Wakati nikiwa mchunga ng'ombe Hanang nilifanikiwa kujua kumbe mlima Hanang una kitambi

Mkuu nimependa uandishi wako umeandika kisomi sana laymen tumeelewa vizuri sema kastori ka mwisho kuna chai ya moto
 
Aiseee jamii ya wafugaji sijui wapoje

Yaani mtu mwenye uwezo wa akili kama wewe unapelekwa kuchunga badala ya kupelekwa shule?
 
Ulichoeleza ni uelewa wa mtu wa kijijini na umejitambulisha hivyo.
Kitaalam mafuriko ya Katesh yanatokana na ardhi mlimani kushiba maji kutokana na mvua kubwa.
Kwa kawaida ardhi ikishiba maji, ardhi hiyo na maji huanza kuwa fluid, au tope tope ambalo huanza kusafiri kuelekea bondeni.

Na tope tope hilo linapokuwa lina kina kikubwa basi hufanya kitu kinaitwa land slide au mmomonyoko mkubwa wa ardhi.
Mwendo wa huo mmomonyoko hutegemea na maji yaliyomo ardhini.

Kwa juu ya milima ya Katesh( Milimani Hanang) maji hadi ndani ya ardhi yalikuwa mengi, hivyo mmomonyoko kusomba kila kilicho kwenye njia yake.

View: https://youtu.be/Fsh5E9m3PrM?si=97lCOEEeoa-OHhlF
 
Mwenzio kaeleza hayo Kwa Lugha laini...wewe unarudia Kwa Lugha ngumu ...za wake wakulowrka miguu kwenye maji wakeshe wakisoma!
 
Ni kweli mi mtu wa kijijini, nimeelezea nilichoona na kukiishi huko kijijini
 
Mkuu sijakubishia ,ila numetofautisha wasilisho lako na la mchunga Ng'ombe ! La kwako limekaa kigumugumu sana la mchungaji ni laini,! Nahisi kama la kwako ni la kufundishwa nakukariri Shuleni, la.mchungaji la akili za kuzaliwa!
Pamoja na clip hujaelewa tu?
Una kichwa kigumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…