Wakati Simba ikimtangaza Chama, Yanga yamtangaza Ibrahim Bacca Kutoka KMKM Zanzibar

Wanayanga hawataki kushindwa kwa chochote na Mnyama mkali mwituni.

"The Simba SC" a best soccer club in East and Central Africa, ikijitosa kumsajili Chama, huku team ya Yanga yenye maskani yake mtaa wa jangwani unaojulikana kwa kuwa na mafuriko kila mwaka, imemtangaza beki kutoka KMKM Zanzibar.

Simba ikiwa serious katika football yanga imewekeza katika propaganda, uongo, uzandiki na fitna.

Kwa jicho langu la mbaali kabisa ninaona tajiri wa GSM kama ameanza kususia kutoa pesa, maana matumizi ya hovyo yalifanyika mwanzoni mwa ligi. Huenda pesa waliyopewa sasa ni kiduchu.

Yanga wamenyong'onyea, Yanga wamevunjika moyo, wamepewa ahadi nyingi hewa ambazo hazitimiliziki. Viongozi wa yanga hawana mipango yoyote; wao wanamtegemea Senzo na Manara waweze kuwavusha. Watu hao walifukuzwa Simba kwa kukosa weledi katika utendaji kazi.

Mimi nionavyo mchezaji aliyetoka KMKM kajazwa maneno mengi na huenda mshahara atakao kuwa analipwa haufiki hata Tsh 1,00,000.

Chama kaingia, Chama yupo simba tutegemee Mpenja kurudi kwenye ubora wake, maana kwa sasa amepoa sana.

Mpira ya yanga ni puuuuuu moroko anakimbilia halafu moroko puuuuuu kwa mayele. Mpira usio na mplan ili mradi tu unagongwa kwenye miguu.

Kwa thread hii sitaki kuongelea masuala ya slogan ya yanga. Maana hiyo slogan yao na logo ilivyokaa inaonesha namna ya fikra za wenzetu hawa wanayanga. Hawana mpango hata kidogo wa kurekebisha. Sisi simba tuliweka Simba mkali Mwenye njaa. Sijui wao wataweka nini. Najaribu kuwaza tu sijui atawekwa chura mkali au Mwiko mkubwa. Mimi sijui ngoja tuone.

Ni hayo tu.
oi??
 
Aisee bacca imekua bonge la usajili, aliyeona hiki kipaji anastahili pongezi sana, mue mnakaa kimya ona sasa mnavyokuja kuabika bila sababu za msingi
 
1710859793320.png
 
oi,mwambie chama hapo alivyokuja ndo ataondoka ivyo ivyo bila kikombe chochote...vavavavayo wahead we
 
Daaah
 
Kitu kimoja ambacho kitampa sana mafanikio simba mbele ya yangu ni hizi sajili.
Sajili nyingi za yanga zaungo wachezaji wakaida sana. Unatemea mwakani yanga ishiriki club bingwa afu ngushi awavushe kwenye makundi kuwapeleka robo.
Yanga haipaswi kusajili kwaajili ya kujarib wachezaji inapaswa kufanya sajili za wachezaji ambao tyr washa achive ili kuja kufanya makuu yanga.
Mkuu bado dogo ni wa kawaida sana kwako?
 
Back
Top Bottom