Wakati sisi tukisema zawadi ni ndogo kwa shujaa Majaliwa, baba aibuka na kusema zawadi ni ya familia

Wakati sisi tukisema zawadi ni ndogo kwa shujaa Majaliwa, baba aibuka na kusema zawadi ni ya familia

Huyo mzee kama anapenda pesa laini laini akaribie Mombasa.
Yaani anasema pesa za dogo ni pesa za familia? Kuwa na mzazi kama huyu ni useless,yeye analegeza pumbu zake kutegemea pesa za bure kutoka kwa dogo Majaliwa?
 
Nilivyosema Majaliwa ni mwanangu watu walibisha, kinachoingia katika familia ni cha familia - Baba Majaliwa

"Mimi na Mama Majaliwa tumetengana kwenye mambo ya ndoa lakini tupo pamoja sana hayupo mbali na mimi na mimi sipo mbali naye kwenye masuala ya familia tunashirikiana kupanga mambo ya familia" - Jackson Majaliwa ameimbia Clouds FM

Kuhusu zawadi alizopewa kijana wao huyo kwa kuvunja mlango kuokoa waliotumbukia na ndege ziwa Victoria, amesema

"Anachokipata tungeshirikiana mimi na familia kama ni kuiweka pesa yake aikute wakati anaendela kukua , tutaangalia kipi tumuhifadhie kwa sababu bado ana wadogo zake na sisi wazazi wake maisha yetu ni ya kawaida sana

"kikubwa tungemuwekea yeye kidogo tungeona namna ya kuwasaidia wadogo zake maana kinachoingia katika familia ni kwa ajili ya familia" - Baba mzazi wa Majaliwa akiongea na Clouds FM
Huyu dingi zwazwa kwelikweli, yaani familia nzima ilienda kufungua mlango wa ndege?
 
Kapata pia milion 5 toka GSM
Jamani ndo ile milioni moja au kuna nyengine? Wanapotoa hizi fedha wasiwe wanatangaza, ona sasa mzee katoka mafichoni kaja kudai urithi wa mtoto wake alie hai.
 
Sisi wanaume wanawake huwa wanatuwinda kama awindwavyo mnyamapori haswa tukiwa kwenye ndoa na mafanikio.
Matokeo yake michepuko hutuharibia familia tulizozianzisha.

Kwa kuwa malipo ni hapahapa duniani baada ya miaka kadhaa kuna totolako moja hata kulitunza ulikataa na shule hukulipeleka bize na mchepuko.

Hilo toto ulilokuwa unalidharau kwa kulitukana ukimchanganya na mama yake ndo linakuja ibuliwa na Mungu kama ilivyotokea kwa Majaaliwa au mondi na hapo sasa sisi wanaume tusiojielewa tunapoibuka na kurenew upendo wetu kwa mke na watoto...

Karma is bichiiiiii, huyo mzee afe tuu kimya kimyaa..
Watoto wanaotelekezwa na Wazazi wao, ndiyo Mara nyingi huwa wanakuja kua star kuliko wale uliowapa malezi bora toka wakiwa wadogo! Tena wengine hawachelewi kua Panya road au kua mashoga!!
 
Watoto wanaotelekezwa na Wazazi wao, ndiyo Mara nyingi huwa wanakuja kua star kuliko wale uliowapa malezi bora toka wakiwa wadogo! Tena wengine hawachelewi kua Panya road au kua mashoga!!
Ni namna ambavyo Mungu huwa anatoa funzo kwa wengine na kujidhihirisha ya kwamba yupo tatizo ni ubishi tuu wa mwanaadamu.
Huwa wanainuliwa wakati ambao hakuna anayetegemea. Ona sasa kama huyo muanika dagaa.
 
Nilivyosema Majaliwa ni mwanangu watu walibisha, kinachoingia katika familia ni cha familia - Baba Majaliwa

"Mimi na Mama Majaliwa tumetengana kwenye mambo ya ndoa lakini tupo pamoja sana hayupo mbali na mimi na mimi sipo mbali naye kwenye masuala ya familia tunashirikiana kupanga mambo ya familia" - Jackson Majaliwa ameimbia Clouds FM

Kuhusu zawadi alizopewa kijana wao huyo kwa kuvunja mlango kuokoa waliotumbukia na ndege ziwa Victoria, amesema

"Anachokipata tungeshirikiana mimi na familia kama ni kuiweka pesa yake aikute wakati anaendela kukua , tutaangalia kipi tumuhifadhie kwa sababu bado ana wadogo zake na sisi wazazi wake maisha yetu ni ya kawaida sana

"kikubwa tungemuwekea yeye kidogo tungeona namna ya kuwasaidia wadogo zake maana kinachoingia katika familia ni kwa ajili ya familia" - Baba mzazi wa Majaliwa akiongea na Clouds FM
Yani mim hua sitak laana lkn huyo mzee ndo angekua mshua wangu alomsaliti maza angu na maza kupalangana mwenyewe kwa jua na mvua hili kulea watoto.

Eeeeh asingeshika hata cent tano eeeeh mawe bojo
 
...Msimlaumu Mzee. Ni kutojitambua. Watu Wengi wakifuatwa na kimoja kati ya na Vingi vya huu Utitiri wa Vyombo vya Habari wanadhani ni Shera Kuzungumza na Chombo Cha Habari na ni Wachache Sana Wana Busara ya Kukata Kuzungumza na Chombo Cha Habari!
Wengi wanakubali na Kuishia kuropoka Utumbo...kama Huyu Baba Majaliwa!
 
Back
Top Bottom