Wakati Simba ikimtangaza Chama, Yanga yamtangaza Ibrahim Bacca Kutoka KMKM Zanzibar

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Wanayanga hawataki kushindwa kwa chochote na Mnyama mkali mwituni.

"The Simba SC" a best soccer club in East and Central Africa, ikijitosa kumsajili Chama, huku team ya Yanga yenye maskani yake mtaa wa jangwani unaojulikana kwa kuwa na mafuriko kila mwaka, imemtangaza beki kutoka KMKM Zanzibar.

Simba ikiwa serious katika football yanga imewekeza katika propaganda, uongo, uzandiki na fitna.

Kwa jicho langu la mbaali kabisa ninaona tajiri wa GSM kama ameanza kususia kutoa pesa, maana matumizi ya hovyo yalifanyika mwanzoni mwa ligi. Huenda pesa waliyopewa sasa ni kiduchu.

Yanga wamenyong'onyea, Yanga wamevunjika moyo, wamepewa ahadi nyingi hewa ambazo hazitimiliziki. Viongozi wa yanga hawana mipango yoyote; wao wanamtegemea Senzo na Manara waweze kuwavusha. Watu hao walifukuzwa Simba kwa kukosa weledi katika utendaji kazi.

Mimi nionavyo mchezaji aliyetoka KMKM kajazwa maneno mengi na huenda mshahara atakao kuwa analipwa haufiki hata Tsh 1,00,000.

Chama kaingia, Chama yupo simba tutegemee Mpenja kurudi kwenye ubora wake, maana kwa sasa amepoa sana.

Mpira ya yanga ni puuuuuu moroko anakimbilia halafu moroko puuuuuu kwa mayele. Mpira usio na mplan ili mradi tu unagongwa kwenye miguu.

Kwa thread hii sitaki kuongelea masuala ya slogan ya yanga. Maana hiyo slogan yao na logo ilivyokaa inaonesha namna ya fikra za wenzetu hawa wanayanga. Hawana mpango hata kidogo wa kurekebisha. Sisi simba tuliweka Simba mkali Mwenye njaa. Sijui wao wataweka nini. Najaribu kuwaza tu sijui atawekwa chura mkali au Mwiko mkubwa. Mimi sijui ngoja tuone.

Ni hayo tu.
 
Umeandika ukiwa na maumivu makali sana kama vile usajili wa Yanga unakuhusu. Waache wenye Yanga yao hata wakisajiliwa wachezaji wa bei cheee wewe inakuuma nini?
 
Tofauti yake ipo wapi, huyo Chama kadrop ligi ya wanaume kaja kwenye ligi ya wavulana wenye kelele nyingi mpira hamna.
 
Umeandika ukiwa na maumivu makali sana kama vile usajili wa Yanga unakuhusu. Waache wenye Yanga yao hata wakisajiliwa wachezaji wa bei cheee wewe inakuuma nini?
Hebu tutajie bei ya huyo beki wa KMKM kasajiliwa kwa sh. Ngapi!?
 
Je, maumivu bado yapo au unajikaza Mzee. Unaujua mpira au unajaribu!?
Nani anaumia...? muulize huyo anaye umia Yanga kumsajili dogo kutoka Zazibar, huku akifurahia aliye flop ligi ya wanaume na kukimbilia ligi ya wavulana.

Ukitaka kujua naujua mpira hapo mtaani kwenu kukiwa na mechi nitafute,humu JF tutaishia kuuziana maneno, wewe mwenyewe hapo inaonekana mpira umeujulia ukubwani.
 
Naona unatusimanga

Acha dharau zako dogo, Simba na Yanga ni watani,unatakiwa kutania na siyo kutukana

Jamii forum
 
Yanga ipo very strategic kwenye usajir wake endeleen kujisifia na watoto wenu waliofeli shule za private
 
Kitu kimoja ambacho kitampa sana mafanikio simba mbele ya yangu ni hizi sajili.
Sajili nyingi za yanga zaungo wachezaji wakaida sana. Unatemea mwakani yanga ishiriki club bingwa afu ngushi awavushe kwenye makundi kuwapeleka robo.
Yanga haipaswi kusajili kwaajili ya kujarib wachezaji inapaswa kufanya sajili za wachezaji ambao tyr washa achive ili kuja kufanya makuu yanga.
 
Back
Top Bottom