Wakati nikiwa mchunga ng'ombe Hanang nilifanikiwa kujua kumbe mlima Hanang una kitambi

 
Una madini sana
 
Tangazo zuri sana...
Hongera kwa ubunifu..
 
Gendambi=Gendabi,
joladumu=Jorodom
 
Nilikuwa wapi muda wote! Kuusoma huu Uzi murua! Nimejikuta kama nimefika eneo LA tukio kupitia maelezo yako! Mepesi wala hayahitaji nguvu kuelewa!

Lakini kuna sehemu umenigusa mie mganga nitakutafta umesema unajua tiba mbadala
 
Aisee! Story ina sifa zote na madini adimu sana

Nitalinganisha huu uzoefu wako na ripoti ya wataalamu wa UDSM.

Asante sana!
Nimesoma hapa halafu nikiangalia you tube ...naona jamaa kasamalaizi kilaini sana kuliko hayo ma ripoti magumu hayaeleweki!

Watu kama hawa vyuo viwatumie wanaweza kuwa na ushauri wenye faida
 
Nimesoma hapa halafu nikiangalia you tube ...naona jamaa kasamalaizi kilaini sana kuliko hayo ma ripoti magumu hayaeleweki!

Watu kama hawa vyuo viwatumie wanaweza kuwa na ushauri wenye faida
Wasomi wanataka kuweka ugumu ili kulinda taaluma yaani hawana tofauti na daktari anavyoandika mwandiko mbaya ili tu usielewe
 
Hongera sana mkuu...very interesting story with vivid explanations....

Wenye vitambi vyetu tuviflush kabla hatujawatapikia wa karibu yetu...
 
we jamaa lazma unakula msuba!!
 
Hongera kwa uandishi mzuri, hii ni moja ya nyuzi nimesoma bila kuluka wala kuchoka. Imefanya nisome na maoni yote ya wachangiaji kabla yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…