Wakati nikiwa mchunga ng'ombe Hanang nilifanikiwa kujua kumbe mlima Hanang una kitambi

Mwenzio kaeleza hayo Kwa Lugha laini...wewe unarudia Kwa Lugha ngumu ...za wake wakulowrka miguu kwenye maji wakeshe wakisoma!
Hawa ndo wale ukimuuliza direction ya eneo, hakawii kukuelekeza kwa kutumia north,east….
 
Iko siku volcano itaamka pale
 
Mlima Rungwe pale kuna chemchem ya maji toka zamani tu.
Yanatiririka daily kupita hapo nje tu kwetu.
Na wanakijiji jirani karibu wote walikua wanatumia hayo maji.
Mara ya mwisho niko kule nikakuta mfereji umekauka kabisa.
kuuliza nikaambiwa maji yote watu waliunganishiwa yako mabombani na kweli kulikua na bomba pale home linatoa maji mengi tu masafi na baridi sana mda wote.
Sasa sijui km ulikua nao una kitambi.
 
Lakini tumesikia kwamba kuna wazee walitaka kufanya matambiko huko milimani wakakatazwa. Wazee wakaondoka zao wakisema tutaona. Hii habari niyakweli??
 
Nimemuelewa hatari sijui nyie wenzangu,zaidi ya mwandishi umepangilia matukio hongera fundi mchungaji
 
Ila mengine niliyojifunza huko hanang sijayaweka kwenye uzi ,Wamburu na wa mang'ati siyo WATU WACHOYO!
Ni wakarimu wa kila kitu
Hawakukulaza juu ya Dari chini zizi la ng'ombe!?Kuna joto fulani hivi!!kukojoa zizini TU!!

Hawakukulisha makande ya mahindi mabichi plus maharage mabichi!!?
Niliinjoy sans seminar za kilokole za vijijini huko mpakani!!!!
 
Kitambi hakikosi kitovu kwa hiyo huo mlima una kitovu pia
 
wote.
Sasa sijui km ulikua nao una kitambi.
Mkuu, utalazimika kwenda kujiridhisha. Na ikidhibitika kuwa mlima huo wa kwenu unakitambi na hauna dalili za kitambi hicho kumeguka, basi maeneo yote yenye milima ya vitambi yawekewe mabomba ya Maji ili mito ya milima hiyo ihamie kwenye mabomba.
 
Kuna mji wa Kasulu nao upo chini ya milima na inasemekana milima ya jirani ina maji siku ikitapika itakuwa balaa
Wewe Muha Kasulu ipi iliyo milimani? Moshi wasemeje? Come on acha attention za kishamba....anyway malizaneni na "kamchape" kwanza.
 
Sijafika eneo la tukio lakini kwa uandishi huu nimejikuta naelewa haraka kama nimefika!

Hongera tutakupa kazi dogo nimechukua namba yako
 
Nimeelewa sana umechambua vizur sana mpk nikawa natengeneza kamlima kangu na kukawekea kitambi.
 
Ilikuwa ni mwaka gani ulipokuwa unachunga ng'ombe kule?
Kwa sababu kutokana na maelezo yako naona kama vile kumekuwa na uongozi mbaya Manyara.
Wewe umesimulia kidogo uchapwe fimbo kwa kusema tu ni hatari kujaribu kwenda kuzima moto Mlima Hanang.
Mzee mwengine alikuwa anasema wazee walikwenda mlimani katika ibada zao za kawaida za kutambika wakachapwa viboko na askari wa TANAPA.
Halafu huyu Queen Sendinga amekuwa anazunguka mkoani anafokafoka tu.
Ipo video ambayo anamwambia diwqni,"Wewe diwani,I don't like you. ONDOKA MKOA WA MANYARA"
Sasa kama huyu diwani ni mkazi wa Manyara,na ni lazima awe mkazi kwa kuitwa "diwani" anaweza vipi kuondoka Mkoa wa Manyara.?
That was my last sleepy thought when I was falling asleep last night. "Wale viongozi wanafanya udikteta kule ule mlima umekasirika"
 
Acha porojo weka picha!
 
Naweza kukuelewa, binafsi nimefika Katesh zamani, sijaupanda mlima ila nilitamani sana kuupanda. Nimeuona mlima Hanang kutokea Katesh, nako pia huuoni npaka juu kileleni, labda ndiyo hicho kitambi kinachozuwia kuona kilele.
 
Dah, unakipaji cha kuelezea jambo gumu kwa lugha rahisi mpaka kilaza nimeelewa! Wale wenye vyeti tungekoma na maneno kama this is because......., due to the fact that......, the main cause is....the reason is....!!!!!!! Utawaona kwenye tv muda si mrefu!
 
Aroooo, vyeti vyetu vya kupambia kuta zetu na kopi zake kuombea kazi, usitusimange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…