwa na ziwa la chumvi (hakuna makazi ni kama ni mgongoni mwa mlima!
Ukiwa juu ya mlima unaona wapi?
Ukiwa juu ya mlima Hanang, vijiji vya karibu ikiwemo mji mhimu kama kateshi hauonekani kabisa, lakini ni rahisi kuona miji mingine ya mbali kama endasaki, babati, singida hii kutokana na kitambi cha mlima kufunika vijiji (miguu)
Sifa ya mlima Hanang
Tangu zamani tukiwa machungani, mlima huo ulisifika sana kwa kutiririsha maji kutoka mlimani, Hilo jambo lilinifanya nitamani kujua chanzo cha maji hayo!
Baadhi ya miaka yalikuwa yanamwagika maji mengi sana kupitia njia ya maji (magorongo yatokayo mlimani)
Juu ya mlimani hakukuwa na vyanzo vya maji vya kueleweka kwa juu, lakini chemchem ya maji yalitiririka kutoka mlimani misimu yote tangu enzi.
Hivyo kwa maoni yangu kutokana mlima huo kutoka maji msimu wote huenda kuna ombwe la Tabaka la wazi lilitengenezeka kutokana na kuchimbika, halafu pengine shimo hilo limemeguka kwa mgandamizo wa ardhi!
Na maji ya chemchem yaliyoangukiwa na tabaka la ardhi tepe yalivyochanganyika yakasukumwa inje kama tope na kusababisha mafuriko!
Sababu ya mimi kuachana na kazi kuchunga!
Mwaka mmoja kulitokea moto huko mlimani!
Ulikuwa moto mkali sana, wenyeji wa kateshi waliomo humu watasema.
Mimi nikiwa mchungaji mwaminifu, ilikuja amri vijana wote tushiriki kwenda kuzima moto!
Kundi la vijana wengine kutoka vijijini jilani walikwenda then taarifa zilipofika upande wetu nikamwambia mwenyekiti, ule moto sisi vijana wadogo hatuwezi kuuzima labda tusubiri wanajeshi
Mwenyekiti akaamurisha nije mbele nichalazwe fimbo!
Bahati nzuri kabla sijacharazwa bakola mzee mmoja akasema nieleze kwanini ule moto hatutakiwi watoto kwenda kuuzima!
Nikawaambia kule porini ndiyo tunakoshinda tunapajua vizuri, kuna makorongo malefu na miti mikubwa mirefu iliyotandwa na majani ya kutambaa kiasi kwamba moto ule unavyowaka ukiwa umbali wa mita 100 utakuunguza; Pia nikasema tunaweza kwenda huko kwenye makorongo kuzima halafu moto ukatuzingira tukaungua wote mtakuwa mmepata faida gani?
Nikawaambia ule moto unatakiwa kuzimwa na elkopita au tuombe Mungu alete mvua!
Baada ya siku ile, siku iliyofuata habari ikasambaa kwamba kuna kijana mingoni mwa waliokwenda kuzima kutoka vijiji vingine ameangukia kwenye korongo kaunguzwa moto, na baadhi ya vijana wameunguzwa na moto!
Zoezi la kuhamasisha vijana kwenda kuzima likaisha, kila mzazi akagoma, bahati nzuri usiku huo wa pili ikaja mvua kubwa sana! Sana!
Yule mzee aliyepewa bakora anichape akaja nyimbani akasema huyu kijana alichosema kilikuwa ni sahihi,
Tangu siku hiyo yule bosi wangu akaambiwa huyu kijana mpeleke kwao akasome!
Ndipo nikapewa ng'ombe watatu, na mbuzi nikaenda kujifunza ufundi!
Hadi Leo natumikia kazi ya ufundi umeme na ujenzi!
Bei zetu anapanga mteja!
Kwa ambao hamkuelewa mnaweza kupata picha kilichotokea kateshi, kitambi cha mlima Hanang kimetapika.
Na hofu na hili ,Mungu aepushendo kusema kuna siku kitambi hicho kitazidiwa na kuporomoka kwa hiyo kitamaliza kateshi yote
Kaandika simple and clear ,mpk unahisi hakua mchunga mifugo wa kawaida ,ni km hii taarifa ina UJUMBE mwingine ndani yakeMkuu unajua kuandika na kusimulia kitu kika eleweka , kwenye hilo upo smart sana.
Jamaa ana kitu cha ziadaNaunga mkono hoja, yuko vizuri sana.........ukiacha ujenzi, kuna tangazo jingine kaliweka kijanja kabisa!! Ni great thinkers tu ndiyo wameelewa.
Hongera mkuu!Katika hatua za ukuaji wangu nikiwa mdogo zamani! Nilibahatika kupata kazi ya kuchunga ng'ombe huko wilaya ya Hanang!
Nikiwa huko porini nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana yakiwemo mbinu za kulinda mifugo, madawa za mitishamba ya binadam, ishara ya mmea kuashilia matukio ya njaa au hatari na mambo mengine mengi mazuri mazuri
Katika kazi yangu ya uchungaji ilinifanya niamini kila kitu cha binadamu na wanyama kimefichwa msituni! Kwasababu Tiba zote nzuri na mbaya zimo msituni! (Ipo Siku nitaeleza kwa undani kila ugonjwa unatibiwaje)
Sasa bhasi; Wakati wa mapumziko nilipendelea sana kwenda kupanda mlima Hanang hadi juu kileleni!
Pamoja na kwamba mlima Hanang upo karibu sana mji wa KATESHI,
(Nitauelezea mlima mithili ya kitambi na miguu ya mtu)
Kwamba;
1. ukiwa juu kabisa ya mlima Hanang, Huwezi kuuona mji wa KATESH ingawa upo karibu (Mji (miguu) umefichwa na kitambi cha mlima)
2. Eneo lililopo karibu na kateshi upande wa tumbo la mlima Hanang halipandiki kuna makorongo na miti mikubwa sana yenye kufikia urefu wa ghorofa 7
3. Hivyo kutokana na muonekano huo wa korongo na msitu na muundo wa mlima kuwa kama kitambi haikuwa rahisi kupandia mlima upande wa kateshi, ilitakiwa kuzunguka upande wa Gendambi ambako hakuna tumbo kubwa,
4. Mlima Hanang umezungukwa na vijiji, upande wa tumbo la mlima ndiko uliko mji wa kateshi, halafu upande mwingine magharibi ndipo kuna kijiji cha Gendambi.
5. Kijiji cha Gendambi kinaanza halafu ukiwa unapanda mlima kuna kijiji kingine katikati ya mlima kinaitwa joladumu!
Kwa maana hiyo huwezi kufika juu ya mlima Hanang pasipo kupita kijiji cha joladumu!
Inaamaa kama maporomoko ya tope yalipita upande huo madhara pasipo na shaka yatakuwa makubwa sana kuliko hata upande wa tumbo kule Kateshi! Kwasababu kijiji hiko kitakuwa kimezolewa kwenda kumwagwa Gendambi (tuombe Mungu isiwe vile kama ninavyowaza).
6. Upande mwingine wa mlima umezungukwa na ziwa la chumvi (hakuna makazi ni kama ni mgongoni mwa mlima!
Ukiwa juu ya mlima unaona wapi?
Ukiwa juu ya mlima Hanang, vijiji vya karibu ikiwemo mji mhimu kama kateshi hauonekani kabisa, lakini ni rahisi kuona miji mingine ya mbali kama endasaki, babati, singida hii kutokana na kitambi cha mlima kufunika vijiji (miguu)
Sifa ya mlima Hanang
Tangu zamani tukiwa machungani, mlima huo ulisifika sana kwa kutiririsha maji kutoka mlimani, Hilo jambo lilinifanya nitamani kujua chanzo cha maji hayo!
Baadhi ya miaka yalikuwa yanamwagika maji mengi sana kupitia njia ya maji (magorongo yatokayo mlimani)
Juu ya mlimani hakukuwa na vyanzo vya maji vya kueleweka kwa juu, lakini chemchem ya maji yalitiririka kutoka mlimani misimu yote tangu enzi.
Hivyo kwa maoni yangu kutokana mlima huo kutoka maji msimu wote huenda kuna ombwe la Tabaka la wazi lilitengenezeka kutokana na kuchimbika, halafu pengine shimo hilo limemeguka kwa mgandamizo wa ardhi!
Na maji ya chemchem yaliyoangukiwa na tabaka la ardhi tepe yalivyochanganyika yakasukumwa inje kama tope na kusababisha mafuriko!
Sababu ya mimi kuachana na kazi kuchunga!
Mwaka mmoja kulitokea moto huko mlimani!
Ulikuwa moto mkali sana, wenyeji wa kateshi waliomo humu watasema.
Mimi nikiwa mchungaji mwaminifu, ilikuja amri vijana wote tushiriki kwenda kuzima moto!
Kundi la vijana wengine kutoka vijijini jilani walikwenda then taarifa zilipofika upande wetu nikamwambia mwenyekiti, ule moto sisi vijana wadogo hatuwezi kuuzima labda tusubiri wanajeshi
Mwenyekiti akaamurisha nije mbele nichalazwe fimbo!
Bahati nzuri kabla sijacharazwa bakola mzee mmoja akasema nieleze kwanini ule moto hatutakiwi watoto kwenda kuuzima!
Nikawaambia kule porini ndiyo tunakoshinda tunapajua vizuri, kuna makorongo malefu na miti mikubwa mirefu iliyotandwa na majani ya kutambaa kiasi kwamba moto ule unavyowaka ukiwa umbali wa mita 100 utakuunguza; Pia nikasema tunaweza kwenda huko kwenye makorongo kuzima halafu moto ukatuzingira tukaungua wote mtakuwa mmepata faida gani?
Nikawaambia ule moto unatakiwa kuzimwa na elkopita au tuombe Mungu alete mvua!
Baada ya siku ile, siku iliyofuata habari ikasambaa kwamba kuna kijana mingoni mwa waliokwenda kuzima kutoka vijiji vingine ameangukia kwenye korongo kaunguzwa moto, na baadhi ya vijana wameunguzwa na moto!
Zoezi la kuhamasisha vijana kwenda kuzima likaisha, kila mzazi akagoma, bahati nzuri usiku huo wa pili ikaja mvua kubwa sana! Sana!
Yule mzee aliyepewa bakora anichape akaja nyimbani akasema huyu kijana alichosema kilikuwa ni sahihi,
Tangu siku hiyo yule bosi wangu akaambiwa huyu kijana mpeleke kwao akasome!
Ndipo nikapewa ng'ombe watatu, na mbuzi nikaenda kujifunza ufundi!
Hadi Leo natumikia kazi ya ufundi umeme na ujenzi!
Bei zetu anapanga mteja!
Kwa ambao hamkuelewa mnaweza kupata picha kilichotokea kateshi, kitambi cha mlima Hanang kimetapika.
Acha ukorofi .....isije kuwa kama Ile ripoti ya maprofesa na vifo vya samaki ni kutokana na samadiAisee! Story ina sifa zote na madini adimu sana
Nitalinganisha huu uzoefu wako na ripoti ya wataalamu wa UDSM.
Asante sana!
Wale samaki walikula kinyesi cha ng'ombe ..Acha ukorofi .....isije kuwa kama Ile ripoti ya maprofesa na vifo vya samaki ni kutokana na samadi
Atakuwa kapona ila kama anakaa kile kijiji cha jorodom kilicho ubavuni mwa mlima, kama kimepitiwa basi kitakuwa kama kimelambwa!Hongera mkuu!
Rafiki yangu Stephano Baha Mami sijui kapona!!?
Nilisomea hapo mpakani. Mwa manyara na Dodoma pale Bereko!
Ni karibu na babati!