Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

Ujerumani pia imepanga kuwafukuza Wanaijeria elfu kumi na tano na kuwarudisha nyumbani Wasiria Wairaq na Waafghanistan.
Wakenya pia watafukuzwa kama hivi baada ya muda
 

Tz bado sana haina mikakati ya ubunifu, wizara ya kilimo imeshindwa kuwa na hata mazao ya kimkakati. Kwamba miaka 2 zao la mchele, nyanya na kahawa kupewa kipaumbele kwa wakati huo kwa kuboresha kilimo bora, kutoa ruzuku, mikopo kwa wasindikaji na masoko ya uhakika
na miaka miwili mingne ni kwa mahindi, maharage na tumbaku pia kuwepo na dira ya kiwango cha mavuno kufikia ili kuweka akiba, mauzo ya nje na ndani ya nchi
utashanga wizara hy ipo busy na miradi ya isiyo kuwa na mpangilio zaidi kupiga 20% ya udalali
 
Utumwa nao ni sifa ya kujivunia?

Sera muhimu ni kuongeza uwezo wa kutumia fursa ya raslimali za nchi kujiendeleza na si ujinga mwingine
 
Watanzania mnapozidiwa mnakimbilia hoja za kijinga. Rasilimali namba moja ni akili. Watanzania wengi ni wajingawajinga. Na mfumo unanufaika na ujinga wa watanzania. CCM wanakulisheni ujinga kuwa nyinyi ni vinara Afrika Mashariki.
 
Mimi sishangai kwa Ujerumani kupokea Wakenya wengi kwa sababu miaka mingi sana Ujerumani iliruhusu Wakenya kuingia ujerumani bila visa
 
Watanzania mnapozidiwa mnakimbilia hoja za kijinga. Rasilimali namba moja ni akili. Watanzania wengi ni wajingawajinga. Na mfumo unanufaika na ujinga wa watanzania. CCM wanakulisheni ujinga kuwa nyinyi ni vinara Afrika Mashariki.
100%,Hii nchi kuna wajinga wengi sana bro! Ujuaji wa kijinga unawatafuna vijana
 
NEO SLAVERY, human trafficking 🤣😅😅😅😅🤣😅🤣😅🤣🚛🚛
 
asilimia 56 ya watu Ujerumani wanaongea kiingereza, Biashara kibao zinatumia kiingereza kama lugha kuu.
Point nzuri sana hii brother. Sasa wanaobeza matumizi ya Kiingereza Ujerumani wanazo takwimu au wanataka source ya hii asilimia 56?
 
Yanaogopa Nyerere atafufuka ayakemee siyo? Majinga sana haya. Ndiyo yale ukianzisha shule ukaiita Zaramo School watakuita mkabila wakati ipo Indian School pale Dar es Salaam pembeni mwa uwanja wa maonyesho Sabasaba lakini hayajawahi kusema kitu kuhusu hilo. Majinga sana mazee haya.
 
Nani kasema Ujamaa uliwahi kuwa mbaya. Maneno yako yanaakisi yaliyomo sirini.
 
Sasa kwa vipi English iwe sababu ya kuwapeleka Ujerumani?
English ni working language ya EU na zaifi ya 56% ya wajerumani watumia English jazini na katika maisha yao ya kawaida. Twambie ni asilimia ngapi wanatumia Kiswahili huko Ujerumani?
 
Wewe soma comment utaona wenye D 4 ni wengi, na kama wenye D nne ni wengi kwenye post yako, basi utajua kwamba hao ndio wanaoliongoza taifa..

Kifupi ni kwamba Tz bado tupo kwenye utumwa wa viongozi wetu. Natusubiri tupate uhuru wa 2 ndio hapo tutakapoamka..
 
What's wrong with french language? Is it not marketable in the world?
I think Kagema did not like French because of France's support to the past Rwandan regime in suppressing the Tutsi there.
 

I think Kagema did not like French because of France's support to the past Rwandan regime in suppressing the Tutsi there.
Na zaidi ya hapo wengi walioishi ukimbizini Uganda na Bongo walikuwa kwenye English speaking countries na kifaransa hawakuwa wanakijua Kwani wengine walizaliwa Uganda au Bongo.
 
Wewe gumbaru hao wakenya wamenda kama experts au vibarua?! Dereva ni expert wa nini?! Kuendesha gari la taka au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…