Wakati Simba ikimtangaza Chama, Yanga yamtangaza Ibrahim Bacca Kutoka KMKM Zanzibar

Tofauti ya Simba na Yanga kwenye izo sajili zinajulikana.

Chama karudishwa kuja kuokoa timu inayopumua kupitia mtungi wa oxygen ICU,Bacca kanuniliwa kuja kuziba nafasi ya mkaa benchi Shaibu(Ninja) ambaye yupo kwenye matibabu South Africa

So sijasoma ulichoandika lkn kupitia kichwa cha habari nishajua content iliyopo kwenye uzi wako,lazma utakuwa umeibeza timu mojawapo hapo ila ukweli mchungu iyo hapo juu ndo target ya sajili za jana za hizi timu kwamba mchezaji mmoja anaenda moja kwa moja kuingia kwenye kikosi cha kwanza kama mipango ya timu iliyomnunua inavyotaka na mwingine ataenda benchi moja kwa moja kama mipango ya timu iliyomnunua inavyotaka [emoji3525][emoji1488]
 
Unaujua mpira unachezea team gani?? Ucheze team za wenye vitambi mtaani wanaotafuta kupungua kisha uje kumbeza CHAMA Jr?

Hakuna mwenye akili timamu angeweza kufanya hivyo, unless awe kichwa maji kama wewe.
 
Chama kadrop kaja kwa wavivu wenzake wasiojua ndio ukweli mchungu kama mwenzake Makambo naye.
 
Chama kadrop kaja kwa wavivu wenzake wasiojua ndio ukweli mchungu kama mwenzake Makambo naye.
Wewe unaujua mpira kama ulivyosema huko juu? Maana kuna jamaa umemwambia mkutane uwanjani 😂.
 
Sasa humu JF kuna kiwanja ?Humu tutauziana maneno.
Sawa mkuu, kama unacheza tuambie unachezea team gani?? Maana isije kuwa unacheza na wale wazee wenye vitambi wanalenga kupungua halafu unakuja kumkashifu Chama jr.

Unacheza team gani mkuu?
 
Sawa mkuu, kama unacheza tuambie unachezea team gani?? Maana isije kuwa unacheza na wale wazee wenye vitambi wanalenga kupungua halafu unakuja kumkashifu Chama jr.

Unacheza team gani mkuu?
Huyo jamaa anacheza Vitambi FC 🤣🤣🤣
 
Sawa mkuu, kama unacheza tuambie unachezea team gani?? Maana isije kuwa unacheza na wale wazee wenye vitambi wanalenga kupungua halafu unakuja kumkashifu Chama jr.

Unacheza team gani mkuu?
Hata nikikwambia naichezea Mbeya kwanza au Costal Union huto amini ww kama mnamechi au kiwanja chenu huko kwenu nitafute then utajua kama najua au sijui humu nitakuuzia chai?

Sasa kuhusu Chama kwani uwongo mpira umemshindwa Morocco kaja kwa wasiojua? Mnapenda vibofu, kama Yanga na Makambo wake.
 
Hujui kicheza wewe usituletee mbwembwe za kabwili kutingisha msambwanda.
 
Kikubwa ni yeye kudeliver kilichomleta Simba Sc, kama kweli wewe ni mtu wa mpira hauwezi kuja na argument za kicheza kombolela hivyo.

Mchezaji kushindwa kuperform sehemu fulani haina maana kuwa hana kiwango, Salah aliyeonekana garasa Chelsea sio huyu wa Liverpool , Lingard wa Man UTD hafiki hâta robo ya wakati ule katolewa kwa mkopo Westaham au Pogba wa team ya taifa si sawa na yule wa Man UTD.
 
Arguments zipi ligi hii ni kimeo, unafanisha ligi za Ulaya na Bongo, yaani unafanisha Soccer na kabumbu. Huyo kung'aa atang'aa sababu ligi ni wachovu.
 
Nilitegemea comment ya maana Sana toka kwako lakini umeniangusha Sana. Unataka Wenye akili tuungane na Mazuzu wanaosanifu usajili wa Kibu Denis? Usajili wa Mwenda?
Si Simba si Yanga lakini usajili waliofanya Yanga hasa wa Mshery, Bacca na Nkane ni strategical Sana. Labda kama hujui mpira Kalia ushabiki wa kitanzania.l
 
Arguments zipi ligi hii ni kimeo, unafanisha ligi za Ulaya na Bongo, yaani unafanisha Soccer na kabumbu. Huyo kung'aa atang'aa sababu ligi ni wachovu.
Ndomaana nikasema kuwa wewe ni mcheza kombolela na sio mpira, kama chama hachezi soccer anacheza kabumbu, wewe unachezea team za mitaani tuiteje? Definitely tutaiita kombolela au rede.
 
Ndomaana nikasema kuwa wewe ni mcheza kombolela na sio mpira, kama chama hachezi soccer anacheza kabumbu, wewe unachezea team za mitaani tuiteje? Definitely tutaiita kombolela au rede.
Tambaa kama Khadija kopa awapo jukwaani, hata nikikwambia najua au sijui hujawahi niona?

Kwani hao walokuwa ligi kuu walianzia wapi, si mitaani au wewe umeanzia academy,kisure mboga saba.

Ila CHAMA BIG FLOP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…