OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga wanabishana mpaka Berkane wenyewe wanaosema mazingira yamemshindaChama ametoka Morocco kwa issue za nje ya uwanja.
Mechi iliyopita tu ya Berkane alikuwa man of the match.
Failure ni Makambo.
Ukishatajiwa halafu wewe itakusaidia kitu gani?Hebu tutajie bei ya huyo beki wa KMKM kasajiliwa kwa sh. Ngapi!?
Sasa hivi Manara kila anachojaribu kufanya anaonekana kuwatusi wanayanga. Miti yote inateleza, ndio kifo cha nyani hicho.
Mkuu, roho ya kichawi haijawahi kukubali cha mwingine.Yanga wanabishana mpaka Berkane wenyewe wanaosema mazingira yamemshinda
Halafu kumbe wewe jamaa mpira haujui umekarir. Katika mpira Kuna aina mbili za usajili wa wachezaji.Kitu kimoja ambacho kitampa sana mafanikio simba mbele ya yangu ni hizi sajili.
Sajili nyingi za yanga zaungo wachezaji wakaida sana. Unatemea mwakani yanga ishiriki club afu ngushi awavushe kwenye makundi kuwapeleka robo.
Yanga haipaswi kusajili kwaajili ya kujarib wachezaji inapaswa kufanya sajili za wachezaji ambao tyr washa achive ili kuja kufanya makuu yanga.
Muelezee huyo mkia FC. Ni sawa na mtu aliyetoka chuo kikuu na kurudi shule ya sekondariTofauti yake ipo wapi, huyo Chama kadrop ligi ya wanaume kaja kwenye ligi ya wavulana wenye kelele nyingi mpira hamna.
Nitajie wachezaji wa kawaida wakali hapo uto.Halafu kumbe wewe jamaa mpira haujui umekarir. Katika mpira Kuna aina mbili za usajili wa wachezaji.
1) usajili wa mchezaji wa kawaida mwenye kipaji au anayejua mpira.
2) usajili wa mchezaji ambaye anavuma yaani mchezaji nyota (aliyepata mafanikio
Kwenye hiyo namba moja ndio pale unapoona mchezaji asiyekuwa na jina akajakuwa nyota na wa kuogopewa. Embu nitajie wachezaji wa Simba walau saba walioifikisha Simba robo fainali CAF mbao walikuwa na mafanikio huko walipotoka kabla ya kuingia Simba.
Kingine ni kwamba kusajili nyota haikufanyi uwe na 100% kuwa unaenda kukipata ulichokitaraji na ndio maana unaona mchezaji ana jina kubwa lakini akienda club nyingine anakuwa garasa tu. Na ndio maana unaambiwa usajili ni kamari, usajili ni bahati nasibu. Tshabala ambaye alidumu Simba miaka tele na kuiwezesha Simba kufika robo fainali alitokea timu ya nchi gani kabla ya kuja Simba?
wachezaji wa kawaida wakali ndio nini?Nitajie wachezaji wa kawaida wakali hapo uto.
.....kwani nyie hamuimbi historia kila siku ya mabingwa mara nne? Yani mnasahau mapema hivi? Au ndo umbumbumbu aliosema mzee Rage?Mzee wa history. Mpira ni sasa, Mpira ni makombe sasa mnang'ang'ania vi historia vidogo vidogo.
Wewe ndicho ulichokisema. Tuambie kuhusu usajili unaoendelea ni wa GSM au Yanga!?wachezaji wa kawaida wakali ndio nini?
Mabingwa mara nine fululizo. Tunaongelea modern soccer. Nyie mnaleta historia ya kipindi kileeeee watu walikuwa hawavai viatu yanga akicheza gongo wazi......kwani nyie hamuimbi historia kila siku ya mabingwa mara nne? Yani mnasahau mapema hivi? Au ndo umbumbumbu aliosema mzee Rage?
What is modern soccer to start with? Hata kama walikuwa hawavai viatu, lakini si tulichukua ubingwa? Au ubingwa unaanza kuhesabiwa nyie tuu mkichukua? PatheticMabingwa mara nine fululizo. Tunaongelea modern soccer. Nyie mnaleta historia ya kipindi kileeeee watu walikuwa hawavai viatu yanga akicheza gongo wazi.
Tuambie mafanikio ya yanga katika modern soccer.
Yaani mnaongelea kipindi kile Mpira ukichezwa kwa lidhaa. Modern soccer limeanza mwaka 1980s. Tuanze kuongelea hapo Mzee. Hatuwezi kuanza kuongelea kipindi cha miaka ya 1950s Tanzania hatujapata Uhuru. Yaani unataka tuanze kuongelea soccer la kipindi cha ukoloni!?What is modern soccer to start with? Hata kama walikuwa hawavai viatu, lakini si tulichukua ubingwa? Au ubingwa unaanza kuhesabiwa nyie tuu mkichukua? Pathetic
Kweli nyie makolo mazingira yamefanyaje?Yanga wanabishana mpaka Berkane wenyewe wanaosema mazingira yamemshinda
Kumwelewesha mteja wa kocha Luc Eymael ni kupoteza muda.Kweli nyie makolo mazingira yamefanyaje?
Nimesema mchezaji wa kawaida asiyekuwa na jina lakini ana kipaji cha mpira. GSM ndiye mtoaji wa pesa za usajili na mlipaji wa mishaharaWewe ndicho ulichokisema. Tuambie kuhusu usajili unaoendelea ni wa GSM au Yanga!?