Wakati Ruto kapata zaidi ya alipewa $1.6 B ya afya na sasa amepewa $1.7B kwasababu ya Ebola. Ebu tujiulize ni ajira ngapi zitapatikana ni zaidi ya $3B inaingia Kenya.
Samia anajiongezea PHD huko Urusi kapata $0 anakuja na mashaga sijui yanasaidia nini Tanzania. Hii ndiyo tofauti ya nchi yenye mifumo na nyingine isiyo na mifumo. Mama kajaliwa mdomo wa kudanganya tu. Kati ya hawa wawili mwenzake Rutto ana PHD ya kweli si za kupewa pewa.
Ili nchi yetu iendelee tunahitaji mifumo imara. Yaani tunakosa misaada na uwekezaji kwasababu tu ya tamaa za madaraka . Vijana wanauliwa kutokana na tamaa za mtu mmoja na sisi tunaendeleza uchawa wakati hawatujali. Tupiganie nchi yetu fungueni macho
View: https://youtube.com/shorts/xwTBwc96SfU?si=FpPqESEOGr5FeqPE